Tangazo by Utawala: Likizo ya 12 - 15 May. . .

Kuna watu wanaichangamsha JF 24hrs, yani wanakesha kama popo, sasa kuanzia kesho mtambo unazima kwa siku tatu, tuwafuate wapi??? Facebook, twitter au nyumbani kwenu? Rejao utapatikana wapi broda?
 
Hiki ndio kipindi kizuri kukutana live. Kwa wale vyapombe wenzangu mi ntakuwa Fyatanga, Fairway na Etienes bar. Kwa wale wanywa mchana wenzangu lunch mchana huwa nayapigia na kushushia ugali pale port view au Pentagon kwa Kibwetere. Ukifika bar hizo na kuona kibabu counter basi ujue ndo ODM mwenyewe. KARIBUNI TUTONGOZANE.

Hahahaaaaa umenikumbusha longiiiiiiii pafanyie marekebisho basi Asprin panafaa sana kwa kutongozana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom