teh teh kunisifia publicly,hujui watu watajenga imagination kubwa matokeo yake wakiniona live wanazimia kukuta mambo ni kinyume Mentorkhaaa
Stori yako nzuri. Ukiichezea muvi ita heat.
Hebu nikumbushe forodhani kwa tanga ipo mitaa gani mana nilitoka huko kitambo.
duh.......... Mentor kumbe ndo maana ulikuwa vere down................you didnt want to meet your buddies, neither cook, nor smoke wee with em, hata kukaribisha watu unaishia kuwachungulia dirishani!!!
now i know!!!!!
Jitunze!
Umesahau zile hesabu za enzi zile? Ukishapata jibu ni lazima u-prove ili uwe na uhakika wa marks!!....Ndiyo raha ya hesabu hiyo...lol!!
Tatizo huyu mshikaji anataka kutumia short cut kupitia Sahare kwa Babu......
Babu DC!!
watu8 upo, naona kyanaKyoMuhaya anakupeleka beach ya Pangani (maeneo ya chips maharage)mzima miye.........
watu8 upo, naona kyanaKyoMuhaya anakupeleka beach ya Pangani (maeneo ya chips maharage)
Na wazee pia wamo. Cc: Asprin, Mtambuzi
Am humbled mkuu mwekundu...nadhani ni muda wa kuoa sasa!!!!
Na wanawake pia...au??!
inawezekana sina...? Hahahaha...jichunguze! #tafakari
...na kuoa!
Amen!
Pale kwa muuza pharmacy nilijifanya kauzu zaidi ya dagaa as if nilikuwa najua yote like hakuna kipya alichoniambia! Kumbe moyoni alinichoma zaidi ya mkuki wa moto..
Unataka kuprove kama hesabu zako ziko sawa??
Babu DC!!