Tangazo by Utawala: Likizo ya 12 - 15 May. . .

jamani mimi mkinimisi mnitumie hata vi email email yangu ni dinacathu@yahoo.com
loh nitawamiss kwa kweli..............

Jamani smile naomba urudishe avatar yako pliiiiiz
:focus: Nitawamiss sana wapendwa wangu kiukweli mimi kila siku nasema hapa ni 'free stress zone yangu' sasa sijui nitakimbilia wapi? Kongosho nielekeze kwako nije unipokee kwa mikono na miguu
 
...mie toka siku wanatangaza hii...kichwa kikauma sana...cjui mwenzangu....wangu wa ubani..wangu Lazizi..kipenzi cha moyo wangu..my Bebiii@Preta..nitakavyo mmiss

Yaani mmeoana afu hamna adress za majumbani kwenu, hii kweli NDOWA!

nipo facebook pia natumia jina la smile dinah

Basi mie langu ni Lutanigwa Lutasagwa

...da! Sasa kijiweni ntawapa stori gani?
Oooh!! Nitatembelea ndugu, jamaa na marafiko, ukiniona kwako usishtuke.

Hebu njoo twisheni na ile biashara yako ya ubuyu na bajia.
 
Jamani smile naomba urudishe avatar yako pliiiiiz
:focus: Nitawamiss sana wapendwa wangu kiukweli mimi kila siku nasema hapa ni 'free stress zone yangu' sasa sijui nitakimbilia wapi? Kongosho nielekeze kwako nije unipokee kwa mikono na miguu
noo sitaki kuwa fake sasa hivi natumia picha yangu mwenyewe
 
Majani hayaangushi nyumba lol

Nilivyopa-abandon nahisi kutakua na nyasi mpaka kwenye dari.

Hehehehe. . .hao sidhani kama wanaruhusiwa kualika + (plus)one(s)
 
Njoo Tandale, uliza Wachafu Camp, ndipo napoishi.

Jamani smile naomba urudishe avatar yako pliiiiiz
:focus: Nitawamiss sana wapendwa wangu kiukweli mimi kila siku nasema hapa ni 'free stress zone yangu' sasa sijui nitakimbilia wapi? Kongosho nielekeze kwako nije unipokee kwa mikono na miguu
 
Hiki ndio kipindi kizuri kukutana live. Kwa wale vyapombe wenzangu mi ntakuwa Fyatanga, Fairway na Etienes bar. Kwa wale wanywa mchana wenzangu lunch mchana huwa nayapigia na kushushia ugali pale port view au Pentagon kwa Kibwetere. Ukifika bar hizo na kuona kibabu counter basi ujue ndo ODM mwenyewe. KARIBUNI TUTONGOZANE.
 
dah babu tukaribie tufanyeje?
 
taarifa inasema :
TAARIFA MUHIMU: Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook.

watu wengi hawatilii maanani hapo nilipo bold na red hapo...sio kwamba shule inafungwa kabisa...ila wale watakaoshindwa kusoma sababu ya kelele za kupigilia misumari mabati ndio wanapewa taarifa kuwa waende kusomea kule stoo...sasa nyie mwasema tunafunga shule....acheni uvivu...shauri yenu...na mwaka huu lazima niwaongozee tena masomo yote!!!
 
Hiki ndio kipindi kizuri kukutana live. Kwa wale vyapombe wenzangu mi ntakuwa Fyatanga, Fairway na Etienes bar. Kwa wale wanywa mchana wenzangu lunch mchana huwa nayapigia na kushushia ugali pale port view au Pentagon kwa Kibwetere. Ukifika bar hizo na kuona kibabu counter basi ujue ndo ODM mwenyewe. KARIBUNI TUTONGOZANE.

Ratiba yangu ya luch itakuwa kama ifuatavyo.
Tar 12 saa saba hadi tisa mchana: Mihogo koko bichi, ntakuwa na bajaj ya grey
Tar 13 saba hadi nane mchana: Pale Chips Edo
Tar 14: Saba hadi tisa: Pale Bamboo Bar

Usiku ntakuwa nakunywa Bahama Mama Kimara au Sisimizi bar Ubungo

Ngoja niende picknick,kony nimekupigia hupokei please col me back.
Am calling you now, pokea hiyo Private number
 
Hiyo lufha ni ya Killing me softly, shauri yako aga wote uwapendao.
Yaani mie naaga kwa bidii leo, kama PM zinaleta ujauzito ndo leo naupata.

taarifa inasema :

watu wengi hawatilii maanani hapo nilipo bold na red hapo...sio kwamba shule inafungwa kabisa...ila wale watakaoshindwa kusoma sababu ya kelele za kupigilia misumari mabati ndio wanapewa taarifa kuwa waende kusomea kule stoo...sasa nyie mwasema tunafunga shule....acheni uvivu...shauri yenu...na mwaka huu lazima niwaongozee tena masomo yote!!!
 
Ratiba yangu ya luch itakuwa kama ifuatavyo.
Tar 12 saa saba hadi tisa mchana: Mihogo koko bichi, ntakuwa na bajaj ya grey
Tar 13 saba hadi nane mchana: Pale Chips Edo
Tar 14: Saba hadi tisa: Pale Bamboo Bar

Usiku ntakuwa nakunywa Bahama Mama Kimara au Sisimizi bar Ubungo

Am calling you now, pokea hiyo Private number

khaaa kony kumbe uko uk?nakuPM namba yangu ya viatu uniletee wii
 
Hiyo lufha ni ya Killing me softly, shauri yako aga wote uwapendao.
Yaani mie naaga kwa bidii leo, kama PM zinaleta ujauzito ndo leo naupata.
anhaaaaa....kumbe wewe ni jinsia ya SH........!!!!??? :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:....tehe tehe....
 
Jaman ntawamiss sana,na hv sijui cha facebuku wala twita,
Tutakuwa bize na Mme wangu Rejao tunarutubisha mimba basi!!

Nawatakien likizo njema na mungu atusaidie tufufuke pamoja na JF!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom