Et usipo kimbia ww n kidume.Siku hizi kama mwanamke hakutaki.na hataki.muachane kwa visa yeye anaomba hela tu
Yaani anaomba hela
Na kuomba helaaaa
Na kuomba helaaaaaa
Usipokimbia wewe kidume
Yaani kujua 7 siku 3 ndo unapata li shida LA mapesa yoote hayoKuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Umeandika nini na wewe hapa ?
Umejibiwa au umeulizwa ulichoandika
Yote yanaweza Kuwa yanakuhusuUmejibiwa au umeulizwa ulichoandika
Duh!Kuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Nan sasa abaki? mm mwenyew nlkimbia aiseeee, nkikuomba ww unaniita dume suruali ila mm ndo ntoe.si ndo wajibu wao....si ndo kama ivo ukiwaomba before wanakimbia.Tufanyaje sasa?
Haha na wanaume sikuhiz wamekua wajanja ...miaka ya zaman wanaum walikua wanaonga ki fala sana skuizz washajua kuwa mbona sketi kibao hadi za kununua bei cheee...madem wana kazi skuizKuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Huyo ulye kutanana nae ni muhenga.Maajabu hayaishi! Sio tu wanawake jamani! Siku hizi wapo wanaume kazi yao kuomba pesa kwa wanawake! Mara ooh nirushie elfu 5 mara ooh naomba elf 10!! [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
bac kaeni na hamu zenu...tuone nani atazidiwaKazi tunafanya na kuomba hatuachi hutaki msitufate fate.
Hahaha
ni kweli kabisaa.ila mimi kuna kitu kinanishangaza.nimeamua kukuchunia kwanini uendelee kunisumbua kwenye sim unataka nini tena na lengo lako nishakuelewa kuwa hunitaki? Wanawake mna mambo
HahahahahaRoho mbaya....hiii
Na ndomana hatuwaoi,tunapiga na kaucha wanazeeka,si wanapenda pesa,..dawa ndio hyo,tutahonga hzo lak lakin kuoa sahau
mi mwenyew n mkimbiaj mzur tu hahahaaaa hakuna kubak.Hahaha
Yaani ni mwendo wa kuomba hela tu..... lazima wakimbie hakuna namna