Tanga mbali lakini nitakuja hata kwa miguu

Tanga mbali lakini nitakuja hata kwa miguu

Aseee usipokuwa makin lazima utoke na ZERO form six nilisoma katikati ya jiji USAGARA SEC vijana kibao na one zao walizingua form six kisa kujiinga katika mambo hayo .ushaur nenda tanga kusoma sio kufanya mengine
Duh walilishwa limbwata hao
 
Mguu mashalah ....aiseee sipati kijungu cha mtoto mwenyewe kikoje
daaaa , kuna watu wamejaaliwa . Na hilo kapeti la unyoya baaasi ndo
limefika kwa mtu sahihi wengine tuendelee kukanyaga chini tu na kwenye cement kwani hakuna namna.
Yaap! Leg Line!
 
Nimesoma pale AMOTC bomba kipindi hicho kulikuwa na watoto wazuri pale Popatrali high school nililamba wawili. Mumoja nikaendeleza nae mahusiano nilitaka nimuoe baba yake akazingua eti nibadili dini. Alitaka niwe muislam.
 
b3e45651b5bd945632e0170531f83897.jpg
9165e99d9becd3e1767963786489ecbf.jpg
1f7f97f6296edbde7cb73b004239a27e.jpg
ukienda macho juu juu aurudi, wenyewe wanakwambia tanga raha.
Nami Ntaenda Tu Tanga
 
Uku tanga mjini kuna ukimwi sana ckuiz na wanawake ni wengi sana kuanzia
nguvumali
kisosora
mabanda ya papa
magomeni
mwamboni
barabara ya 1 hadi ya 20 uko
raskazoni
kwa minchi
sahare
wanawake wa Tanga wanajua mapenzi balaa kama unataka mwanamke anaejua mapenzi tuu oa mdigo,mbondei au mzingua awa wanawake wa aya makabila ni shida wanajua kulea wanaume balaaa yani unaweza ukasahau kwenu watoto wana rafudhi moja balaa iyo ya kitanga wana lugha nzuri na maneno matamu balaa tatizo lao kubwa ni wavivu sana awajui kutafuta pesa wao wanajua kumfurahisha mwanaume tuu wanajua kupika na kukata mauno balaa.Tanga hatari sana ila ckuizi ukimwi ni mwingi sana.

Ila kama unataka oa mwanamke wa kitanga wa kufanya nae maisha oa msambaa wa rushoto utaenjoy sana wanaakili ya maisha na wanajua mapenzi bye de way kuna ukimwi sana now day.....
 
Tanga raha. Kuna mke wa mtu tumekutana whatsapp group yupo tanga daaah mweuupeeeeee clip zake najikuta naloa tu
 
Back
Top Bottom