Tunauziwa sababu hatuna hayo matrilioni ya kuchimba hyo gesi.Gesi n yetu wenyewe lakn tunauziwa kwa gharama Sasa tunamanufaa gani hii maliasili?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hta SGR ni gharama kuliko reli ya kawaida mbona hamuongelei gharama? Hta Airport mpya maintenance cost yake ni kubwa kuliko kabla ya upanuzi.Makamba anakuambia twende kwenye umeme wa upepo na solar, hizo ndio gharama zaidi. Yaani mtu anakurupuka tu anawaza kupiga 10% zake.
Huna gesi wewe. Ile gesi pale ni ya wachimbaji ya kwetu bado iko ardhini ila ikishachimbwa ikawa nje sio yetu. Hatuna gesi.Gesi ni yetu wenyewe lakini tunauziwa kwa gharama Sasa tuna manufaa gani hii maliasili?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huu ndiyo mzizi wa kutangaziwa mabwawa yamekauka.TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya kuzalishia umeme inabakisha gharama ya uzalishaji wa umeme kuendelea kuwa juu....
Mradi wa gesi ni trillion of Tshs pengine tusingeweza wenyewe walau mwanzoni coz gharama zinakua juu. So mnafanya tu concession agreement ila kusema imeuzwa ni overstatement.Niliwambia watu humu Zitto naye ni kilaza..wwtu wote wameingia wamekuta gasi iliuzwa na kikwete hivyonkama nchi hatuna gasi ya kujichotea..sasa na samia aliingia na mbwembe na akina january nao wamekwamana wanawaza kwenda kwenye solar na windi ..mbona hawaendi kwenye gas waliokuwa wanamtukania magufuri kuwa kaitelekeza?
Sasa si bora wa gharama uwake kuliko wa cheap hauwaki, watu wanakwenda na Technologia duniani wewe unakwenda na historia wapi na wapi ndugu.TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya kuzalishia umeme inabakisha gharama ya uzalishaji wa umeme kuendelea kuwa juu...
Nadhani mpaka sasa gesi yetu ni ile ambayo ipo tumboni mwetu punde tukishakula maharage .
🤣🤣Duuuu lazima tuchanganyikiwe mwaka huu yani hii wizara kila mtu msemaji na ni kambale...
Bidhaa zetu haziwezi kushindana na soko la nje kama tutaendelea kujikita kwenye uzalishaji kwa gharama kubwa ya umeme.Hta SGR ni gharama kuliko reli ya kawaida mbona hamuongelei gharama? Hta Airport mpya maintenance cost yake ni kubwa kuliko kabla ya upanuzi.
Cha msingi supply ya umeme iwepo ila tukiangalia gharama tu hakuna kitu tungeshafanya.
Policy changes awamu ya 4 gas awamu ya 5 hydro awamu ya 6 wind solar geothermal.TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya kuzalishia umeme inabakisha gharama ya uzalishaji wa umeme kuendelea kuwa juu...