TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,893
- 11,290
Security inayoongelewa siyo hiyo unayotaka kurahisisha! Kwa ufupi tu wiki inatosha kuyumbisha utawala au hata kuondoa watawala kwa kutumia tanesco. Mwenye tanesco akiamua anaweza kuleta ya Misri ndani ya muda mdogo sana!
tuache kudanganyana kama bado tuko enzi za miaka ya 60, the world has moved on, regulations and information technology have advanced, hakuna hicho kitu mnachojaribu kuaminisha watu
Na kama tukija kwenye suala la watawala, labda kama mnataka kutuaminisha kwamba chama tawala kiko madarakani kwasbabu ya tanesco, which may not be the case
national security has so many ways of managing any of the changes in dynamics of the country na dnio maana kina putin waliweza kuwashikisha adabu akina abramovich na khodorkovsky
kikubwa zaidi ni kuruhusu serikali za nje kutuingilia kwenye mipango yetu in the name of development aids or development partnership, which can never be the case tutakapoamua haya mashirika yaendeshwe na right people in the right context