naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,090
Una EFD? Serikali inakosa mapato sanaKuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Una EFD? Serikali inakosa mapato sanaKuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Amina,amina sanaaNa utaolewa soon
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Niombe mielat week nilipoteza pochi yenye simu yangu yenye line ya mpesa na kadi ya benk na kila kitu
nina mkaka rafiki yangu mzuri tu nikamuomba hela hadi leo hatuongei tena mwenzangu.watu wanathamini pesa sana kumbe yaani .
ha ha haaaa,aiseePampers za laki? atakwambia mpeleke mtoto hospitali anaharisha.
Kama huna roho ya kuomba hata ufundishwe vipi hutawezaAyseee kuna watu wana vipaji vya kupiga makombora lol
Mimi rafiki yangu wakawaida ntakupuna tu ila kama Nina relationship na wewe siwez kuomba hahahah wajuvi naombeni training
invest what you are willing to lose
hamna cyo wote wanafanya ivoTafuta zako,..ndomana sie tunawapaga hvo vi laki lakin lazima tukutindue marinda.kiroho safi
Hapo ulikuwa ushampa papa ama, maana bila kuona papa hata Mimi nitajichekesha tuuKuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Labda hapo sawa...Kwa mume mwenye kufahamu majukumu yake anatoa pesa ya matumizi home na anampa mkewe pesa ya matumizi yake binafsi factored in hayo yote uliyoyataja.
Safi Saint,nambieBibie mambo
Labda hapo sawa...
Aisee! Hakuna mitelezo siku hizi wote ninkula kwa jasho me na keKuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
But nimependa talks zako ...u seems seriouslySawa sawa
Tena zaidi ya hiyo hela maana kwangu kama ya chai tu, shida yenu mnataka kula bure bure, tunaanza na hela na tunamaliza na hela.Shida sio kutoa hela shida ni quality yako inaendana na hiyo hela?huwezi nunua kiatu cha laki 3 mtumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Sekta nimefeli yakuhonga mwanaume, hupati hata jero yangu.Humpendi huyo.
Unachukua kwa usiyempwnda unaipeleka kwa unayempenda
Umesikia hatutafuti au zetu hatuna ????, ukitaka cha uvunguni sharti uiname babu, zangu zangu zako zetu.Hiv kwanin usitafte zako,tuanzie hapo..y unaomba omba,hiv hamuonag aibu,..mna exchange sex na pesa sasa mnatofaut gan na wanaokaa kona baa
Wanapata kwenye matumizi ya hiyo hela.Una EFD? Serikali inakosa mapato sana
But nimependa talks zako ...u seems seriously
Naanzaje kutoa Papa kihasara hasara, nakula weeee nikikuonea huruma ndo ntakupa.Hapo ulikuwa ushampa papa ama, maana bila kuona papa hata Mimi nitajichekesha tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutuuu sisi nikuzaa kwa uchungu tu.Aisee! Hakuna mitelezo siku hizi wote ninkula kwa jasho me na ke
''Aut Vincere Aut Mori''
WE DADA ATA YATIMA KAMA MIMI UNATAKA HELA..??Tena zaidi ya hiyo hela maana kwangu kama ya chai tu, shida yenu mnataka kula bure bure, tunaanza na hela na tunamaliza na hela.