Tangazo by Utawala: Likizo ya 12 - 15 May. . .

Tehe, haya sasa vijiweni kule tmk walishatutoa kwny rekodi yao. Dah! Hii ni ngumu kumesa, jamani naombeni ukaribisho, mwenzenu nishafukuzwa nyumbani
 
Ratiba yangu ya luch itakuwa kama ifuatavyo.
Tar 12 saa saba hadi tisa mchana: Mihogo koko bichi, ntakuwa na bajaj ya grey
Tar 13 saba hadi nane mchana: Pale Chips Edo
Tar 14: Saba hadi tisa: Pale Bamboo Bar

Usiku ntakuwa nakunywa Bahama Mama Kimara au Sisimizi bar Ubungo

Am calling you now, pokea hiyo Private number

Konnie bana!
 
watu waache kua na multiple IDs...wanachoogopa ni nini?? au kama akianzisha ID nyingine basi ile ya zamani aifute..JF board inabidi mchunguze hili..anzeni kucheki IP za watu ili kue na only one username per IP address maana server yenu inashindwa sasa utakuta inaonyesha watu online wako 15000 kumbe actual ppo ni 8000 tu...
 
mtotowamjini kwani wamekwambia hilo ndo tatizo?Unaweza ukawa na Ip moja na baba mkwe ,,Ukimaliza kutumia laptop unamwazima baba mkwe kumbe nae ni memba wa JF
 
Mi nachukua fursa hii kuwaaga,na kuwatakia mapumziko mema.

Wengine tukabadili keyboard.keypad zimekwisha.
Tutaonana tar 15.
 
Back
Top Bottom