TANESCO yautaja umeme wa gesi kama 'umeme wa gharama'

CCM na Serikali yake wanatufanya watanzania wote wajinga na mataahira. Kila awamu inakuja na mradi wa umeme wa upigaji.
Huu mchezo hautaisha mpaka CCM itoke madarakani.

Watanzania tuamke sasa, tumepigwa, tunapigwa na tutapigwa kwenye nishati milele tukieendelea kucheka cheka na hawa kima wa kijani.
 
Hii wizara ameingia mjuaji na amekutana na wajuaji. Ngoja tuone itaishia wapi. Ila kuna mtu atasalimu amri muda sio mrefu.
Ni ukweli usiofichika kwamba thermal power plants are more expensive than hydro ones. The best option is to mix the two in a certain prudent propotional.

Nishati lazima mtu mzalendo na muelewa akae pale. Dr. Tito Mwinuka sijui kwanini wamemuondoa maana alikuwa anafaa sana kwenye kiti kile kwa jinsi alivyo
Walimtoa ili wamuweke huyu ostadh wao
 
Policy changes awamu ya 4 gas awamu ya 5 hydro awamu ya 6 wind solar geothermal.

Gas ya uhakika lakini ghali hatuna trillions za exploration rigs special pipes refineries.

Lakini wataalam wetu wanashindwa kushauri focus iwe wapi kwanza ambayo iko efficient ktk time resources and financial resources tukapriotize.

Hizo options za wind, solar na geothermal zinahitaji muda nazo na kwa mabadiliko tabia nchi uhakika wa mvua ni mdogo sana.

Jopo la wataalam wakae na kishauri option hipi ni ya haraka na nafuu
Wakati huo labda ccm isiwepo
 
UMEWAHI KUFIKA MTWARA AU LINDI??? KAMA GAS NI GHARAMA KWANINI BEI NI SAWA KWA WATU WA KUSINI NA MIKOA MINGINE AMBAYO HAWATUMII UMEME WA GAS??
Tatizo mliaminishwa ujinga sana. We unadhani Prof Muhongo aliokotwa UDSM? Watz tuna ujuaji mwingi sana. Gesi ni chanzo cha uhakika kwa umeme. Gharama lazima ziwe kubwa kwa mwanzoni lkn wakifika at EP taratibu utaona bei inakuwa ya kawaida sana. Gesi ni rasilimali yetu. Na kama ingekuwa ya kwao kwann wasijenge viwanda wakauza nje wao wenyewe?
Prof Muhongo kurudishwa wizara ya Nishati in due time. Quote it

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nakwambia ukweli ni WAJINGA, ujinga maana yake ni kutojua kitu
Waliona mikataba ndio maana wakakimbilia umeme wa maji sababu gharama ni nafuu, hii 70tn walio ingia juzi tu Octoba jamaa atairudisha vp na kwa miaka mingapi?

Mpaka wakimbilia huko, jua wanachokifanya wana kifahamu.
 
Sikia mkuu, hizo ulizosikia ni uchimbaji mpya wa visima vipya. Mnazibay, Msimbati, songosongo tayari kuna visima vya Gesi na hatua hiyo imeshapita, Dangote anauziwa Gesi na anazalisha umeme wake mwenyewe kupitia hiyo gesi. Gesi itauzwa majumbani, na viwandani lkn pia itatumika kama chanzo cha umeme wa uhakika. Umefikiria 70T kwa maono mafupi, mradi wowote lazima uwe na payback period, na hapo unapimwa kwa short term, medium, au Long term na kwa investment hiyo ujue ni Long term yaan kuanzia miaka 10 na kuendelea, umeme wa uhakika utaleta vichocheo halisi vya uchumi kama viwanda nk hivyo kupelekea pato kubwa la nchi na TANESCO hata kuweza kulipa hilo deni.
 
Tanesco wameongelea kwa uzito kuhusu gharama za kuitoa gesi Mtwara mpaka Kinyerezi inapotakiwa kutumika kuzalishia umeme..
Sasa ile ya songosongo kilwa na msimbati mtwara n Mali ya Nani

Nadhan unakumbuka wananchi wa mtwara Lindi waligoma kutoa ile ges kuja dsm na serikal ikaingilia kat watu waliuawa na wengne

Swal je serikal ilikuwa inapigania maslah ya Nan Kati ya wananchi au mwekezaji?

Kama wananchi mbona wananchi wanauziwa ges Bei ghali mtaani?

Kama serikali mbona hao tanesco wanalalamika Bei ya gesi n kubwa wanauziwa?

Mkuu natatizika hapa hebu njoo unidadavulie

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huu ndiyo mzizi wa kutangaziwa mabwawa yamekauka.

Haya makampuni yanataka yarudi kuiuzia Tanesco
Kuna kitu kinatafutwa. Thread zinafunguliwa kila siku. Kuna mazingira ya upigaji yanaandaliwa. Makamba na Zitto kazini.
 
Sikia mkuu, hizo ulizosikia ni uchimbaji mpya wa visima vipya. Mnazibay, Msimbati, songosongo tayari kuna visima vya Gesi na hatua hiyo imeshapita, Dangote anauziwa Gesi na anazalisha umeme wake mwenyewe kupitia hiyo gesi. Gesi itauzwa majumbani, na viwandani lkn pia itatumika kama chanzo cha umeme wa uhakika. Umefikiria 70T kwa maono mafupi, mradi wowote lazima uwe na payback period, na hapo unapimwa kwa short term, medium, au Long term na kwa investment hiyo ujue ni Long term yaan kuanzia miaka 10 na kuendelea, umeme wa uhakika utaleta vichocheo halisi vya uchumi kama viwanda nk hivyo kupelekea pato kubwa la nchi na TANESCO hata kuweza kulipa hilo deni.
Umeme wa uhakika na KWA GHARAMA NAFUU, hiki ndicho cha muhimu.
 
Back
Top Bottom