TANESCO yautaja umeme wa gesi kama 'umeme wa gharama'

Mataga mmefura.
Niliwambia watu humu Zitto naye ni kilaza..wwtu wote wameingia wamekuta gasi iliuzwa na kikwete hivyonkama nchi hatuna gasi ya kujichotea.

Sasa na samia aliingia na mbwembe na akina january nao wamekwamana wanawaza kwenda kwenye solar na windi ..mbona hawaendi kwenye gas waliokuwa wanamtukania magufuri kuwa kaitelekeza?
 
Wewe ulishatolewa kafara na wazo wako bila kujua ndomaana huelewi unachoandika huku.

Kwa bahati mbaya huwa sibishani na masikini.
Ungekua tajiri ungekua na akili, sasa taahira kama wewe uniite tajiri😂😂, aisee.

Tafta mume uolewe akuokoe achana na waume za watu humu. Nina mke na ana wivu akikujua atakuua mama angu.
 
Tayari umeshamsahau Jiwe kwa kutoka avatar picha yake aliyovaa magwanda na kuweka picha ya mama kujipendekeza wewe ni mnafik tu
Mkuu Asante Sana,mama na JPM Ni chama kimoja,by the way Mimi nijipendekeze kwa mama ili iweje,anipe uteuzi au anipe hela?

Mkuu Au ulitaka nijipendekeze kwa mama yako kwa kuweka picha yake? Hebu nitumie Basi hiyo picha!!!
 
Mradi wa gesi ni trillion of Tshs pengine tusingeweza wenyewe walau mwanzoni coz gharama zinakua juu. So mnafanya tu concession agreement ila kusema imeuzwa ni overstatement.

Otherwise mliotaka tuchimbe wenyewe 100% mtuambie hyo pesa tungetoa wapi?
Tunaweza kabisa ila tuna watu wasiofikiria vizuri, mradi wa JNHP na SGR umetumia trillions, tungeweza pia kutumia trillions to develop source ya natural gas ambayo ingetupa umeme wa kuaminika for the next 100 years, kuuza ziada na kutumia majumbani mwetu kitu ambacho kingesaidia sana uchumi kukua haraka sana, gas ndio itamaliza tatizo la umeme Tanzania tunge focus hapo ,najua itakuwa very expensive na itapingwa sana lakini faida yake ni kubwa sana kwa Taifa na inaweza kutufanya tuwe instantly middle class
 
Hta SGR ni gharama kuliko reli ya kawaida mbona hamuongelei gharama? Hta Airport mpya maintenance cost yake ni kubwa kuliko kabla ya upanuzi.

Cha msingi supply ya umeme iwepo ila tukiangalia gharama tu hakuna kitu tungeshafanya.
Hakika
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom