Alisema"mtanikumbuka kwa mema"! Hao wafanyakazi wa Tanesco wanaoweka mgomo baridi kwa nini wasitimuliwe wote iwe fundisho kwa wengine! Wakirudi mtaani na wao wawe wanapanga foleni ya kuunganishiwa umeme ili wajifunze! Dr. JPM, we really miss you! May your precious soul rest in eternal peace and power our great African hero, amen 🙏!Kama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo laki moja kwa kila nguzo haiingii serikalini.
Bei elekezi ya 27,000 imegeuka mwanya mpya wa kuomba rushwa kwenye ofisi za Tanesco. Hata nguzo walizosambaza mitaani wameziacha chini zinaliwa na mchwa mara baada ya kupewa bei hiyo elekezi.
Nashauri waziri wa nishati utembelee kule Dodoma mathalani maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze, Miganga n.k. Kule utakuta nyumba nyingi zimekamilika lakini hazijaunganishwa na umeme wa Tanesco. Wenye kuweza wameamua kuweka Solar ili maisha yaendelee.
Mimi mliniomba taarifa za nyumba yangu nikawapatia kila taarifa mlioitaka inbox PM ila hamjanijibu ni wiki ya pili hii na wala sioni matumaini ya kuungiwa umeme ni mwezi unaenda wa tatu huu pamoja na kuwa nimeishalipia 690,000/= TANESCO TANESCONdugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Kilaza kumbe wewe, kipi ambacho kinaishi milele?? Hata Chuma hakiishi mileleKWA HIYO NGUZO ZINAISHI MILELE?
Binafsi huwa nafikiri huwa tunachat na robot, haimakini kwa mtu anayetafuta kuunganishiwa umeme halafu awe na hiyo meter number tayariHuyu kukujibu lazima akuombe vyote au kimojawapo ya vifuatavyo
1. Uende PM
2. Umpe meter number
3. Utaje jina lako
Yaani utafikiri bila kumpa hayo makitu hatakumbuka majibu vizuri..
Tafadhali zingatia taarifa kamili tunazotoaBinafsi huwa nafikiri huwa tunachat na robot, haimakini kwa mtu anayetafuta kuunganishiwa umeme halafu awe na hiyo meter number tayari
Control number Tanesco ni jibu toka kipindi cha Magu. Wakati taasisi nyingine mteja anatengeneza control number mwenyewe, Tanesco wao lazima wakutengenezee. Ukiomba wakutengenezee wanadai mtandao unasumbua. Ila ukiwatumia vishoka ndani ya dakika kumi unakuwa na control number tayari. Serikali itakayoweza kuwadhibiti Tanesco itakuwa serikali iliyofanikiwa sana, zingatia hata Magu kawashindwa.Kama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo laki moja kwa kila nguzo haiingii serikalini.
Bei elekezi ya 27,000 imegeuka mwanya mpya wa kuomba rushwa kwenye ofisi za Tanesco. Hata nguzo walizosambaza mitaani wameziacha chini zinaliwa na mchwa mara baada ya kupewa bei hiyo elekezi.
Nashauri waziri wa nishati utembelee kule Dodoma mathalani maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze, Miganga n.k. Kule utakuta nyumba nyingi zimekamilika lakini hazijaunganishwa na umeme wa Tanesco. Wenye kuweza wameamua kuweka Solar ili maisha yaendelee.
Ndugu mpendwa Mteja wetuControl number Tanesco ni jibu toka kipindi cha Magu. Wakati taasisi nyingine mteja anatengeneza control number mwenyewe, Tanesco wao lazima wakutengenezee. Ukiomba wakutengenezee wanadai mtandao unasumbua. Ila ukiwatumia vishoka ndani ya dakika kumi unakuwa na control number tayari. Serikali itakayoweza kuwadhibiti Tanesco itakuwa serikali iliyofanikiwa sana, zingatia hata Magu kawashindwa.
Hata mimi naziona sana nguzo zimesahaulika hadi kuliwa na mchwa! Lakini ukitaka huduma unaambiwa hakuna nguzo! Kama kuna kiongozi haamini aweke simu yake hapa tuwe tunamjulisha nguzo zilizosahaulika/kuliwa na mchwa. Halafu huwa inatokea wakimaliza kazi huenda kupitisha umeme maporini nguzo zinazobaki huwa zinaachwa huko2 hata ukienda baada ya miaka 10 utazikuta. Yaani hiyo ni kawaida sana kwa tanesco. Hawana uchungu maana ni mali ya umma. Nashauri viongozi wanaowekwa kusimamia mashirika ya umma nyeti kama haya wawe wazalendo kweli2.Hapo kwenye kuliwa na mchwa mzee umezidisha chumvi ingawa ni kweli Kuna urasimu sana
Matusi ni dalili za kukosa hoja... Kama haziishi milele, basi huwa zinaharibika..!! Be it kwa mchwa au chochote...!! that is where the point is..Kilaza kumbe wewe, kipi ambacho kinaishi milele?? Hata Chuma hakiishi milele
Kama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo laki moja kwa kila nguzo haiingii serikalini.
Bei elekezi ya 27,000 imegeuka mwanya mpya wa kuomba rushwa kwenye ofisi za Tanesco. Hata nguzo walizosambaza mitaani wameziacha chini zinaliwa na mchwa mara baada ya kupewa bei hiyo elekezi.
Nashauri waziri wa nishati utembelee kule Dodoma mathalani maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze, Miganga n.k. Kule utakuta nyumba nyingi zimekamilika lakini hazijaunganishwa na umeme wa Tanesco. Wenye kuweza wameamua kuweka Solar ili maisha yaendelee.
Mkuranga pwani ni zaidi ya matatizo.Hiyo ni Dodoma aliko Waziri, hali ni mbaya zaidi huku mikoa mingine
Ndugu mpendwa Mteja wetuMkuranga pwani ni zaidi ya matatizo.
Unajaza fomu lakini saveya kuja kwako bila maalifa ni ndoto. Hiyo ni savey, kuungwa ni Jambo jingine. Watu wanamaliza miezi bila kutembele, ukipiga simu unajisumbua. Meneja ndo hapokeagi simu kabisa labda za wakezake.
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Tuma taarifa hata inbox ( PM)ili tukuhudumieKwani katika huu uzi nini hamjaelewa hadi uombe hizo detail?
Uzi upo wazi mnataka jina la kazi gani...!?
Nguzo zenu huko zinaliwa na mchwa aisee..
Tuma taarifa hata inbox ( PM)ili tukuhudumie