Tanga mbali lakini nitakuja hata kwa miguu

Tanga mbali lakini nitakuja hata kwa miguu

Itabidi uni host kwa miezi m3 mzee.
Nimepamiss resort... vipi mwembe wa tigo bado upo?

Ha ha ha usjal mzee kokote sie tunaliamsha
Nahis utakaa sana japokua na mm sjaenda toka mwaka uanze nasikia kuna machimbo mapya
 
Ha ha ha usjal mzee kokote sie tunaliamsha
Nahis utakaa sana japokua na mm sjaenda toka mwaka uanze nasikia kuna machimbo mapya
Lazima yawepo aiseeh... nina miaka 6 mm.

Mwelekeze mwembe wa tigo madame B
 
mtatuotesha bhana... wengine wanafunzi humu mnatufundisha tabia mbaya..!!!
 
Back
Top Bottom