Tangazo la king'amuzi cha Continental linanichefua

Kwa sisi wataalam wa Mambo ya marketing::

Tangazo halina tatizo lolote, Unapotengeza tangazo hasa video advert...target yako hasa ni kudraw attention ya customer (ukijua kabisa si customers wote watapenda hilo tangazo) pia ni kudeliver message husika kwa hadhira husika (Continental wamezingatia hilo kwa asilimia 95,

kwa kuzingatia ushindani wa makampuni mengine ya ving'amuzi) kuhusu wahusika (celebrities) gani watumike, bado hawajakosea kabisa:
wamechukua Comedian boy (yule wa futuhi) aliyecheza uhusika wa ukomedi pia uhusika wa ujanja katika kuchagua king'amuzi chenye ubora zaidi kuliko vingine,

wamemchukua dada mrembo aliyeoneshwa kukerwa na king'amuzi kinachoscratch hasa pale alipokuwa akiangalia kipindi kizuri akipendacho, lakini pia ameonekana kaka mtanashati aliyeonekana ana pesa lakini pamoja na sifa zote hizo hakuwa makini katika uchaguzi wa king'amuzi bora..

Pia yule comediani ameonyesha umakini wa hali ya juu kwani alikuwa na namba ya fundi kwa hiyo endapo tatizo lingetokea angeweza kupigia mafundi waje wamrekebishie kitu ambacho yule dada hakuwa na hayo yote...

Kampuni imeweka ujumbe pia kuwa wana customer care nzuri inayotatua matatizo haraka.

Kuna ujumbe mwingi sana katika tangazo lile japo kuna kasoro ndogo sana.

SASA:: Katika marketing tuna wateja wa-aina nyingi hasa tunapotengeza matangazo ya aina ile....

sichangai kuona baadhi ya wateja wakikerwa na tangazo lile kuna sababu nyingi sana...hapo.
yumkini customer ni loyal customer wa king'amuzi vingine na havutiwi na huduma za cont. kwa hiyo hata akiona tangazo hukerwa pia, pia kama si mpenzi wa kipindi cha futuhi unaweza pia usivutiwe na lile tangazo saaaana zipo sababu nyingi za kukisia kwanini hujapendezewa na lile tangazo..

ILA KWA UPANDE WANGU:

**Wamezingatia Maadili ya kitanzania kwa asilimia 99%,

**Wamezingatia kuchagua wahusika celebrities walioendana na ujumbe uliokusudiwa.

**Ujumbe umezingatiwa na ni rahisi kueleweka kwa hadhira.

**MUDA- Upo sahihi kutokana na tangazo (fanani) mwenyewe na ujumbe ulikusudiwa kuwafikia wateja na wasio wateja.

Ahsanteni
 
pia kwenye television halipo poa coz mtu anakutwa katoka kwa jiran af bado jiran huyo huyo anakuja na kusema nimewackia mkilumbana mda mrefu huku hata dakika haijapita

Yaani kakijana kako na mke wa mtu halafu bado kana ujasiri wa kuulizia kuna ugomvi gani kati ya mke na mume.
Kam sijamtawanya vipande kabla hata ya kumalizia swali..
 
,
maudhui ya tangazo si hivyo ulivyoelewa mkuu grafani11, Concetrate kwenye ujumbe
 
Last edited by a moderator:
Nadhani malengo yao yametimia,kutokaba na ubovu wa tangazo ujumbe umewafikia...!
 
,
maudhui ya tangazo si hivyo ulivyoelewa mkuu grafani11, Concetrate kwenye ujumbe
Maudhui yaendane na hali halisi, haiwezekani simu ipigwe hata kukata bado watu mafundi wanaingia na Madishi getini. Hata kama ni matangazo yanatakiwa kuakisi maisha halisi ya soko.
 
Nyie Mlitaka Liweje? Toa Mwongozo Tafadhali.

1. Yule jamaa anamiliki gari hawezi kukosa king’amuzi kiasi cha mkewe kwenda kwa jirani kuangalia ‘continental’

2. Yule jamaa anaonekana kabisa mazingira anayoishi siyo ya uswazi kiasi eti watu wakaangalie ‘continental’ kwa majirani zao, nyumba waliyokodi kua-act-ia inaonesha mazingira ya kuwa na maisha ya hali fulani ambayo ni shwari, hakuna uhalisia wa mtu wa hadhi hiyo mkewe kwenda kwa jirani kuangalia ‘continental’

2. Kwa hoja hizo walipaswa kuja na angle nyingine badala ya hiyo ya eti mke wa mtu ametoka nyumbani kwenda kuangalia continental kisa nyumbani hakuna continental.

3. Yule jirani mwenye continental haeleweki kama anacheza comedi au kitu gani, maana ni kama chizi Fulani hivi. (macho kama amekula msuba) tangazo halina maudhui, na ndo shida ya matangazo mengi ya bongo, watu wanachanganya matangazo na vichekesho visivyochekesha refer: matangazo ya Sharo billionea na matangazo ya mzee majuto, mfano lile la magodoro eti konda wa daladala anaota anapiga debe kumbe anampiga mkewe.
Kwa ufupi ni hayo tu, wapingaji wenzangu ongezeeni points.
 
Pana msemo 'siku njema huonekana asubuhi'. Ki ukweli tangazo la king'amuzi cha 'continental' ni hovyo hovyo kabisa, sijui walioliandaa hawalisikii au vipi? Hebu wajaribu kusikiliza/wajifunze jinsi matangazo ya CRDB yanavovutia. Kwa tangazo hili linanishawishi niamni kuwa hata king'amuzi chenyewe ni kibovu.

mimi linanikera zaidi siwezi hata kununua hicho king'amuzi.Jirani zee zima linachekelea kuangalia cartoon yaan bora wangeeka hata anafurahia kuangalia mpira ingeleta sense.
 
1. Yule jamaa anamiliki gari hawezi kukosa king’amuzi kiasi cha mkewe kwenda kwa jirani kuangalia ‘continental’

2. Yule jamaa anaonekana kabisa mazingira anayoishi siyo ya uswazi kiasi eti watu wakaangalie ‘continental’ kwa majirani zao, nyumba waliyokodi kua-act-ia inaonesha mazingira ya kuwa na maisha ya hali fulani ambayo ni shwari, hakuna uhalisia wa mtu wa hadhi hiyo mkewe kwenda kwa jirani kuangalia ‘continental’

2. Kwa hoja hizo walipaswa kuja na angle nyingine badala ya hiyo ya eti mke wa mtu ametoka nyumbani kwenda kuangalia continental kisa nyumbani hakuna continental.

3. Yule jirani mwenye continental haeleweki kama anacheza comedi au kitu gani, maana ni kama chizi Fulani hivi. (macho kama amekula msuba) tangazo halina maudhui, na ndo shida ya matangazo mengi ya bongo, watu wanachanganya matangazo na vichekesho visivyochekesha refer: matangazo ya Sharo billionea na matangazo ya mzee majuto, mfano lile la magodoro eti konda wa daladala anaota anapiga debe kumbe anampiga mkewe.
Kwa ufupi ni hayo tu, wapingaji wenzangu ongezeeni points.

Kwa sisi wataalam wa Mambo ya marketing::
Tangazo halina tatizo lolote, Unapotengeza tangazo
hasa video advert...target yako hasa ni kudraw
attention ya customer (ukijua kabisa si customers
wote watapenda hilo tangazo) pia ni kudeliver
message husika kwa hadhira husika (Continental
wamezingatia hilo kwa asilimia 95,
kwa kuzingatia ushindani wa makampuni mengine
ya ving'amuzi) kuhusu wahusika (celebrities) gani
watumike, bado hawajakosea kabisa:
wamechukua Comedian boy (yule wa futuhi)
aliyecheza uhusika wa ukomedi pia uhusika wa
ujanja katika kuchagua king'amuzi chenye ubora
zaidi kuliko vingine,
wamemchukua dada mrembo aliyeoneshwa
kukerwa na king'amuzi kinachoscratch hasa pale
alipokuwa akiangalia kipindi kizuri akipendacho,
lakini pia ameonekana kaka mtanashati
aliyeonekana ana pesa lakini pamoja na sifa zote
hizo hakuwa makini katika uchaguzi wa king'amuzi
bora..
Pia yule comediani ameonyesha umakini wa hali
ya juu kwani alikuwa na namba ya fundi kwa hiyo
endapo tatizo lingetokea angeweza kupigia mafundi
waje wamrekebishie kitu ambacho yule dada
hakuwa na hayo yote...
Kampuni imeweka ujumbe pia kuwa wana
customer care nzuri inayotatua matatizo haraka.
Kuna ujumbe mwingi sana katika tangazo lile japo
kuna kasoro ndogo sana.
SASA:: Katika marketing tuna wateja wa-aina
nyingi hasa tunapotengeza matangazo ya aina
ile....
sichangai kuona baadhi ya wateja wakikerwa na
tangazo lile kuna sababu nyingi sana...hapo.
yumkini customer ni loyal customer wa king'amuzi
vingine na havutiwi na huduma za cont. kwa hiyo
hata akiona tangazo hukerwa pia, pia kama si
mpenzi wa kipindi cha futuhi unaweza pia
usivutiwe na lile tangazo saaaana zipo sababu
nyingi za kukisia kwanini hujapendezewa na lile
tangazo..
ILA KWA UPANDE WANGU:
**Wamezingatia Maadili ya kitanzania kwa asilimia
99%,
**Wamezingatia kuchagua wahusika celebrities
walioendana na ujumbe uliokusudiwa.
**Ujumbe umezingatiwa na ni rahisi kueleweka kwa
hadhira.
**MUDA- Upo sahihi kutokana na tangazo (fanani)
mwenyewe na ujumbe ulikusudiwa kuwafikia wateja
na wasio wateja.

kwa hilo tangazo sijavutiwa kununua king'amuzi chao hata kidogo.Hata wakigawa bure sitakichukua inaonekana kitakuwa kinaboa tu.
 
1. Yule jamaa anamiliki gari hawezi kukosa king’amuzi kiasi cha mkewe kwenda kwa jirani kuangalia ‘continental’

2. Yule jamaa anaonekana kabisa mazingira anayoishi siyo ya uswazi kiasi eti watu wakaangalie ‘continental’ kwa majirani zao, nyumba waliyokodi kua-act-ia inaonesha mazingira ya kuwa na maisha ya hali fulani ambayo ni shwari, hakuna uhalisia wa mtu wa hadhi hiyo mkewe kwenda kwa jirani kuangalia ‘continental’

2. Kwa hoja hizo walipaswa kuja na angle nyingine badala ya hiyo ya eti mke wa mtu ametoka nyumbani kwenda kuangalia continental kisa nyumbani hakuna continental.

3. Yule jirani mwenye continental haeleweki kama anacheza comedi au kitu gani, maana ni kama chizi Fulani hivi. (macho kama amekula msuba) tangazo halina maudhui, na ndo shida ya matangazo mengi ya bongo, watu wanachanganya matangazo na vichekesho visivyochekesha refer: matangazo ya Sharo billionea na matangazo ya mzee majuto, mfano lile la magodoro eti konda wa daladala anaota anapiga debe kumbe anampiga mkewe.
Kwa ufupi ni hayo tu, wapingaji wenzangu ongezeeni points.

Sisi Wapiganaji Wenzako Wote Tupo Pointless Hivyo Labda Mpiganaji Mwenzetu Ungeendelea Tu Kutiririka Mapointi!
 
Continental is very smart. Wenye vichefuchefu na matangazo dawa yao wapate continental. Ua ni wafuasi wa vilivyododa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom