Tangazo la king'amuzi cha Continental linanichefua

Tangazo la king'amuzi cha Continental linanichefua

King'amuzi HAKICHUKIWI ila kinachotukera ni mantiki iliyotumika kukitangaza.

Kwahiyo Sasa Unanishauri Nichukie Hiyo Mantiki au Hicho Kisambusi ( King'amuzi )? Kwani Nina Hamu Nami Ya Kukereka Kama Mlivyokereka Nyie.
 
pia kwenye television halipo poa coz mtu anakutwa katoka kwa jiran af bado jiran huyo huyo anakuja na kusema nimewackia mkilumbana mda mrefu huku hata dakika haijapita
Ulitaka dakika ipite halafu tangazo liwe refu wachajiwe gharama kubwa?
 
Tatizo ni kuwa yule mwanamke hana kazi ya kufanya siku nzima hapo ndani kwake? Hata usafi wa chumbani hakufanya siku hio.Mtu aliyeelimika awezi kushinda mchana kutwa kuangalia vipindi kwenye rundinga au king'amuzi yeyote.
 
Tena silipendi kabisa wewe umkute mkeo anatoka kwa jirani yako tena wapo wawili tu halafu wanakuletea hadithi za king'amuzi sijui kama utawaelewa wanatakiwa kuwa wabunifu waweke tangazo la kuwafurahisha Wateja na sio kutuboha kama wanavyofanya
 
Kwa hasira hizi "HAWATALETA TANGAZO LA KUBOHA" tena!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom