TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,605
- 2,139
Tutajua ukweli halisi wa unacholalamikia na kuchukia hatua stahiki kukuhudumiaMnataka taarifa tena?Mtanipa traking namba leo?
Tutajua ukweli halisi wa unacholalamikia na kuchukia hatua stahiki kukuhudumiaMnataka taarifa tena?Mtanipa traking namba leo?
Changamoto yangu ni juu ya utendaji wenu wa kazi kama help desk na kama kampuni.Je hilo nalo linahitaji namba yangu ya simu na jina langu?Twenda kwenye swala la msingi tafadhali kwani unapata changamoto gani?
Eneo
Wilaya
Simu
Mteja anatusaidia sisi kumuhudumia kwa kutoa ushirikiano
Changamoto gani haswa? Ulitoa taarifa lini na kwa namba ipi tufatilie?Changamoto yangu ni juu ya utendaji wenu wa kazi kama help desk na kama kampuni.Je hilo nalo linahitaji namba yangu ya simu na jina langu?
Mlishinwa nilipowapigia simu na kutembelea ofisi zenu.Mtawezaje leoTutajua ukweli halisi wa unacholalamikia na kuchukia hatua stahiki kukuhudumia
Namba yenu ya TANESCO MAKAO makuu.Changamoto gani haswa? Ulitoa taarifa lini na kwa namba ipi tufatilie?
Tafadhali tupatie taarifa hapa tunakuahidi kukupatia huduma au ufafanuziMlishinwa nilipowapigia simu na kutembelea ofisi zenu.Mtawezaje leo
Tafadhali ionesha, muda gani, tarehe na tatizo tutasikiliza mazungumzo yakoNamba yenu ya TANESCO MAKAO makuu.
Msaidieni apate umeme sio mumpe ufafanuzi la sivyo hili mnalijua sasa mnataka mumfafanulie vizur alipeTunaamini kabla ya kutuhumu tungepata taarifa kamili.kwanza nasisi tutoe ufafanizi sahihi hakuna mteja anayepaswa kuteseka nasisi TANESCO tupo
Kuna mambo mawili ya kuzingatiaMsaidieni apate umeme sio mumpe ufafanuzi la sivyo hili mnalijua sasa mnataka mumfafanulie vizur alipe
Halafu ikitokea ukalipia baadaye watawasambazia watu umeme kwa kutumia transformer uliyolipia bila kurudishiwa chochote, kuna maeneno mtu anaambiwa anunue nguzo akitaka umeme, we umenunua nguzo baadaye wanatumie nguzo hiyo kuvuta umeme kwa wengine wakati we uliyelipia nguzo hupewi chochote, utaratibu wa hovyo sana.Mimi pia naona hawataki. Ila kwanini wakatae ikiwa ni jukumu lao na Mimi ni haki yangu kupewa huduma hiyo.
Mko smart Sana wakuu,Tunasubiri ushirikiano kutoka kwake maana mpaka sasa bado hatujapata taarifa tulizoomba.


Ilikuwa ni Tarehe ya 19 mwezi huu kumi.Lets see kama mlifanyia kazi maelekezo yanguTafadhali ionesha, muda gani, tarehe na tatizo tutasikiliza mazungumzo yako
TaarifaHalafu ikitokea ukalipia baadaye watawasambazia watu umeme kwa kutumia transformer uliyolipia bila kurudishiwa chochote ,kuna maeneno mtu anaambiwa anunue nguzo akitaka umeme ,we umenunua nguzo baadaye wanatumie nguzo hiyo kuvuta umeme kwa wengine wakati we uliyelipia nguzo hupewi chochote ,utaratibu wa hovyo sana
Ila bado hawajafikia kiwango cha usmart.Niliwapigia simu tarehe 19 nikaongea na kwa masaa 3.Nikawapa maelekezo wawasiliana na Muhasibu wao wa Mkoa wa Arusha na wakasema hawana mawasiliano yake wala hawana namna ya kuweza kuwasiliana nae bali inabidi nimtafute mwenyewe.Mko smart Sana wakuu,
Mungu awazidishie Moyo huu wa kizalendo.
Hii ndo tanesco mpya sasa tulokua tukiiota miaka na miaka.![]()
Majibu mepesi sanaKuna mambo mawili ya kuzingatia
1.Je kafikiwa na miundimbinu? Kama ndio anapata huduma
2 Je hahafikiwa na miundombini? Kama ndio anapaswa kusubiri tuendelee kuisogeza
Tunaomba tukusikilize ushauri wako tafadhali mkuu wetuMajibu mepesi sana
Ulipiga namba gani? Tatizo ni nini? Wilaya na namba ya simu tafadhaliIla bado hawajafikia kiwango cha usmart.Niliwapigia simu tarehe 19 nikaongea na kwa masaa 3.Nikawapa maelekezo wawasiliana na Muhasibu wao wa Mkoa wa Arusha na wakasema hawana mawasiliano yake wala hawana namna ya kuweza kuwasiliana nae bali inabidi nimtafute mwenyewe.
Tayari JibuAkitoa majibu unitag
Wafanye Hivi Ili Kusaidia Wenye Maswali/Mahitaji Ya Kupata TransformerTANESCO majibu ya huyu mteja wa transformer mngeyaleta hapa jukwaani...