Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Humpendi huyo.Kuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Unachukua kwa usiyempwnda unaipeleka kwa unayempenda