TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,605
- 2,139
Haina taarifa kamili kwa kuwa JF hauwezi kupata ticket number mpaka utoe ushirikiano ziingizwe kwenye mfumoHii taarifa yangu umeipa tracking namba ngapi?Au ni stori za JF bado kwako?
Haina taarifa kamili kwa kuwa JF hauwezi kupata ticket number mpaka utoe ushirikiano ziingizwe kwenye mfumoHii taarifa yangu umeipa tracking namba ngapi?Au ni stori za JF bado kwako?
Mimi ni mteja wa JF,handle yango ipo,DM yangu ipo wazi,Malamiko yangu ni KWAMBA Tanesco dawati la huduma kwa wateja wanatoa huduma mbovu,nimeripoti issue yangu hawajanipa majibu.Ukifungua hii ukanipa tracking namba DM napiga simu hapo makao makuu kisha niwape taarifa kamili upya ila mjue udhaifu wenu upo wapi.Haina taarifa kamili kwa kuwa Jf hauwezi kupata ticket number mpaka utoe ushirikiano ziingizwe kwenye mfumo
Taarifa yangu kamili nii hii kwamba TANESCO dawati la huduma kwa wateja wanatoa huduma mbovu.Niliwapa taarifa ya tatizo langu na hawalishughulikia wala kunipa majibu yoyte kwa zaidi ya wiki moja.Nipe tracking namba then nitawapigia kuwapa maelezo mengine.Mpaka sasa haujafanya wajibu wako wa msingi wa kutoa taarifa ili tujue undani wa swala lako, tunasikitika sana pale ambapo tunaomba taarifa kamili na wewe unajibu kwa ujumla, hakuna huduma bora bila taarifa zako, toa hata namba ya simu tutaona kila kitu kupitia mifumo yetu
Tumepokea kwa hatua zaidi na tunafuatiliaMimi ni mteja wa JF,handle yango ipo,DM yangu ipo wazi,Malamiko yangu ni KWAMBA Tanesco dawati la huduma kwa wateja wanatoa huduma mbovu,nimeripoti issue yangu hawajanipa majibu.Ukifungua hii ukanipa tracking namba DM napiga simu hapo makao makuu kisha niwape taarifa kamili upya ila mjue udhaifu wenu upo wapi.
Kama ukiweza kufanya hivyo nitalipia supu na chapati mchana huu kwa ajili yako.
TRACKING NUMBER MY FRIEND.........Tumepokea kwa hatua zaidi na tunafuatilia
Tafadhali onesha namba ya simu uliyotolea taarifaTaarifa yangu kamili nii hii kwamba TANESCO dawati la huduma kwa wateja wanatoa huduma mbovu.Niliwapa taarifa ya tatizo langu na hawalishughulikia wala kunipa majibu yoyte kwa zaidi ya wiki moja.Nipe tracking namba then nitawapigia kuwapa maelezo mengine.
PROVE to me kwamba mnajua mnachokifanya hapo mlipo.au la.
Namba hiyo hapo 0272610120 Nipeni Tracking nambaTafadhali onesha namba ya simu uliyotolea taarifa
Amekuambia utoe namba ya mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja unashindwa nini ,mbona unang'ang'ania tu atoe namba yake na details ,yeye anataka namba ya mkuu wa kitengo cha huduma atampigia wewe unaona ugumu gani kutoa hiyo namba ili na wengine watumie matatizo yao kutatuliwa badala ya kuendeleza ule ule mfumo wa mlolongo wa kujenga mazingira ya upigajiMpaka sasa haujafanya wajibu wako wa msingi wa kutoa taarifa ili tujue undani wa swala lako, tunasikitika sana pale ambapo tunaomba taarifa kamili na wewe unajibu kwa ujumla, hakuna huduma bora bila taarifa zako, toa hata namba ya simu tutaona kila kitu kupitia mifumo yetu
Ili.uweze kusearch taarifa lazima uwe na namba ya kuingiza kama simu, taarifa au jinaAmekuambia utoe namba ya mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja unashindwa nini ,mbona unang'ang'ania tu atoe namba yake na details ,yeye anataka namba ya mkuu wa kitengo cha huduma atampigia wewe unaona ugumu gani kutoa hiyo namba ili na wengine watumie matatizo yao kutatuliwa badala ya kuendeleza ule ule mfumo wa mlolongo wa kujenga mazingira ya upigaji
Kuna wakati naona wananchi tunatoa lawama kwa tanesco kwa kuwaonea tu.Taarifa uliyotoa hapa haijakamilika unataka tu kuonesha tanesco ndio hawawajibiki.Nadhani ingekuwa vema ukaainisha taarifa sahihi kama ulishapeleka maombi rasmi ya umeme...barua uliyojibiwa walisema nini?na wewe uko umbali kiasi gani kutoka umeme/nguzo mkubwa au mdogo...Kijiji au kitongoji ulipo kina umeme au laa...Lakini pia tuangalie ukubwa wa tatizo,watu wenye mashine za dizeli nchi hii wako wangapi...kila mmoja akitaka ahudumiwe leo inakuwaje???naamini kwa awamu kadiri walivyofikiwa wengine nawe utahudumiwa na tanescoHabari, Mimi ni mkazi wa Morogoro vijijini. Biashara yangu ni ya kukoboa zao(silitaji kwa sababu binafsi) ni mwaka wa tatu sasa nafuatilia kuwekewa umeme katika kiwanda hichi kidogo maana natumia diesel lakini gharama nnazopewa ni zaidi ya milioni kumi, ikiwemo na kununua transform.
Wataalam hili suala limekaaje maana nashindwa kuelewa. NINUNUE transformer kivipi wakati ni wajibu wa TANESCO kutupatia huduma kwa malipo husika ya huduma hi.. na ugumu wa kuwekewa umeme unakuja wapi jamani. MSAADA
Tanesco ni kijiwe cha wapigaji na weziwezi.Ukiwaambia wanafikiri wanaakili na watanzania ndo wajenga kumbe Ujinga na wizi wao uko wazi sana.Hata mtu asokuwa na akili anajua kabisa kwamba kuna panya anaoza mahaliAmekuambia utoe namba ya mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja unashindwa nini ,mbona unang'ang'ania tu atoe namba yake na details ,yeye anataka namba ya mkuu wa kitengo cha huduma atampigia wewe unaona ugumu gani kutoa hiyo namba ili na wengine watumie matatizo yao kutatuliwa badala ya kuendeleza ule ule mfumo wa mlolongo wa kujenga mazingira ya upigaji
Mkuu,kazi ya Tanesco ni kusambaza umeme.Kama kazi imewashinda basi waruhusu Private Players.Ambao watanunua Matransformer na kuyasimamia huku watu wakipata huduma bora.Tusikubali Tanesco wajifiche uzembe wao juu ya kivuli cha ugumu wa kazi.Kuna wakati naona wananchi tunatoa lawama kwa tanesco kwa kuwaonea tu.Taarifa uliyotoa hapa haijakamilika unataka tu kuonesha tanesco ndio hawawajibiki.Nadhani ingekuwa vema ukaainisha taarifa sahihi kama ulishapeleka maombi rasmi ya umeme...barua uliyojibiwa walisema nini?na wewe uko umbali kiasi gani kutoka umeme/nguzo mkubwa au mdogo...Kijiji au kitongoji ulipo kina umeme au laa...Lakini pia tuangalie ukubwa wa tatizo,watu wenye mashine za dizeli nchi hii wako wangapi...kila mmoja akitaka ahudumiwe leo inakuwaje???naamini kwa awamu kadiri walivyofikiwa wengine nawe utahudumiwa na tanesco
Acheni upumbavu toeni ufafanuzi na utaratibu kwa muktadha wake.Kama utakumbuka Maelekezo ya Serikali hapo awali hakuna mteja anayepaswa kununua kifaa chochote cha kumfungia umeme bali ni jukumu la TANESCO kusogeza miundombinu ya umeme kwa wateja wake, tafadhali tusaidie taarifa zifuatazo
Jina
Namba ya Simu
Wilaya
Na kiasi ulichodai kuambiwa ulipie ili tukupatie ufafanuzi kwa taarifa kamili
TANESCO HUDUMA KWA WATEJA
MAKAO MAKUU
Ni kawaida kwa watu wa shughuli za viwanda kununulishwa transfoma mleta mada pole kwa maumivuHicho kichwa Cha habari nimecheka kinoma, hiv mkuu unajua bei ya transformer? Yan hao wahuni kama hawatak kukuletea umeme wakwambie tu
Mimi niko morogoro mjini maeneo ya kola B .Kama utakumbuka Maelekezo ya Serikali hapo awali hakuna mteja anayepaswa kununua kifaa chochote cha kumfungia umeme bali ni jukumu la TANESCO kusogeza miundombinu ya umeme kwa wateja wake, tafadhali tusaidie taarifa zifuatazo
Jina
Namba ya Simu
Wilaya
Na kiasi ulichodai kuambiwa ulipie ili tukupatie ufafanuzi kwa taarifa kamili
TANESCO HUDUMA KWA WATEJA
MAKAO MAKUU
Ndugu mteja,Ni kawaida kwa watu wa shughuli za viwanda, mashine kununulishwa transfoma
Naona hapa tuna TANESCO ya JF inaonyarisha kazi zake na lugha nzuri ya ukaribisho wa Huduma ... Na TANESCO ya kupiga ma dili ikao ofici zake zimejificha Mikoani....
Je si wanyonge tupeleke shida zetu kwa TANESCO ipi ?




