Tangazo la king'amuzi cha Continental linanichefua

Hata lile lile l kwenye TV walioliandaa hawakuwa serious...Yule bint amefika kwa jiran kabla hawajaingia hata ndan wakamuona jamaa ake kaja...Dem akamfuata jamaa anamuuliza umetoka wap? dem kwa jiran kuangalia TV wakat walikuwa wamesimama mlangon na yule jiran anatokea hapo hapo anasema nimewasikia mda mrefu mkilumbana....Jiran anatoa namba za wasambazaj wa hicho king;amuz kabla hawajapigiwa eti washaanza ingiza ungo ndan,Any way mbali na hayo STAR TV ni channel ninayoipenda sana hasa kutizama taarifa ya habar zao.
Sasa mkuu ulitaka tangazo liwe kama muvi. Wenzio wameweka muhtsari wakimaanisha kuwa hayo mengine unajaza mwenyewe kichwani mwako. Hivi kama wakionesha wanaangalia TV, wanapiga simu kwa wakala kisha wazungumze watoe anuani ya mtaa na kuleta king'amuzi (nadhani kuna jina sahihi la kiswahili na si hili) kisha kufunga, hilo tangazo litaisha leo?

Mara ngapi humu watu wanalalamikia bongo muvi kuonesha matukio yasiyo na umuhimu kama vile mtu anapotaka kutoka na gari anafunguliwa geti halafu anatoka anaendesha barabarani ambako hakuna tukio lolote la muhimu tena wanaweka na 'slow motion' kabisa? Na hiyo ni muvi watu wanalalamika sasa ikiwekwa kwenye tangazo si itaboa.

Mimi nadhani kunaweza kuwa na mapungufu ya hapa na pale lakini kwa jirani kusema nimewasikia muda mrefu mkilumbana ni sawa kwa kuwa tuna-assume hiyo argument haijaoneshwa yote. After all muda mrefu kwani ni upi?
 
nadhan umemjibu vema, kama hajaelewa atakuwa na akili ya taabu kidogo
 
pia kwenye television halipo poa coz mtu anakutwa katoka kwa jiran af bado jiran huyo huyo anakuja na kusema nimewackia mkilumbana mda mrefu huku hata dakika haijapita

Kweli mkuu, mi ikifika hapo uwa napata ukakasi
 
Ehee ni kizuri sana, wapigieee,ebu chukua namba za wakala, ghafla mafundi wameingia wakiwa na dish tayari kwa kufunga, lkn walijitahidi Ku summarize ili kuokoa gharama.
 
Decoder yenyewe haina issue kabisa toka 2013 channel 23 Moja ya sports haifanyi kazi
Mkuu, ndio maana nikaweka msemo wa 'siku njema huonekana asubuhi' ikiwa na maana ikiwa tu tangazo ni HOVYO basi kile kinachotangazwa ni KIBOVU.
 
Mmhr hapa umenipa shida,nimerudia kama mara kumi hivi,loh!
Mkuu, hata mie nilipata shida kweli kweli kuelewa Amalinze anamaana gani lakini nikagundua kakokotoa kwenye tangazo la hicho cha 'continental' la television.
 
that's why makampuni ya simu huwa wanaleta directors kutoka thailand, india, Indonesia. kwanza directive zake ni poor maana actors wana over act, interpretation ya concept ni weak, aliyepiga picha ni mwehu kabisa maaana amecross.
Ndio maana nimewaomba wawasiliane na CRDB (japo hawapendi) kwa taaluma za kutayarisha matangazo.
 
Me nilijua niko peke yangu, kumbe tupo wengi.

Naona Wengi Humu Mmekereka Nalo Hebu Basi Nifundisheni Na Mimi au Mniambie Nami Nifanyeje Ili Nilichukie Kama Nyie Wenzangu Kisha Nije Humu Niseme Kuwa Nami Halijanifurahisha? Hebu Niambukizeni Hizo Chuki Dhidi Ya Hicho Kisambusi Cha Continental.
 
Hata lile lile l kwenye TV walioliandaa hawakuwa serious...Yule bint amefika kwa jiran kabla hawajaingia hata ndan wakamuona jamaa ake kaja...Dem akamfuata jamaa anamuuliza umetoka wap? dem kwa jiran kuangalia TV wakat walikuwa wamesimama mlangon na yule jiran anatokea hapo hapo anasema nimewasikia mda mrefu mkilumbana....Jiran anatoa namba za wasambazaj wa hicho king;amuz kabla hawajapigiwa eti washaanza ingiza ungo ndan,Any way mbali na hayo STAR TV ni channel ninayoipenda sana hasa kutizama taarifa ya habar zao.

Laiti Watanzania Tungekuwa Nasi Tuna Ujuzi Huu Huu Wa Kuangalia Makosa Ya Wenzetu Haswa Ktk Maisha Yetu Ya Kila Siku Wote Naamini Tungekuwa WATAKATIFU Ila Watanzania Ni Wazuri Sana Kukosoa Makosa Ya Wenzao! Inafurahisha Mno Na Ndiyo Maana Naipenda Tanzania Na Watanzania Pia!
 
Naona Wengi Humu Mmekereka Nalo Hebu Basi Nifundisheni Na Mimi au Mniambie Nami Nifanyeje Ili Nilichukie Kama Nyie Wenzangu Kisha Nije Humu Niseme Kuwa Nami Halijanifurahisha? Hebu Niambukizeni Hizo Chuki Dhidi Ya Hicho Kisambusi Cha Continental.
King'amuzi HAKICHUKIWI ila kinachotukera ni mantiki iliyotumika kukitangaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom