Tangazo la king'amuzi cha Continental linanichefua

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,733
Pana msemo 'siku njema huonekana asubuhi'. Ki ukweli tangazo la king'amuzi cha 'continental' ni hovyo hovyo kabisa, sijui walioliandaa hawalisikii au vipi? Hebu wajaribu kusikiliza/wajifunze jinsi matangazo ya CRDB yanavovutia. Kwa tangazo hili linanishawishi niamni kuwa hata king'amuzi chenyewe ni kibovu.
 
nadhani mkuu lile tangazo upande wa radio ila lile upande wa television ni zuri sana kwanza lina viwango , hata mi lile na radio linanichefua sana pale inaposema A" mpaka kuchee sa ndio nini ! Kama amwezi fanya matangazo acheni au mnaokota tu watu wafanye matangazo kuogopa ghalama vizuri kwa helaa
 
Nilihisi limenikera pekee angu kumbe wengi...tatizo la kupenda cheap labour hawaigi wenzao? Afu sio lazima kila kitu utengenezee tangazo la tv mengine unaweka kwenye radio au posters lol
 
Hata lile lile l kwenye TV walioliandaa hawakuwa serious...Yule bint amefika kwa jiran kabla hawajaingia hata ndan wakamuona jamaa ake kaja...Dem akamfuata jamaa anamuuliza umetoka wap? dem kwa jiran kuangalia TV wakat walikuwa wamesimama mlangon na yule jiran anatokea hapo hapo anasema nimewasikia mda mrefu mkilumbana....Jiran anatoa namba za wasambazaj wa hicho king;amuz kabla hawajapigiwa eti washaanza ingiza ungo ndan,Any way mbali na hayo STAR TV ni channel ninayoipenda sana hasa kutizama taarifa ya habar zao.
 
Mkuu, kwa upande wa vipindi wanajitahidi mno sehemu zote (radio na tv). Tatizo ni hili tangazo mbona lile la mzee Samadu Hassan la kuelezea jinsi ya kukitumia king'amuzi hicho lilikuwa zuri?
 
Nakubaliana na wewe mkuu, nadhan labda bajeti ya kufanya tangazo ilikuwa finyu sana ama walitaka tangazo liwe la dakika fupi sana hadi wakaharibu... unajua matangazo yanalipiwa kwa dakika.. ama umakin tu ulikosekana pale....
Ila kiujumla sisi walaji hatujaridhishwa na maandaliz...Hiv Star TV hawapo humu ndan?
 
Last edited by a moderator:

Wamo ila wanauchuna tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom