Naombeni hii post mods mnisaidie kuiweka kwenye kero.Dira ya maendeleo 2025-2050 inasema elimu na ujuzi kwa maendeleo ya taifa na katika hilo waziri mkuu aliepita alishauri na kusistiza sana watu waende veta wakachukue juzi mbalimbali.
Katika hao walioitikia huo ushauri Kuna wengine wamechukua driving kwa malengo mbali mbali.Cha ajabu ni kwamba Vyeti vyao ambavyo vinawatambulisha kwamba wamehudhuria na kufuzu mafunzo ya awali ya udereva katika chuo kinachotambulika na serikali hatimae waweze kuvitumia kukata lessen wanacheleweshewa.
VETA TANGA Kuna intake kama 5 zote zinasubiria vyeti waalimu wenyewe hawajui vinatoka lini,wao wanakwambia kazi Yao ni kufundisha tu kama unataka maelezo zaidi onana na uongozi wa juu uulize.
Sasa naomba kuiuliza veta makao makuu ni nini kinapelekea ucheleweshaji huu wa vyeti ukizingatia kwamba ili uruhusiwe kukata lessen ni lazima uwe na lessen hai ya awali ya kujifunzia ambayo nayo Ina expire baada ya miezi 3.
Kwa sababu walimu muda mwingine wanakwambia changhamoto haziko chuoni bali ziko veta makao makuu kwamba anaehitajika kuvisign hivyo vyeti ni mtu mmoja ambae nae anamajukumu mengi.Kwa hivyo ili kurahisha utendaji kazi Mimi naomba utaratibu urejelewe upya vyeti viwe vinapatikana kwa urahisi eneo husika.Ila tu uwekwe mfumo mpya wa kuzuia kugushi.