Pununkila
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 687
- 1,714
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapa yenyewe bado hawako vizuri ila ni kwa sababu ni JF,aliyepewa hii kazi anapata na muda wa kusoma nyuzi zingine za kula tunda kimasihara kwa gharama za bundle la tanesco wakati siku hizi mifumo ya CRM ipo mingi sana ambayo TANESCO wanaweza kuitumia kutoa huduma bora na mitandao ya kijamii na simu zikawa ni listening points tu.
, hiv mkuu unajua bei ya transformer? Yan hao wahuni kama hawatak kukuletea umeme wakwambie tu