PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,264
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha....wahenga walisema mpania maji hayanywi kaka...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha....wahenga walisema mpania maji hayanywi kaka...
Ohooooo!!!Huyu atakuwa faiza foxy
duuu...ngoja nisave hii miguu kwa ajili ya chama langu la chaputa![]()
ukienda macho juu juu aurudi, wenyewe wanakwambia tanga raha.![]()
Na mdalasini wa WawadiLazima maji ya kuoga uwekewe iliki na amdalasini
Hou mguu ni zaidi ya kiuno![]()
ukienda macho juu juu aurudi, wenyewe wanakwambia tanga raha.![]()
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Nilienda Tanga safari ya kikazi ya siku moja, nilikutana na balaa la msako wa polisi. Haki ya nani sikufaudu kitu. ***** polishi!!
Inatakiwa uwashukuru polisi mana watakua walikuokoa na mambo mengi ikiwemo kutomurudi huko ulikotoka means ungepoteza ajira yako washukuru polisiNilienda Tanga safari ya kikazi ya siku moja, nilikutana na balaa la msako wa polisi. Haki ya nani sikufaudu kitu. ***** polishi!!
Ingependeza kupata full picha ya MTU huyo anaeonekana miguu![]()
ukienda macho juu juu aurudi, wenyewe wanakwambia tanga raha.![]()
Kweli mkuu ni uhuni tupu.Hakunaga issue ni uhuni tu..
Aseee usipokuwa makin lazima utoke na ZERO form six nilisoma katikati ya jiji USAGARA SEC vijana kibao na one zao walizingua form six kisa kujiinga katika mambo hayo .ushaur nenda tanga kusoma sio kufanya mengineNgoja nikifanikiwa kuchanguliwa Advance level lazima nililie nikasome Tanga
Na ukitoka c utakuwa unanukia mandazi mkuuLazima maji ya kuoga uwekewe iliki na amdalasini
Kweli kabisa naunga mkono kauli yako. Tanga siku hizi imebaki jina tu.Mbwembwe tu hizo now a days hakunaga hizo mambo