TANESCO wasema wamepokea maelekezo ya Paul Makonda na wameanza kuyafanyia kazi haraka sana.

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,264
9,715
Ndugu zangu watanzania,

Msemaji wa shirika la umeme Tanzania TANESCO ndugu Kenneth Boymanda amesema kuwa wameyapokea maelekezo ya Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa na tayari wameshaanza kuyatekeleza. hii inakuja saa chache baada ya hapo majuzi Mheshimiwa Paul Makonda akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuwanyooshea kidole watendaji wa TANESCO juu ya changamoto ya umeme hapa nchini.

Mheshimiwa Paul Makonda akizungumza kwa uchungu,hisia kali,maumivu makali na huruma kubwa kwa watanzania alihoji kama watendaji wa TANESCO wanatendea haki nafasi zao.akasema kama mpaka mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania anafikia hatua kuvunja bodi ya wakurugenzi ya shirika maana yake watendaji wanatakiwa kujipima na kujitathmini utendaji kazi wao.

Hata hivyo msemaji wa TANESCO amesema wanaendelea kupambana kwa nguvu zao zote kuhakikisha kuwa tunavuka salama katika kipindi hiki cha changamoto hii ya umeme.amesema na kutuomba Watanzania kuendelea kuwa wavumilivu .lakini pia amesema muda siyo mrefu mtambo wa kufua umeme katika bwawa la mwalimu Nyerere utawashwa .

Ndugu zangu Maelezo mengine juu ya changamoto hizi ya umeme ni kama nilivyoeleza humu jana nilipowaleteeni taarifa ya serikali iliyokuwa imetolewa na katibu mkuu wa nishati ndugu Mramba.

Hii ndio tofauti ya CCM na vyama vya upinzani kama CHADEMA .CCM ikizungumza lazima watendaji wa serikali wasikilize na kutoa majibu ,maana chama ndicho kilichounda serikali na siyo serikali iliyounda chama,chama ni kikubwa kwa kuwa ndicho kilichopewa ridhaa na watanzania ya kuunda serikali na ndicho kitakacho kwenda majukwaani kuomba kura na kueleza kimefanya nini katika muda wa miaka mitano iliyopita.

CCM inaendelea kuwa sauti ya watanzania na nguvu yao.ndio maana wakiwa na shida au changamoto hukimbilia CCM kwa kuwa wanajua ndio mahali palipo na majibu na suluhu.

Rai yangu ni kuwasihi na kuendelea kuwaomba kuwa watulivu na wenye subira wakati huu ambao serikali yetu inaendelea kupambana kukabiliana na Changamoto hii. muda siyo mrefu hali itakuwa njema na umeme wa bila kukatika utaanza kuwaka muda wote.watanzania tutafurahia na kutabasamu katika nyuso zetu.poleni katika yote tupitiayo katika wakati huu lakini tufahamu ya kuwa siyo dhamira ya serikali kumuumiza mtanzania kwa kumnyima umeme au kutoa umeme wa mgao .dhamira ya serikali ni kutaka umeme uwepo na kuwaka saa 24.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Watu wamepiga hesabu ya kupiga matilion ndani ya miezi sita ndio muachiwe huo umeme wa kupima
 
Tanesco hamna kitu.

Hivyo ndivyo wanavyokiri mbele ya jamii.

Hapo walipo wanaandaa jopo la kwenda kumtuliza Mheshimiwa huyo kwa zawadi kedekede za sikukuu.

Siku akiongea tena kuhusu Tanesco mi siyo Mamndenyi.
Mheshimiwa Makonda ni mtetezi wa wanyonge na hata wao wanalijua hilo ndio maana wamesema wanaendelea kupambana kuhakikisha kuwa umeme unapatikana hapa nchini
 
Ndugu zangu watanzania,

Msemaji wa shirika la umeme Tanzania TANESCO ndugu Kenneth Boymanda amesema kuwa wameyapokea maelekezo ya Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa na tayari wameshaanza kuyatekeleza. hii inakuja saa chache baada ya hapo majuzi Mheshimiwa Paul Makonda akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuwanyooshea kidole watendaji wa TANESCO juu ya changamoto ya umeme hapa nchini.

Mheshimiwa Paul Makonda akizungumza kwa uchungu,hisia kali,maumivu makali na huruma kubwa kwa watanzania alihoji kama watendaji wa TANESCO wanatendea haki nafasi zao.akasema kama mpaka mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania anafikia hatua kuvunja bidii ya shirika maana yake watendaji wanatakiwa kujipima na kujitathmini.

Hata hivyo msemaji wa TANESCO amesema wanaendelea kupambana kwa nguvu zao zote kuhakikisha kuwa tunavuka salama katika kipindi hiki cha changamoto hii ya umeme.amesema na kutuomba Watanzania kuendelea kuwa wavumilivu.lakini pia amesema muda siyo mrefu mtambo wa kufua umeme katika bwawa la mwalimu Nyerere utawashwa .

Ndugu zangu Maelezo mengine juu ya changamoto hizi ya umeme ni kama nilivyoeleza humu jana nilipowaleteeni taarifa ya serikali iliyokuwa imetolewa na katibu mkuu wa nishati ndugu Mramba.

Hii ndio tofauti ya CCM na vyama vya upinzani kama CHADEMA .CCM ikizungumza lazima watendaji wa serikali wasikilize na kutoa majibu ,maana chama ndicho kilichounda serikali na siyo serikali iliyounda chama,chama ni kikubwa kwa kuwa ndicho kilichopewa ridhaa na watanzania ya kuunda serikali na ndicho kitakacho kwenda majukwaani kuomba kura na kueleza kimefanya nini katika muda wa miaka mitano iliyopita.

CCM inaendelea kuwa sauti ya watanzania na nguvu yao.ndio maana wakiwa na shida au changamoto hukimbilia CCM kwa kuwa wanajua ndio mahali palipo na majibu na suluhu.

Rai yangu ni kuwasihi na kuendelea kuwaomba kuwa watulivu na wenye subira wakati huu ambao serikali yetu inaendelea kupambana kukabiliana na Changamoto hii. muda siyo mrefu hali itakuwa njema na umeme wa bila kukatika utaanza kuwaka muda wote.watanzania tutafurahia na kutabasamu katika nyuso zetu.poleni katika yote tupitiayo katika wakati huu lakini tufahamu ya kuwa siyo dhamira ya serikali kumuumiza mtanzania kwa kumnyima umeme.dhamira ya serikali ni kutaka umeme uwepo saa 24.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

Na wameanza kuyafanyia kazi hasa, maana kila mahali masaa ya giza yaneongezeka maradafu. Labda aliwaelekeza wafanye mazoezi ya namna ya kuhakikisha hakuna umeme wakati wa uchaguzi ili wizi wa kura ufanikiwe kwenye giza bila usumbufu.
 
Mwashamba
 
Pathetic !!! Kwa hili tusitegemee bila kusubiri maelekezo hakuna uwajibikaji !!!
 
Uwenda wazimu badala ya kuhudumia wananchi wanasubiri makonda aseme!
 
Kijana mtiifu, heri ya Krismasi, natumaini utakuwa umepata kitu kidogo cha sikukuu

IMG_20231223_083856.jpg
 
Tanesco ni wajinga lakini wewe ni mjinga zaidi. Ukiwa critical huwezi kuandika hivi. Yaani walisubiri aongee makonda ndiyo waanze kufanyia kazi. Yaani tuendeshe nchi kwa kusubiri maelekezo ya makonda. Stupid idiot.. kwanini usife na uzikwe nchi ipate nafuu kwa mjinga mmoja kuondoka. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee kabisa
 
Chama kilikuwepo miaka yote... matatizo ya umeme ya sasa ni ishara ya chama hicho kushindwa kusimamia na kuendesha masuala nyeti ya kitaifa. Chama kilikosa dira na kimeshindwa vibaya ndio maana tuko hapa.

Wananchi wanakosa Imani na Chama hiki kama bado kinafaa kuendelea kuongoza nchi. Ni Aibu sana.
 
Kumbe Makonda anaogopeka Sana huyu apewe wizara ya nishati,amalize changamoto za umeme.Waziri mwenye dhamana na umeme na petrol ametoa Maagizo kwenye taasisi hizi mbili, Mamlaka husika hazijaomba radhi au kutoa statement za matumaini.
 
Back
Top Bottom