Tangazo la king'amuzi cha Continental linanichefua

pia kwenye television halipo poa coz mtu anakutwa katoka kwa jiran af bado jiran huyo huyo anakuja na kusema nimewackia mkilumbana mda mrefu huku hata dakika haijapita

Tena wakati jamaa mwenye mke anaingia yule jirani yake anakuwa amekaa kwenye pozi la woga na hofu alafu huyo huyo tena anapata ujasiri kuja kwa jirani yake
 
Pana msemo 'siku njema huonekana asubuhi'. Ki ukweli tangazo la king'amuzi cha 'continental' ni hovyo hovyo kabisa, sijui walioliandaa hawalisikii au vipi? Hebu wajaribu kusikiliza/wajifunze jinsi matangazo ya CRDB yanavovutia. Kwa tangazo hili linanishawishi niamni kuwa hata king'amuzi chenyewe ni kibovu.
ujumbe delivered
 
Tena wakati jamaa mwenye mke anaingia yule jirani yake anakuwa amekaa kwenye pozi la woga na hofu alafu huyo huyo tena anapata ujasiri kuja kwa jirani yake
Sasa hapo pana uhusiano gani na king'amuzi hicho?
 
Hata lile lile l kwenye TV walioliandaa hawakuwa serious...Yule bint amefika kwa jiran kabla hawajaingia hata ndan wakamuona jamaa ake kaja...Dem akamfuata jamaa anamuuliza umetoka wap? dem kwa jiran kuangalia TV wakat walikuwa wamesimama mlangon na yule jiran anatokea hapo hapo anasema nimewasikia mda mrefu mkilumbana....Jiran anatoa namba za wasambazaj wa hicho king;amuz kabla hawajapigiwa eti washaanza ingiza ungo ndan,Any way mbali na hayo STAR TV ni channel ninayoipenda sana hasa kutizama taarifa ya habar zao.

Sio kweli, angalia vizuri utaelewa, mwanamke kafika kwa jirani kafunguliwa mlango, kaingia ndani akakaa kajikuta kaangalia TV kutwa nzima na muda wa mme wake kurudi ukawa umefika, jirani kamsindikiza wakiwa wanaagana pale mlangoni mme wake ndo akaingia akawaona akamind..inaonesha kajamaa kalikuwa kanapiga sound pale mlangoni.
 
...kimsingi linamakosa mengi sana. kwanza yule dogo anaonekana kurukaruka kwenye kochi kama anaangalia mpira kumbe anaangalia panya anapiga tarumbeta. Sasa em jiulize kweli panya kupuliza tarumbeta inaweza kukufanya usikae kwenyekiti kamavile unaangalia mechi ya fainali ya wed cup ? Pili ni kosa kubwa sana kwa msanii kuiga staili ya mpinzani wako live. Yule dogo wa futuhi kunasehemu anaiga sauti ya joti, kosa kubwa sana kisanii. Mtiririko wa matukio hauoani. Uhusiano Wa wahusika haushawishi, Mke na mume. jirani anaanza kwa kudai amewasikia muda mrefu wakati sio kweli , namna wanavyostuka kama wamefumaniwa its more artificial, na mengine meeengi...
 
Je uhusiano kati ya movi hii na ubora wa king'amuzi chenyewe upo?
 
Kweli kabisa. Hawa hawakuwa wakitangaza king'amuzi bali walikuwa wanafanya 'comedy' tu hapo.
 
Lile tangazo ni kero haswa kwa familia yangu staki hata kuwaona wale jamaa wako kama wana ubongo wa samaki
 
Hata lile lile l kwenye TV walioliandaa hawakuwa serious...Yule bint amefika kwa jiran kabla hawajaingia hata ndan wakamuona jamaa ake kaja...Dem akamfuata jamaa anamuuliza umetoka wap? dem kwa jiran kuangalia TV wakat walikuwa wamesimama mlangon na yule jiran anatokea hapo hapo anasema nimewasikia mda mrefu mkilumbana....Jiran anatoa namba za wasambazaj wa hicho king;amuz kabla hawajapigiwa eti washaanza ingiza ungo ndan,Any way mbali na hayo STAR TV ni channel ninayoipenda sana hasa kutizama taarifa ya habar zao.
Yaani ni kichefuchefu, however me pia napenda "taarifa zao za habari" na "tuongee asubuhi"
 
Pia linadhalilisha wanawake. Bado continental wanadhani mwanamke ni pambo la kukaa ndani ili akutwe na mumewe kama kiburudisho tu

Sasa unataka kuanzisha mengine..lakini ujue wanawake wa hivyo bado wapo wengi tu..
 
Pana msemo 'siku njema huonekana asubuhi'. Ki ukweli tangazo la king'amuzi cha 'continental' ni hovyo hovyo kabisa, sijui walioliandaa hawalisikii au vipi? Hebu wajaribu kusikiliza/wajifunze jinsi matangazo ya CRDB yanavovutia. Kwa tangazo hili linanishawishi niamni kuwa hata king'amuzi chenyewe ni kibovu.

that's why makampuni ya simu huwa wanaleta directors kutoka thailand, india, Indonesia. kwanza directive zake ni poor maana actors wana over act, interpretation ya concept ni weak, aliyepiga picha ni mwehu kabisa maaana amecross.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom