Tanil Somaiya kukutana na waandishi

Any update za kikao hiki? kinafanyika wapi na saa ngapi?

Naona kwa waandishi wa habari huu ni msimu wa neema, vijibahasha kila kona kama wabunge wa bunge letu tukufu. Wakitoka kuchukua kwa RA, hao wanaenda kwa manji kisha kwa Somaiya afu baadae kwa ndg zao wa vodacom tz ltd. I think huu msimu ni bonge la stimulus package kwa waandishi wa tz ambao wengi wanalack professionalism kwa sababu wanaendekeza njaa!

Hivi wadau hata Saed Kubenea nae anasaini bahasha za nauli kwenye vi press konference hivi??

Naona nao Channel 10 wameshaingia kwenye siasa za ITV, wao wanaonyesha habari zinazomfavour RA na supporters wake e.g. habari za Rostam mwenyewe, lipumba (CUF), Sophia Simba n.k wakati ITV wanaonyesha za Mengi na supporters wake kama Chadema, Selelii mzee wa upako (mch. Lusekelona wengineo.

Angalizo: WanaJF tusije tukaingia/tukaingizwa kwenye makundi haya yasiyo na tija, baada ya Tanzania's TV stations, Radios and newspapers ku lack objectivity (highly biased), JF ioneshe tufauti.

Siku hizi Tanzania ili uweze kupata habari fulani angalau kwa undani wake inabidi usome magazeti zaidi ya 25 na utaimu habari za TV na Radio stations zote, tofauti na hivyo unatoka na picha ndivyo sivyo - sivyo ndivyo!
 
Mnakumbuka hawa 'jamaa' zetu walivyoingia kwa vishindo kugombea nafasi za ubunge na kufanikiwa. Ninaamini agenda yao ilikuwa ifike siku apatikane Rais wa nchi yetu mwenye nywele zilizonyooka kama zimetiwa relaxer. Watch out guys hawa watu ni hatari, hatujui huwa wanapanga mikakati gani kwenye 'Jamatini' zao. Nawashangaa sana wanaosema kwamba tunawabagua kwa rangi yao. Kwa nini hatujiulizi kwa nini ni rahisi kuoa mzungu kuliko mhindi? Miaka nenda rudi wamekuwa wakiishi kwa kujitenga na Waswahili. Aliyewaweza alikuwa Nyerere na ofcourse Sokoine wakati wa uhujumu uchumi! Hawa wanahitaji kudhibitiwa!




kwakweli ila wamekosea wangeingiza ndugu zao hata kwenye polisi, wanajeshi ili tuwaone wazawa, ila tusiwe na wasiwasi wachina wanakuja kwa kasi na hawapatani hata kidogo.
 
Idd Amin Dada was a racist and facist like Hitler, kumbuka mtaanza na wahindi leo, kesho itakuwa wachaga au wahaya etc.
Badala ya kuendekeza mawazo ambayo hayana tija na taifa, mngeendeleza mjadala wa maana. Where we dare to speak opnely does not include inciting, racist talk.....

Watu bwana...Idi Amin aliwafukuza wahindi lakini kumbukeni Idi Amin Aliua watanzania mwanza na bukoba na zaidi ya waganda wake 350,000....acheni kudhani Idi was a hero...im with u on this
 
Serikali ina mtazamo gani kuhusu hili suala la kila mtu kuongea na waandishi wa habari na kuanza kutoleana kashfa?. Mwisho wake ni nini?

mwisho unaweza kuwa vita vya wafanyabiashara wazawa na wasio wazao then kuharibiana mabiznezi, then watakapokuwa bize kuharibiana CCM watakosawatu wakuwawezesha mifukoni na khanga zitapungua na mabango ya picha yanayochafua barabara yatapungua, mamluki wa kusafirishwa kwenda kupiga kura zanzibar na mikoani yatapungua then uchaguzi utakuwa wa huru na haki, Eeeh Mungu tusaidie waendelee kulumbana hivyohivyo Rostam kufuru vijana wa CCM wanajua jinsi alivyo muhimu katika kutoa perdiem..
 
Sasa mimi nashangaa naye Tanil Somaiya naye anaenda kukanusha nini wakati mambo yake ya RADA yako waziiiiiiiiii na yaliibuliwa na SFO. Nafikiri hawa mapapa hawana washauri wazuri. Wana wapambe waandishi ambao wanataka tu kula hela zao. Wameambiwa waende mahakamani hawaendi wanaenda kwenye tv. Siku ya siku utasikia naye Jiitu patel kaitisha waandishi. Mwe!
 
Sophia Simba na mwenzie Mkuchika mbona sijawasikia wakimjibu RA?....Double standards au ndo mambo ya ukipofu.....?


Kwa sheria za Kimafia na Kiyakuza huwezi kumjibu Master.

Kauri ya Rostam Aziz ni amri kwa viongozi wote wa CCM.

Amri haijadiliwi.
 
Watu bwana...Idi Amin aliwafukuza wahindi lakini kumbukeni Idi Amin Aliua watanzania mwanza na bukoba na zaidi ya waganda wake 350,000....acheni kudhani Idi was a hero...im with u on this


we acha tu idd amini aliua direct na ndio maana umeweza kusema 350,0000hawa mafisadi wanaua indirect angalia vifo vya mama wajawazito waliokosa huduma, watoto,njaa,na ukimwi kwa kukosa lishe bora ni wanagapi kwa mwaka zidisha kwa miaka watakaoishi si zaidi wa hao wa idd amin, tungemuona amin kipindi kile tungekimbia tuiponye roho yetu ila hawa mafisadi tunakaa nao na kuwapokea kwa kuwaita waheshimiwa....
 
Jamani tusiende mabli. Huyu tanail naye anajitetea nini wakati ndiye mwenye kashfa ya RADA na tena aliumbuliwa na kikosi cha SFO cha uingereza. Kesho tena hata Jitu Patel nae atajitetea.Stupid!
 
Wale tulioenda JKT twakumbuka ule wimbo wa moto wa waka motO? HAUTAKIWI KUZIMIKA UWAKE HIVYO HIVYO. dR. Slaa alishawahi kuwataja tena hadharani uwanjani mbona hawajampeleka na wote hao walikuwamo? Muhingi jibu manake wewe ndio mpambe wa rostam na alikujengea shule iringa
 
Wana Tabora nao watuammbie maneno waliyosema vijana wa Tabora ndio msimamo wa wana tabora wote?
 
Idd Amin Dada was a racist and facist like Hitler, kumbuka mtaanza na wahindi leo, kesho itakuwa wachaga au wahaya etc.
Badala ya kuendekeza mawazo ambayo hayana tija na taifa, mngeendeleza mjadala wa maana. Where we dare to speak opnely does not include inciting, racist talk.....
Mkulu
Mtazamo huo ni ya kimagharibi.

Waganda na Wajerumani respectively hawawatazami hivyo.

Je,unajua mtazamo wa kimagharibi dhidi ya Mwl.Nyerere?

Katika suala la Uzawa,mimi ni mwanafunzi wa Amin na Hitler.
 
Wana Tabora nao watuammbie maneno waliyosema vijana wa Tabora ndio msimamo wa wana tabora wote?
Kama hauamini subiri matokeo ya uchaguzi jimbo la Igunga mwakani atakapopata zaidi ya 90% ya kura zote.

Bado tuna safari ndefu sana.
 
Tanil Somaiya

SECTION: WHO'S WHO

LENGTH: 211 words

While he is involved in various shady trading contracts with the Tanzanian government, the businessman Tanil Somaiya does not know what he can do to straighten out his image. Hot on the heels of making a gift to the police, last week he announced he was awarding 400 million shillings (about $ 400,000) in electoral material for the Chama Cha Mapinduzi (CCM, governing party) to help it finance the internal elections in its youth wing, likely to be held in December. In doing so, Somaiya possibly made a casting error, as his gesture sparked off a political controversy. It was interpreted as a manoeuvre to encourage the authorities to take a more benevolent view of him and remove the risk of legal proceedings against him. Until the beginning of this year, Somaiya was in partnership with Salesh Vithlani (now on the run) in the company Merlin International. However, this company is at the centre of several scandals, including one concerning making overpriced sales to the Tanzanian government of a British radar for $ 41 million, a Gulfstream presidential jet for $ 40 million, 600 old models of Iveco trucks for $ 80 million and six Augusta Bell helicopters in poor condition, two of which were already out of service. Well worth a small donation to the CCM!

source: Indian ocean newsletter
 
Ni ujinga kuchoka kusikia au kuambiwa jinsi mali yetu inavyoibiwa. Ni upumbavu kufikiri kwamba mwenye dhamana ya kusema kwa niaba ya wananchi ni kiongozi wa serikali na Chama cha siasa tu. Mwananchi yeyote anayo haki na dhamana ya kusema kwa niaba ya wananchi wenzake. Ni haki ya kila mtu kuwatambua waovu katika jamii. Watanzania tusisalimishe haki yetu kwa wajinga wachache wanaojiona kwamba wao ndio wenye haki hiyo kwa kuwa tu ni mawaziri, wabunge, viongozi wa vyama dini au wapiga debe wa waharifu.
 
Mwaka 2007 ilisambazwa dossier moja (through email and also in hard copy)iliyokuwa na mkichwa cha maneno "A Personal Message from Jayant Kumar Patel Alias Jeetu Patel" iliyoonyesha umafia uliokuwa ukifanywa na wahindi hapa nchini wakishirikiana na wazalendo mamluki (vibaraka).

Hiyo dossier inayosadikiwa ilivujishwa kimakusudi na Idara ya Usalama wa Taifa imeorodhesha watatu wote walioorodheshwa na Reginald Mengi wiki iliyopita except RA na Manji. Tanil somaiya alikuwemo (pg 2). Kwa hiyo Mengi alichokifanya ni kukumbusha hawa mapapa ambao pia walitajwa na akina Dr Slaa kule Mwembe Yanga. Baadhi yao wametajwa katika kashfa ya Mchuchuma, radar na Presidential jet, mbali na EPA.

Ni kitu kilichokuwa tayari kinajulikana na inashangaza makombora kwa Mengi ya nini? Lipumba, Mrema & Co inaonekana mnakosa memory kabisa siku hizi, labda kwa sababu mmeshanunuliwa.

RA na Manji wametajwa ktk kashfa za Richmond, Dowans, uuzaji wa NSSF godowns, Quality Plaza Complex na mamlaka husika zina taarifa hizo kwamba zinachunguza au, kwa Richmond, zimechunguzwa. sasa kipya alichotoa Mengi ni kipi?

Ila tu nashangaa kwa nini Mengi hakumtaja Andy Chande ktk orodha yake ingawa yumo ktk dossier hiyo na kutambulishwa kama ni God Father wa Jeetu Patel. watanzania tusisahau kwamba mateso wanayopata wananchi masikini watumiao reli ya kati yanatokana na Andy Chande aliyefanikisha mkataba wa TRC na matapeli Mabaniani wenzake kutoka India -- RITES. Andy alikuwa Chairman wa Bodi ya TRC. Mkataba wa TRC-RITES ukija julikana, bila shaka kwa ukubwa wake utafunika scandal zote ziilizotokea!!!

Hasira za akina RA ni kwamba kwa nini "tuhuma" dhidi ya Mengi haziko kwenye vyombo husika kuchunguzwa (kama vile zile dhidi yao). Takukuru, Kamati za Bunge, CID, nk hazina kabisa taarifa za kashfa hizo alizoziorodhesha RA juzi.
Bila shaka mamlaka husika zinaona hazina msingi wowote kwa sababu madeni kwa mfano, siyo suala la jinai. Lipumba, upo?
 
Mwaka 2007 ilisambazwa dossier moja (through email and also in hard copy)iliyokuwa na mkichwa cha maneno "A Personal Message from Jayant Kumar Patel Alias Jeetu Patel" iliyoonyesha umafia uliokuwa ukifanywa na wahindi hapa nchini wakishirikiana na wazalendo mamluki (vibaraka).
Nikurahisishie,

Dossier hiyo ilianzia hapa JF na ipo hapa:

BoT Scandal: Tulikotoka, Tulipo, Tunakoelekea


Nyani alianza kukomwa mapeeema, vilaza wanataka kuharibu movie :(
 
Tuandamane kumuunga mkono mzee Mengi ili mambo yanoge zaidi. Hapo vipi??


Mimi nakubali kabisa hilo ni wazo la maana,ni lini na wapi hawa wahindi wkawaza mema kwa watanzania???????????tuulizane jamani mbona mnakuwa kama watu mnaoishi nao mbali!!!!AJABU KABISA,hawa hata kama ungekuwa mfanyakazi wao bado hakuna chochote utakachoneemeka toka kwao sembuse wengine wasio na uhusiano hata wa kuwaingizia pato??
Mzee mengi ameamua kujitoa mhanga anahitaji support ya wenye nchi ambao ni sisi na sio jirani zetu
 
Jamani huyu Tanil Somaiya bado tu hajalonga??? au ilikuwa ni tetesi?? maana ipo katika jukwaa la siasa!!! Au ndo kashapewa kadi ya njano!!!! Wenye update watupatie pleaaaaaaaaaase!!!
 
Naona Tanil ameogopa balaa lililomkuta RA lisimvae hivyo ameamua kula kobis
 
Back
Top Bottom