Tangazo by Utawala: Likizo ya 12 - 15 May. . .

Tangazo by Utawala: Likizo ya 12 - 15 May. . .

wale wanafunzi waliokula ada
ndo wamefanya bili zisilipwe
na kutuletea balaa lote hili,
safari hii mimi lazima nilipe ada ngoja nijipange pange.
 
sijui nimkasirie nani kwa hii dhahama.
 
Back
Top Bottom