Tangu pesa kwa njia ya simu ianze kuna aliyepewa namba isiyo sahihi?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,281
Siku hizi watu wako makini katika kutoa namba za simu. Ukitoa namba yenye makosa unaweza kupishana na lorry la mshahara.
Enzi zile mtu akikuomba namba kama hutaki juzoeana nae unatunga namba kichwani. Mambo yamebadilika unaweza kukosa Tigo pesa, sikuhizi unahakikisha amekupigia kabla hamjaachana.
 
Siku hizi watu wako makini katika kutoa namba za simu. Ukutoa namba yenye makosa unaweza kupishana na lorry la mshahara.
Enzi zile mtu akikuomba namba kama hutaki juzoeana nae unatunga namba kichwani. Mambo yamebadilika unaweza kukosa Tigo pesa, sikuhizi unahakikisha amekupigia kabla hamjaachana.

Jr
 
Sky Eclat kukosea kupo ila kwa bahati mbaya,waswahil ukimwambia nataka nikutumie pesa atahakikisha namba yake zaid ya mara kumi...
Money is so sweet
 
Back
Top Bottom