TANESCO wameigomea bei elekezi ya Tsh 27,000

Kama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo laki moja kwa kila nguzo haiingii serikalini.

Bei elekezi ya 27,000 imegeuka mwanya mpya wa kuomba rushwa kwenye ofisi za Tanesco. Hata nguzo walizosambaza mitaani wameziacha chini zinaliwa na mchwa mara baada ya kupewa bei hiyo elekezi.

Nashauri waziri wa nishati utembelee kule Dodoma mathalani maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze, Miganga n.k. Kule utakuta nyumba nyingi zimekamilika lakini hazijaunganishwa na umeme wa Tanesco. Wenye kuweza wameamua kuweka Solar ili maisha yaendelee.
Hiyo ni Dodoma aliko Waziri, hali ni mbaya zaidi huku mikoa mingine
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Tatizo ni nini haswa na namba yako ya simu tafadhali
akiwapa mita number, namba ya sim msi mu Intimidate kwa namna yoyote …………………. otherwise hongereni sana kwa quick respond zenu through JF mtandao wenye mbavu nene!!
 
Kama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo laki moja kwa kila nguzo haiingii serikalini.

Bei elekezi ya 27,000 imegeuka mwanya mpya wa kuomba rushwa kwenye ofisi za Tanesco. Hata nguzo walizosambaza mitaani wameziacha chini zinaliwa na mchwa mara baada ya kupewa bei hiyo elekezi.

Nashauri waziri wa nishati utembelee kule Dodoma mathalani maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze, Miganga n.k. Kule utakuta nyumba nyingi zimekamilika lakini hazijaunganishwa na umeme wa Tanesco. Wenye kuweza wameamua kuweka Solar ili maisha yaendelee.
Acha uongo wewe, kwani Bei ya zamani yakuunganishiwa umeme ilikuwa inaingia mifukoni mwao hao watumishi wa Tanesco? Hadi Sasa eti baada ya Bei kushuka ndio waonyeshe kutofurahishwa, kwani mishahara yao na marupulupu yamepungua baada ya Bei kushuka?; Hiyo pesa inaingia serikalini,wao haiwanufaishi chochote Wala kuwanyima chochote jinga wewe,

Mi juzi nimetoka kulipia umeme kwa Bei hiyo mpya,Wala sijakutana na chochote,zaidi ya wingi tu wa wateja
 
akiwapa mita number, namba ya sim msi mu Intimidate kwa namna yoyote …………………. otherwise hongereni sana kwa quick respond through JF mtandao wenye mbavu nene
Hamna asurence hapo..!!!! Utatoa hizo details halafu waanze kukusaka..!!! Si unakumbuka kesi ya MAXENCE ilikuwa inahusu nini? Sasa wameshindwa kumlazimisha MAXENCE kutoa details walizokuwa wanazitaka, inawezekana mwanapitia njia hii sasa..!!! HIVI HAYO MA-DETAILS ANAYOYATAKA NDO YANA MAJIBU?
 
Naungana na mtoa mada nilienda ofisi moja ya Tanesco kuulizia mbona nimelipia tokea November na sijafungiwa na jirani kalipia April na kashafungiwa na wote tulikua na uhitaji wa nguzo nilichojibiwa ni kwamba huyo jirani kalipia full amount ni bora tuwekwe wazi ni kiasi gani kinatakiwa kulipwa
Mie nililipia January 28 February 10 mwaka huu huu nikafungiwa Bei ikiwa 321900 fulani.
Ila niliwakomalia Ile mbaya Mana mie sikuhitaji hata nguzo ni 15M to nguzo.
Yaani nilikuwa nawauliza shida ni Nini ama inagharimu Nini kutoa ivyo vitu store.
Wakaniambia ni gari kweli hazitoshi.
Nikakodi tax asubuhi mapema nikafungiwa Mana nilikuwa naenda library kufanya Mambo yangu kisa umeme. Na njiani natumia karibia lisaa.
Yaani nilikuwa natesekaje.tulivyofungwa transformer nikawa navimba nao mwanzo mwisho
 
Hiyo hela ilikua na risiti? Yaani minimum ukalipa hela yote hiyo
 
Kama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo laki moja kwa kila nguzo haiingii serikalini.

Bei elekezi ya 27,000 imegeuka mwanya mpya wa kuomba rushwa kwenye ofisi za Tanesco. Hata nguzo walizosambaza mitaani wameziacha chini zinaliwa na mchwa mara baada ya kupewa bei hiyo elekezi.

Nashauri waziri wa nishati utembelee kule Dodoma mathalani maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze, Miganga n.k. Kule utakuta nyumba nyingi zimekamilika lakini hazijaunganishwa na umeme wa Tanesco. Wenye kuweza wameamua kuweka Solar ili maisha yaendelee.
Hivi wewe nchi hii una muamini mwana siasa kabisa?!!leo ni karibia mwaka wa nne, waziri anasema ni marufuku mteja kulipishwa nguzo, na akilipia ni siku saba tu, awe amewekewa umeme, je hilo linafanyika?kuhusu 27, 000 labda hukuelewa ni kwa wale tu ambao hawahitaji nguzo, wako ndani ya mita 30, toka line ya umeme inapopita, juzi kuna jirani yangu alikwenda tanesco kufuatilia , yeye anatakiwa nguzo moja, hivyo amepigiwa mahesabu ni kama 312, 000 hivi!!
 
Back
Top Bottom