GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,031
Wiki Mbili tu zilizopita Mmoja wa Maafisa wa Juu wa TANESCO akizungumza na Waandishi wa Habari wa U-FM ( Uhai FM ) alisema kuwa Mabwawa yote ya Kufua Umeme ya Mtera, Kidatu na Kihansi yamejaa kutokana na Mvua nyingi Kunyesha katika Mikoa Minne ya Mbeya, Iringa, Tabora na Singida inayojaza Mabwawa haya tajwa.
Katika hali ya Kushangaza kabisa na iliyonisikitisha GENTAMYCINE leo Asubuhi katika Kipindi cha Nipashe cha Radio One Mtendaji wa TANESCO Feleschi Mramba bila hata Aibu au kujua kuwa anadanganya na kutudhihirishia ni kwanini ni wa hovyo hovyo Kiutendaji na kwamba hata Kuhamishwahamishwa Kwake katika Nyadhifa kunamaanisha si Mweledi na Mahiri alisema kuwa pamoja na Mvua Kunyesha nyingi nchini Tanzania, ila bado hazijaweza Kujaza Mabwawa muhimu tajwa hapo juu ya Kufua Umeme ya Mtera, Kidatu na Kihansi.
Rais Samia endelea tu kuwa Mpole ila nikuhakikishie kuwa kwa 99.9% UNAHUJUMIWA na Watendaji wako unaowaamini na nisikufiche huku Mitaani ambako ndiko Maisha yangu ya Kiuwajibikaji na Kimajukumu yako Wananchi HAWAKUPENDI, WANAKUCHUKIA na wanauliza 2025 kwanini inachelewa kufika ili UONDOKE na UWAACHIE wale wenye Uwezo wa Kutuongoza Watanzania na Kuiongoza vyema Tanzania yetu.