TANESCO wameigomea bei elekezi ya Tsh 27,000

Niliyasema haya kwenye comment yangu #6
Mimi ninavyojua , kwenye mashirika makubwa kuna kuwa na system za complain management, sasa huwezi fungua complain ya mteja bila kuwa na details zake kwa ajili ya resolution, ukisema kwamba anachukua tu details alafu hakuna linalofanyika hapo nitakuelewa
 
Unajuwa sababu za KUTUMIA fake ID's..!? We jichanganye more details..
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom