Tanga mbali lakini nitakuja hata kwa miguu

Tanga mbali lakini nitakuja hata kwa miguu

Ngoja nikifanikiwa kuchanguliwa Advance level lazima nililie nikasome Tanga
 
Tanga sehemu gani,Tanga mjini,Lushoto,Pangani,Korogwe,Handeni,Kilindi au wapi..?
 
b3e45651b5bd945632e0170531f83897.jpg
9165e99d9becd3e1767963786489ecbf.jpg
1f7f97f6296edbde7cb73b004239a27e.jpg
ukienda macho juu juu aurudi, wenyewe wanakwambia tanga raha.
Huyu atakuwa faiza foxy
 
Mguu mashalah ....aiseee sipati kijungu cha mtoto mwenyewe kikoje
daaaa , kuna watu wamejaaliwa . Na hilo kapeti la unyoya baaasi ndo
limefika kwa mtu sahihi wengine tuendelee kukanyaga chini tu.
Possible ana neema za 'SHEKH KIPOOZEO'
 
Back
Top Bottom