Kama mlivyonazo na wakristoNyi wala nguruwe MNA chuki na waislam
Kama mlivyonazo na wakristoNyi wala nguruwe MNA chuki na waislam
Jambo la maana watu wapate umeme wa kutosha. Go back to history ulalamishi wa kidini hauleti tija iwe Tanesco au NSSF. Toeni ushahidi wa upendeleo pande zote. La hasha watu watategemea sheikh aajiriwe kanisani n askofu msikitini ili kufuta udini. Somesha watoto shule usitegemee huruma ya serikali uwe mkristu au muislam.Ok, hili lingesemwa siku zote ingeonekana ina tija. Kwa sasa itafaa kuanika kila taasisi tuone wadini ni nani?
😱Aisee Tanesco kuna UDINI sijawahi kuona ,kama wewe sio mvaa msalaba hapo usahau,kuingia hapo labda upewe kimemo na baba askofu ,sio kwa udini huo, hii sio TANESCO ni KANISANESCO.HILI NI JIPU LA PUANI LINAHITAJI KUTUMBULIWA HARAKA SANA.
kumejaaa waimba kwaya watupu!!!!!!
Unaelewa alichokionyesha mleta UZI ama unasambaza matapishi yako hapa wewe mjusi?Kama mlivyonazo na wakristo
Hamna muislam anaekula mnyama ambae M/mungu amemuharamisha na kumuita ni uchafu(najisi),,,,naona Leo mmeshikwa pabaya wagalatia, mlivyokuwa mnamshupalia mzee wa watu watu kuwa NSSF kaigeuza msikiti,,,Leo mnang'aka naona
Hoja mpaka zitoke kwenye Bibilia wewe Kasuku au wabweka hovyo kama jibwakoko?!Hakuna mliyemshika pabaya, hakuna hoja Za msingi Za kujibu.
Zote hizo bra bra tuuuu, jengeni hoja Za msingi sio kulia lia kila siku
Twinzo unaishi dunia gani?Hamna lolote, ni mpuuzi tu anaweza kufikiri kidini, kwanza tuna uhakika gani kuwa hizi takwimu ulizotoa ni sahihi? Sidhani kama ajira zinatolewa kidini mahala popote serikali na kama ipo sidhani kama ni kwa kiasi hicho! Ina maana akija mkristo na mwislam alafu wakati wa interview mwislamu akashindwa kufanya vyema, unataka achaguliwe tu kisa dini? Acha kabisa usitulishe udini Watanzania.
Unaelewa alichokionyesha mleta UZI ama unasambaza matapishi yako hapa wewe mjusi?
Safari hii sahani tunaivunjia jikoni,Twinzo unaishi dunia gani?
Watu wengi walilalamika kuhusu NSSF kwa sababu walizoea kutowaona waumini wa kiislam au wenye majina ya Kiarabu ktk taasisi nyeti.Haya ni mazoeya ya wadini wenye roho mbaya.
Ukitaka kuzingatia uwiano wa usomi, hata hao waisilamu unaowaona wachache bado ni wengi sana, ilitakiwa iwe 97% kwa 2%. Hiyo 1% iende kwa wengineWaislamu walioajiriwa NSSF hawana qualifications??
nyie maislam dirisha dogo laanatulahi..hiyo no kauli ya haki ya allah! kambishie allah tena kamkoromee kwa sana..Yaan MTU amekupiga Kofi kwa mfano,unaacha nawewe kumpiga vitasa vya USO,eti ukachukue udhu,hamna uislam wa ivyo we mgalatia,,,,
Nyani kundule wewe unawezaje kuona huo USHAHIDI wakati upopoma UMEKUJA!?Hajaleta hoja yeyote mjusi mwenzako zaidi ya kulalamika tu na kulia Lia
Hakuna njia ya mkato ya kupata kazi inawabidi msome na muwe na vigezo vingine.
Naona unajitahidi kupoteza muelekeo wa thread ili ifungwe,, kapige pasi nguo ya church keshonyie maislam dirisha dogo laanatulahi..hiyo no kauli ya haki ya allah! kambishie allah tena kamkoromee kwa sana..
Wewe kiazi kweli katika serikali orodha nzima unawataja hao wanne tu endelea tuone nani watazidi. sio kama Waislam hawakusoma tatizo kupewa ajira na high education opportunity. kuna wasomi kibao wana elimu nzuri tu lakini hukataliwa kwasababu ni muislamu tu. haya mambo yapo kila sekta ya ajira serikalini.Hawa jamaa kwa kutafuta njia nyepesi hili waonewe huruma hawajambo,yaani they're too cheap! Ten year ikulu imekuwa na rais mwislam,makamu mwislam,jaji mkuu mwislam,mkuu Wa usalama Wa taifa muislam bado wanalialia tu ,what's wrong with you janjaweed?
Remember,there is no free lunch in town get yourself good education instead of being crying babies.
We nguruwe ina maana waislamu walioajiriwa NSSF hawana qualifications??? pimbi kweli wewe, hadi leo unakuja na zilezile sound kuwa waislam hawajasoma, umefanya utafiti ukajiridhisha kuwa hawapo wenye qualifications, acheni roho mbaya! ina maana kitendo tu cha kuwa mkristo ni lazima uwe na chuki dhidi ya waislamu? hili li dini lenu ndo maana linazidi kukimbiwa na waumini, halina maana yoyote duniani, naona mmeachiwa miafrika muhangaike nalo
Hoja mpaka zitoke kwenye Bibilia wewe Kasuku au wabweka hovyo kama jibwakoko?!
leta ushahidi wa ayat nguruwe haramharam...Hamna muislam anaekula mnyama ambae M/mungu amemuharamisha na kumuita ni uchafu(najisi),,,,naona Leo mmeshikwa pabaya wagalatia, mlivyokuwa mnamshupalia mzee wa watu watu kuwa NSSF kaigeuza msikiti,,,Leo mnang'aka naona