Tangazo by Utawala: Likizo ya 12 - 15 May. . . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo by Utawala: Likizo ya 12 - 15 May. . .

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kongosho, May 10, 2012.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kutokana na tangazo la utawala la shule zote kufungwa kuanzia 12 -15 May kutokana na uhaba wa chakula baada ya wanafunzi kuongezeka kwa kasi kutokana na multiple ID's na kuenea kwa mtandao huu.

  Napenda kutoa masikitiko yangu makubwa sana kuwa nitawa-miss in advance WOTE.

  Kwa wale wanaoweza basi tutakutana twisheni kwa Mwl Fikra Pevu na Fesi Buku.

  Spesho Missing itakuwa kwa ..kwa ... eeeh hi hi hi(nalia nimeshindwa hata taja jina).
  Lakini jua you will be missed big time.


  Basi tuendelee na cha muagano, ila hapa hapa sio mwende gesti kuagana.
  Afu kuna wale siku ya kufunga wanawachapa wasichana na MAFIMBO yao, leo walimu wa zamu wako makini.

  Tunakusanyika kiwanjani kupewa ripoti na tatu bora kupokea zawadi na tatu mwisho kuzomewa na kuchapwa.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Spesho missing ni mimi hapa. . .
  Ila mi ntakuwepo.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Nishajiona anguko la bhange linanirudia! RIP King'asti before kufufuka kwa jeiefu.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  najua yu no wari ai min.

  Ntawamiss sana

  wee utakuwa wapi?
  Kule kwako?

   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha, tena anguko litakuwa la kishindo.

   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Loh. . . kule naogopa hata kuingia. . .ntakua hapa hapa maana Invisible kaniambia hawezi ruhusu na mimi nikose JF kwahiyo ntakua nae.
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,045
  Likes Received: 6,487
  Trophy Points: 280
  Mimi na uzee huu nitafanya nini, lol
  nitasoma Biblia kwa kwenda mbele,
  but I will miss you kwa ukweli.

  Sijui wasipofufuka siku ya ufufuo itakuwaje tena.
   
 8. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mje Selous mle nyama za Pori kama chatu, tembo, simba na ndege kibangi.......cku tatu hzo mtapendezaaa please???
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Unaogopa nini sasa?
  Ngoja nipiteko leo nione kuna nini.

  Mie namwogopa Invisible labda Buchanan au Fang wakiniita ntakuja.

   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  jamani mimi mkinimisi mnitumie hata vi email email yangu ni dinacathu@yahoo.com
  loh nitawamiss kwa kweli..............
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Njoo kule, kuna twisheni ya kukari pia, utajifunza hata mradi wa maandazi Kimara Juu.

   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ntakutumia, ukiona tu email ya konnie ujue ni mie.

   
 13. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  ...mie toka siku wanatangaza hii...kichwa kikauma sana...cjui mwenzangu....wangu wa ubani..wangu Lazizi..kipenzi cha moyo wangu..my Bebiii@Preta..nitakavyo mmiss
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nipo facebook pia natumia jina la smile dinah
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  utakuwa wapi..
   
 16. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...da! Sasa kijiweni ntawapa stori gani?
  Oooh!! Nitatembelea ndugu, jamaa na marafiko, ukiniona kwako usishtuke.
   
 17. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  utachelewa kuipata we 2 pm jina lako la fb bnah..
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nilivyopa-abandon nahisi kutakua na nyasi mpaka kwenye dari.

  Hehehehe. . .hao sidhani kama wanaruhusiwa kualika + (plus)one(s)
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  naitwa smile dinah
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapa hapa JF ndetichia .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...