Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,830
- 6,449
Nilipiga namba hizi 0222194400/ 0768985100,NIkaongea ni muhudumu wenu ambaye baada ya kushindwa kunipa huduma bora akamuita boss wake ambaye naye alishindwa kunipa huduma bora na wakanipa namba ya ofisi yao nikapiga wakashindwa kunipa huduma bora na bado nikaenda katika ofisi yao wakashindwa kunipa huduma bora.Ulipiga namba gani? Tatizo ni nini? Wilaya na namba ya simu tafadhali
Unajua waliniambia nini?ETI KIASI NILICHOKUWA NADAI ni kidgo sana nilipe tu kuepuka usumbufu.