Tangu aniombe hela yule dada nimekata mguu

Pole sana mkuu
 
Elfu tatu au laki tatu.....kama iyo ya pili ni mshahara huo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Laki tatu kaka [emoji23][emoji23]
 
Thubutuuu sisi nikuzaa kwa uchungu tu.

Ongezea Mithali 31:10-30 ni muhimu sana kila Mwanamke ayajue na kuyafanyia kazi hayo maandiko! Mwanamke unatakiwa kupiga kazi na kuwa na uchumi ulio imara Siku zote ifike mahali mumeo anakusifia " binti Za wengi wamefanya mema lakini Wewe umewapita wote" naomba kile ke asome Hili Neno litabadilisha Hata namna ya kuwaza kwetu! Halafu unaendelea kuwa mtii Kwa Mumeo bila kiburi wala dharau!
 
age isonge tu, kwanini uwe na mwanaume mzigo unashindwa hata kumsaidia mwanamke wako shida ndogo ndogo basi pesa aloomba huna onyesha nia kwa kumpa hata kidogo. kama mnavyopenda chura na wao ndo wanavyopenda pesa
 
Hata mimi kuna mmoja nimepiga chini kama dakika 43 zilizopita kwa kosa hilo hilo. Nimeweka namba zake kwenye black list kabisa pumbafu! Mimi nikimuomba mzigo anadai tusubiri hadi tutakapofunga ndoa lakini yeye anataka nimhudumie kama saloon, hadi vocha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Hilo limekuwa ni gonjwa. Kuna comment hapo juu inasema kumuomba pesa mwanaume mwanzomwanzo kabisa kabla ya kukoleza mahusiano, ni njia mojawapo ya kumkataa mwanaume. Hilo nimeona ndiyo wazo sahihi.
Hii tabia ya kujaribu akili za wanaume kwa njia ya kuombaomba pesa ovyo, imeacha rundo la wanawake mitaani wakizeekea majumbani kwa wazazi wao.
Kuna kanuni rasmi za kutafuta wenza wa kuoa na zingine si rasmi.
Njia isiyo rasmi ya kutafuta mchumba ama mwenza, ni hii ya kumtamani mwanamke manjiani na kuanza kumtongoza.
Mkikubaliana, ndiyo mwanaume huanza kazi nyingine ya kusaka "particullars" za mwanamke huyo na kukazia dhamira yake.
Wakati haujaanza kupata hata abc's za mwanamke, tayari umeanza kuripuliwa mabomu. Inaingia akilini kweli?
Kunakuwa na tofauti gani kati yako na anayejinadi barabarani?
Hilo la kwanza, jambo la pili kauli za kuwajibikiana kabla hamjawekana ndani na kuanza maisha. Kwamfano unapoanza mahusiano na mwanamke, utasikia anakuuliza 'unajua ninakula nini na kuvaa nini?'
Hivi mapenzi ya urafiki kabla ya kufunga ndoa kuna kuwajibikiana kwa malazi na chakula?
Mambo madogomadogo ya mfano huo yamerudisha nyuma dhamira za wanaume wengi wenye malengo ya kweli ya kuoa wanawake wenye vitabia vya hovyohovyo.
Mwanaume anamuwajibikia kumtunza mkewe bila hata ya kukumbushwa.
Zamani nilikuwa nawadharau sana majamaa wanaokwenda mitaa ya dada poa na kuchagua wanawake kwa kupangiwa penzi kwa njia ya gulio hadi kufikia maridhiano.
Maana yake ni kwamba hao ni bora kuliko wanawake waliojificha kinafiki wakijifanya ni wanawake wema wenye maadili yao, kumbe ni malaya wanaojiuza kisirisiri kwa gharama kubwa kwa kisingizio cha kuomba msaada. Hovyo kabisa.
 
anataka akufanye wew baba ake wa kufikia...mfyuuuuu...pga kapuni meeeen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wangelikuwa na akili kama za kwako, wangekuwa waliishaolewa na wanakula raha majumbani mwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…