Tangazo la king'amuzi cha Continental linanichefua

Tangazo la king'amuzi cha Continental linanichefua

1. Yule jamaa anamiliki gari hawezi kukosa king'amuzi kiasi cha mkewe kwenda kwa jirani kuangalia ‘continental'

2. Yule jamaa anaonekana kabisa mazingira anayoishi siyo ya uswazi kiasi eti watu wakaangalie ‘continental' kwa majirani zao, nyumba waliyokodi kua-act-ia inaonesha mazingira ya kuwa na maisha ya hali fulani ambayo ni shwari, hakuna uhalisia wa mtu wa hadhi hiyo mkewe kwenda kwa jirani kuangalia ‘continental'

2. Kwa hoja hizo walipaswa kuja na angle nyingine badala ya hiyo ya eti mke wa mtu ametoka nyumbani kwenda kuangalia continental kisa nyumbani hakuna continental.

3. Yule jirani mwenye continental haeleweki kama anacheza comedi au kitu gani, maana ni kama chizi Fulani hivi. (macho kama amekula msuba) tangazo halina maudhui, na ndo shida ya matangazo mengi ya bongo, watu wanachanganya matangazo na vichekesho visivyochekesha refer: matangazo ya Sharo billionea na matangazo ya mzee majuto, mfano lile la magodoro eti konda wa daladala anaota anapiga debe kumbe anampiga mkewe.
Kwa ufupi ni hayo tu, wapingaji wenzangu ongezeeni points.
Sasa hata wiki haijaisha Vodacom wametoa tangazo lao. Linakupa ujumbe wa moja kwa moja kinachokusudiwa na linakufanya usisimke kwa lafudhi iliyotumika.
 
Kwa sisi wataalam wa Mambo ya marketing::


Tangazo halina tatizo lolote, Unapotengeza tangazo hasa video advert...target yako hasa ni kudraw attention ya customer (ukijua kabisa si customers wote watapenda hilo tangazo) pia ni kudeliver message husika kwa hadhira husika (Continental wamezingatia hilo kwa asilimia 95,

kwa kuzingatia ushindani wa makampuni mengine ya ving'amuzi) kuhusu wahusika (celebrities) gani watumike, bado hawajakosea kabisa:
wamechukua Comedian boy (yule wa futuhi) aliyecheza uhusika wa ukomedi pia uhusika wa ujanja katika kuchagua king'amuzi chenye ubora zaidi kuliko vingine,

wamemchukua dada mrembo aliyeoneshwa kukerwa na king'amuzi kinachoscratch hasa pale alipokuwa akiangalia kipindi kizuri akipendacho, lakini pia ameonekana kaka mtanashati aliyeonekana ana pesa lakini pamoja na sifa zote hizo hakuwa makini katika uchaguzi wa king'amuzi bora..

Pia yule comediani ameonyesha umakini wa hali ya juu kwani alikuwa na namba ya fundi kwa hiyo endapo tatizo lingetokea angeweza kupigia mafundi waje wamrekebishie kitu ambacho yule dada hakuwa na hayo yote...

Kampuni imeweka ujumbe pia kuwa wana customer care nzuri inayotatua matatizo haraka.

Kuna ujumbe mwingi sana katika tangazo lile japo kuna kasoro ndogo sana.


SASA:: Katika marketing tuna wateja wa-aina nyingi hasa tunapotengeza matangazo ya aina ile....

sichangai kuona baadhi ya wateja wakikerwa na tangazo lile kuna sababu nyingi sana...hapo.
yumkini customer ni loyal customer wa king'amuzi vingine na havutiwi na huduma za cont. kwa hiyo hata akiona tangazo hukerwa pia, pia kama si mpenzi wa kipindi cha futuhi unaweza pia usivutiwe na lile tangazo saaaana zipo sababu nyingi za kukisia kwanini hujapendezewa na lile tangazo..

ILA KWA UPANDE WANGU:

**Wamezingatia Maadili ya kitanzania kwa asilimia 99%,

**Wamezingatia kuchagua wahusika celebrities walioendana na ujumbe uliokusudiwa.

**Ujumbe umezingatiwa na ni rahisi kueleweka kwa hadhira.

**MUDA- Upo sahihi kutokana na tangazo (fanani) mwenyewe na ujumbe ulikusudiwa kuwafikia wateja na wasio wateja.

Ahsanteni
Kizuri kinajiuza Kibaya kinajitembeza uchi barabarani. King'amuzi kwa Bongo ni Azam TV pekee, nje ya mipaka ni DSTV pekee. Over.
 
mdada ana tako sasa mwanaume mwenzetu kamtuliza kwenye sofa wanatazama continental.halafu anapojiweka sawa kwny sofa paja la karibu na goti huonekana.daah moyo wangu huumia sana
Tena inavyooneka alitoka nje ya nyumba yake kwa hasira bila kuvaa hata chupi kwenda kwa jirani. Ona tako linavyotetemeka ndani ya dera, ingekuwa jinsi sijui ingekuaje.
 
Maudhui yaendane na hali halisi, haiwezekani simu ipigwe hata kukata bado watu mafundi wanaingia na Madishi getini. Hata kama ni matangazo yanatakiwa kuakisi maisha halisi ya soko.

Asante grafani11, na hata huo ujumbe unaodaiwa kufikishwa na tangazo lenyewe haujafika popote, maana badala ya kujadili bidhaa; tunajadili tangazo.
bampami anasema wamechagua waigizaji wazuri, eti mchekeshaji wa futuhi, hivi nani aliwaambia matangazo lazima yatengenezwe na wachekeshaji?

Tangazo lile na mengine mengi tu ya kibongo yana kasoro.
 
Last edited by a moderator:
Asante grafani11, na hata huo ujumbe unaodaiwa kufikishwa na tangazo lenyewe haujafika popote, maana badala ya kujadili bidhaa; tunajadili tangazo.
bampami anasema wamechagua waigizaji wazuri, eti mchekeshaji wa futuhi, hivi nani aliwaambia matangazo lazima yatengenezwe na wachekeshaji?

Tangazo lile na mengine mengi tu ya kibongo yana kasoro.
Lile tangazo nalichukulia kama kibonzo cha Kipanya, kikipita kimepita wala sikumbuki.
 
Asante grafani11, na hata huo ujumbe unaodaiwa kufikishwa na tangazo lenyewe haujafika popote, maana badala ya kujadili bidhaa; tunajadili tangazo.
bampami anasema wamechagua waigizaji wazuri, eti mchekeshaji wa futuhi, hivi nani aliwaambia matangazo lazima yatengenezwe na wachekeshaji?

Tangazo lile na mengine mengi tu ya kibongo yana kasoro.
Mkuu, mie nawafagilia mno CRDB kwa umahiri wao wa kuandaa matangazo mazuri na yanayoeleweka.
 
Mbna me nakapenda kale ka wimbo kao eti..🙂
 
hahahahaha jf mmenishindwa tabia teh teh mpaka tangazo hahaha
 
Nakubaliana na wewe mkuu, nadhan labda bajeti ya kufanya tangazo ilikuwa finyu sana ama walitaka tangazo liwe la dakika fupi sana hadi wakaharibu... unajua matangazo yanalipiwa kwa dakika.. ama umakin tu ulikosekana pale....
Ila kiujumla sisi walaji hatujaridhishwa na maandaliz...Hiv Star TV hawapo humu ndan?
mkuu kwani umelazimishwa utizame?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom