Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,830
- 6,459
Tanesco hili jibu lenu la kukimbia majukumu. Sijui lini mtajifunza namna bora ya kuhudumia wateja.Kama utakumbuka Maelekezo ya Serikali hapo awali hakuna mteja anayepaswa kununua kifaa chochote cha kumfungia umeme bali ni jukumu la TANESCO kusogeza miundombinu ya umeme kwa wateja wake, tafadhali tusaidie taarifa zifauatazo
Jina
Namba ya Simu
Wilaya
Na kiasi ulichodai kuambiwa ulipie ili tukujipatie ufafanuzi kwa taarifa kamili
TANESCO HUDUMA KWA WATEJA
MAKAO MAKUU