TANESCO kuachana na Symbion na Aggreko?

Inadaiwa Bodi ya wakurugenzi ya TANESCO imepania kuachana na Mikataba ambayo inaonekana kuwa mzigo kwa shirika kati yake na Makampuni ya Symbion Power na Aggreko mwezi Oktoba 2014, kutokana gharama kubwa zisizoshikika toka kwa Makampuni haya.

Nini hatma ya TANESCO?

Tunao mbadala wa makampuni haya?

Tutarajie mgao mkubwa kuelekea 2015?

Tumepata uhakika baada ya kupatikana kwa gesi?
Leo wanadai eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakiweza kuvunja hii mikataba tutafungua ukurasa mpya, lakini wasiwasi wangu ni kama tunao mbadala wa makampuni haya ambayo kiukweli yanatia hasara kubwa sana japo yanasaidia.

Kumbuka, ni mwaka jana tu tuliambiwa kuwa TANSECO wanailipa kila siku Symbion Power milioni 152 na katika kila sh.100 zinzoingia TANESCO, sh.86 inaelekwzwa kwenye malipo hayo!
Jamaa waliweza lakini wanarudi kwa mgongo mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inadaiwa Bodi ya wakurugenzi ya TANESCO imepania kuachana na Mikataba ambayo inaonekana kuwa mzigo kwa shirika kati yake na Makampuni ya Symbion Power na Aggreko mwezi Oktoba 2014, kutokana gharama kubwa zisizoshikika toka kwa Makampuni haya.

Nini hatma ya TANESCO?

Tunao mbadala wa makampuni haya?

Tutarajie mgao mkubwa kuelekea 2015?

Tumepata uhakika baada ya kupatikana kwa gesi?
Tunaposema hii mitandao itakuja kuumbua watu nafikiri wengi bado hatuoni hili. Ukisoma huu uzi na propaganda zinazoendelea utajua hawa watu wanatuona hatuna akili.
 
Back
Top Bottom