Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

attachment.php



BIG MOUTH Lisa of KEMPISKY
 
kama habari hizi ni za kweli basi hii itakuwa ni aibu ya karne.
 
What can you say about kikwete?

Watanzania wote na hasa wale wanaompigia makofi kila akienda(i.e. dicota na matawi ya ccm) kama mwenge basi waonyeshwe hizo details. Tunategema usalama wa Taifa au jeshi la polisi ku-launch investigation au tumwondoe kama Gadaffi na Mubarack. I think the answer is last part 'tuendelee na jitihada za kumwondoa kwa movement yetu.

Kikwete weka record zote za watu uliokutana nao tangu uingie ikulu, kuanzia 2005 mpaka sasa na malengo yao ni nini kukuona. Tuone kama hatukukuta wimbi la criminals kwenye hilo kundi ... we are not that stupid! Angalia democracy ya US inavyofanya kazi, why Obama can do this not kikwete nor mkapa?
Visitor Access Records | The White House
Freedom of Information | Public Record Office of Northern Ireland
Si tulishazungumzia 'uhuni wa kikwete na familia yake?' it takes wikileak kuzungumzia hii rushwa. Tukumbuke Ben Ali, Mubarack na Gadaffi wameondolewa kwa docs za wikileak na kazi ni yetu sasa tuendelee mbele. Hakuna jurisdictional ya kumpeleka kikwete au mkapa mahakamani au hata kumchunguza! Hii ndio katiba yao wanataka ibaki Tanzania.

The truth is this, kikwete is one of the corrupt person in Tanzania. Je liyumba alikuwa anaongea nini na kikwete akiwa jela? Wateja wa EPA waliruhusiwa kurudisha funds za Taifa kwa mlango wa nyuma kwa idhini ya nani? Mikataba ya madini na uuzaji wa makampuni i.e. uda umefanywa na nani kama sio ikulu na familia ya kikwete? deals za mafuta ya umeme na mikopo ya serikali inafanywa na nani kama sio kikwete?

Tatizo la Tanzania sio wananchi mitaani ila ni alianza mwinyi, akaja mkapa na sasa ni kikwete, just typical path ... we have to break the cycle na vitu vimekaribia. Mimi binafsi na wengi sasa wanakarikia kuona 'kikwete hafiki 2015'

"Na bado wikiweak hawajatoa details za hizi meetings justice is coming!"

BGWT22.jpg
 
This is very low for the State House to respond!..Salva ndo kiwango hiki?aibu.

Asinge respond napo mngesema mnataka kusikia Ikulu inajibu. Katika enzi ya uwazi, kujibu lazima. Unaweza kuniambia majibu hayajakuridhisha, lakini kujibu kwenyewe huwezi kusema ni kosa.

Not if you are for transparency.
 
Asinge respond napo mngesema mnataka kusikia Ikulu inajibu. Katika enzi ya uwazi, kujibu lazima. Unaweza kuniambia majibu hayajakuridhisha, lakini kujibu kwenyewe huwezi kusema ni kosa.

Not if you are for transparency.


Angejibu kupitia websitite ya ikulu
 
1000 for an event in one of the "guestrooms".. mbona imekaa kama matusi sasa?

Mwakijiji unajuwa (Elewa) matusi kwa mana nyingine ni Majeneza ?sasa wewe umekusudia maana ipi moja wapo ?matusi yale unayomtukana mtu au matusi ya majeneza tunayobebea maiti wakati wa kwenda kuzika ?
 
Angejibu kupitia websitite ya ikulu

Hahahahahaaa,

You mean blog ya Michuzi? Kwani Ikulu ina website?

Mi nimefurahi wamejibu, naandaa maswali kutoka issues kubwa zaidi ya hii kutoka hizi cables nitaomba wajibu.

Washaweka precedent.
 
Hata bila ya kufahamu werevu wa lugha ya Kiswahili wa huyo Lisa Pile, it probably makes more sense than otherwise to presume kwamba huyo Mzungu Lisa Pile angezungumza Kiingereza na Muhindi badala ya Kiswahili kwa sababu zilizo wazi. That being said, the fact of the matter is that; Wazungu wenye Kiingereza kama lugha yao ya kwanza ni wagumu sana kufahamu Kiswahili cha kutosha cha kuweza kuendesha mazungumzo ya kawaida, sembuse kwa hiyo miaka miwili tu aliyoishi nchini.

Who knows. May be she was a spy as well. Ma spy wote wa nje walioko Tanzania wanajua Kiswahili?
 
Hahahahahaaa,

You mean blog ya Michuzi? Kwani Ikulu ina website?

Mi nimefurahi wamejibu, naandaa maswali kutoka issues kubwa zaidi ya hii kutoka hizi cables nitaomba wajibu.

Washaweka precedent.

Sawa Assange. Tutakanusha tuu kimtindo that maswali yako ni "outrageous". ha ha ha ha.
 
Jamani, weka picha yake tumpongezeeeeeeeeee.........!!!!!!! CONGRATS MR. DR. JK..... PIGA PAMBA KAMA SEBASTIAN MAGANGA. TE HE TE HE
 
Who knows. May be she was a spy as well. Ma spy wote wa nje walioko Tanzania wanajua Kiswahili?
<br />
<br />
FAIZA FOXY YUKO WAPI AJE AMTETEEEE........ NASKIA NI WAKULI WAKE!!!!!!!!!
 
Ubalozi wa Marekani majungu kibao, halafu unategemea hearsay ya press ya bongo.

So far naona kama Wikileaks ime expose zaidi ubalozi wa Marekani kuliko kitu kingine chochote. Na walipo expose serikali ya Tanzania ni ku validate tulichokijua hata kabla.

Hii inamaanisha Tanzania si nchi ya "strategic interest" kwa Marekani kiasi cha kuwapa hawa maofisa wa State Department sehemu ya kupumzikia?

Kuna a wildly held notion huku US kwamba post za kibalozi zimetolewa sana kwa kuuzwa, kwa watu waliotoa michango ya kampeni za uchaguzi kwa rais wa wakati huo. Ingefaa na sisi tuwajue vizuri walioandika hizi cables ni watu wa namna gani, sio ku swallow kila kitu kwa sababu kimeandikwa na ubalozi wa Mmarekani.

That of course does not mean we should let up our raining on the Tanzanian gov parade of ufisadi, just that everything is held to the same level of objective scrutiny.

Tusijikute tunachukulia serious sana cables za political appointee ambazo pengine hata State Department huko waliziweka kapuni.

Nilitegemea watasema kitu kuhusu akaunti za Sumaye za Marekani, nakuta nao wana quote Tanzanian press!!!

Naendelea kuangalia, labda kuna zaidi.
 
Ikulu yetu bana, daaah...inasikitisha na kutukwaza!!

Yaani jamaa ameamua kumtukana Bw. Retzer live based on information ambazo hawana uhakika nazo kama za kweli au laa, at the same time wanakanusha si za kweli. How ironic!!

Tracer bullets have been fired at random and dudes have responded "positively" to their own detriment by firing back, revealing their coordinates!!!
 
Ikulu yetu bana, daaah...inasikitisha na kutukwaza!!

Yaani jamaa ameamua kumtukana Bw. Retzer live based on information ambazo hawana uhakika nazo kama za kweli au laa, at the same time wanakanusha si za kweli. How ironic!!

Tracer bullets have been fired at random and dudes have responded "positively" to their own detriment by firing back, revealing their coordinates!!!

Hii response ya Ikulu ni ya kisiasa zaidi, na imelenga ku save face zaidi ya chochote.

Ikulu ya Tanzania inajua kwamba Secy. Hillary Clinton alishaomba msamaha kwa ajili ya cables hizi, kwamba cables hizi kiujumla ni embarassment kwa serikali ya Marekani zaidi ya kwa serikali ya Tanzania, kwamba neither Retzer nor Pile wanaweza kuja forward na evidence, much less Albwardy or the Saville Row entity. Kwa hiyo, hata kama hili suala lingekuwa limetokea kweli, hakuna mtu mwenye incentive ya kuja na ushahidi.

Hapa ndipo Ikulu inapata uhuru wa kutamba kwa kutumia an old Mafia rule, "those who know don't talk, those who talk don't know a thing" and further "those who matter, don't mind, those who mind, don't matter". According to them at least.

Retzer kam quote Pile, so far na yeye ana pass info tu. The fact that a person of a US Ambassador status anaweza kuamini hizi habari enough kuiweka katika diplo cable inatuonyesha kwamba either aliifanyia uchunguzi na kujua ni kweli (hatuoni hili katika cable, na sitegemei kama alifanya uchunguzi na kupata details zaidi asingeweka katika cable) au balozi wa Marekani alikuw asloppy tu na kuweka hearsay gossip kwenye record. Pile hawezi kuongea as far as I can tell. Hatuwezi kujua kwamba Pile alikuwa anajiuza tu kwa balozi wa Marekani au alikuwa na ushahidi serious. Let us not forget Pile is not above being an exaggerating social climber.

Ila hapa ndipo unapojua umuhimu wa wazee kama Nyerere kuamua kuwa Spartan na visuti vyao vya Kaunda.

Kama Kikwete angekuwa spartan balozi asingepata hata pa kuanzia kumshuku kwa suti zake kuwa "flashy".

Nyerere, say whatever you want about him, would have never allowed himself to even be thrown into suspicion about shyt like this.

But Kikwete's style of leadership allow sane minds to entertain the possibility of these lavish Saville Row shopping sprees.
 
Ubalozi wa Marekani majungu kibao, halafu unategemea hearsay ya press ya bongo.

So far naona kama Wikileaks ime expose zaidi ubalozi wa Marekani kuliko kitu kingine chochote. Na walipo expose serikali ya Tanzania ni ku validate tulichokijua hata kabla.

Kiranga acha we unaona sawa rais kufanya request ya kuomba shule tena watu wawili Au nayo ni majungu.Kun cable imeelz rais anamba shule kwa ajili ya Janaury Makamba Na David jairo.

Huoni hapo tunakuwa exposed . ufinyu wa mawazo ya viongozi wetu kutokuwa na strategic vision. Kama kuna umuhimu wa kuomba shule aombe shule kama rais. Aombe shule kwa manufa ya nchi.

Rais Kuomba shule ya watu wawili ambayo ikulu inaweza kulipa ni kujishushia heshima. Na hiyo watasema ni uongo....

Unless alikuwa anawaombea mafunzo ya SEAL teh teh teh teh.

Hizo cable zinatu exspose sana. tu
 
Suddenly, PILE has proved to be more than a double PIN suit in their masaburizerz!!! :A S 109:
 
Kiranga acha we unaona sawa rais kufanya request ya kuomba shule tena watu wawili Au nayo ni majungu.Kun cable imeelz rais anamba shule kwa ajili ya Janaury Makamba Na David jairo.

Huoni hapo tunakuwa exposed . ufinyu wa mawazo ya viongozi wetu kutokuwa na strategic vision. Kama kuna umuhimu wa kuomba shule aombe shule kama rais. Aombe shule kwa manufa ya nchi.

Rais Kuomba shule ya watu wawili ambayo ikulu inaweza kulipa ni kujishushia heshima. Na hiyo watasema ni uongo....

Unless alikuwa anawaombea mafunzo ya SEAL teh teh teh teh.

Hizo cable zinatu exspose sana. tu

Watu tulishasema hapa kwamba Kikwete ni bogus kabla hata hajachaguliwa kuwa rais, kwa hiyo hapo hamna kipya, labda ni confirmation kwetu na kuwaonyesha Kikweteites wengine tu.

Cables kibao za miaka ya kwanza ya Kikwete zilionyesha kwamba Kikwete usanii wake uliwachota hata wao, wakati watu tulishamjua Kikwete mzushi tu hata kabla hajachukua Magogoni.

Ninachosema ni kwamba nilitegemea kukuta explosives bombshell kuhusu wazito, kumbe mostly hawa watu wa ubalozi wanakuwa kama wasoma magazeti na wasikilizaji umbeya katika parties za diplomatic circles na kureport State Department.

Unfortunately - kwa sasa at least- inabidi niache kusoma huu umbeya na mambo ambayo nilishayajua kabla na kuingia katika some more enriching stuff. Like breaking down the latest encryption for White Hats.

Sihitaji WikiLeaks kujua kwamba Kikwete ni buffoon au Tanzania haina Foreign Policy wala hata staff hapo MOFA, tusha discuss sana hayo hapa.Ninaweza kukutafutia posts za Game Theory tulivyoongelea haya with details. Sasa tunapata confirmation zaidi tu kwamba wakati watu wanakwenda NYC na delegations za watu 100, MOFA haina staff na tunategemea regional bodies standing katika foreign policy yetu. Maana yake kama interests za wa South Africa zilizo tofauti na zetu zina dominate AU, sie tunasema "hewala".

Natafuta jipya, lililo concrete, na bado sijaliona.

Hizi cables so far zina confirm tulichokuwa tunasema kila siku, bila ya ushahidi mpya. Nilitegemea zaidi ya hili.

Bado nazifuatilia, na hayo niliyosema juu hayamaanishi kwamba nawaachia walio katika "corridors of power" scott free.

The mere level of transparency introduced by this cablegate is a sort of paradigm shift, who thought it was possible to eavesdrop on Salim Ahmed Salim's conversation with the US Embassy on what he really thought about the Kikwete candidacy? Or Hosea's thoughts on the limits of the PCCCB? Or Ambassador Mulamula's overexposing remarks that the Tanzanian government was more ambitious than it was capable in it's quest for a security council seat at the UN.

It just goes to show you that even the best of "vipanga wa foreign" ni watupu kabisa!!!!
 
Back
Top Bottom