TANESCO hali mbaya, Serikali yasuasua kununua mita na nyaya za kuunganishia umeme

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za panya kutoa rushwa ili kufungiwa umeme, wananchi wamelalamika bila msaada

Tunatumaini
1)Uteuzi Mpya utaweza kutatua changamoto ya umeme kwa watu kutounganishiwa
2)Mkurugenzi wa Nyakato kuondolewa kwa kuruhusu vitu vya ajabu
3)Surveyor kufanya kazi yao siyo mpaka rushwa
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Kuna mdau mmoja wa Twitter alitoa taarifa zake namna hii Kisha mkazitumia kwa ajili ya manufaa ya watesi wake.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Dah...hivi gharama ya nguzo moja ya zege ikoje?,🤭
 
Tatizo siasa kwenye mambo ya kitaalamu...

Mtu anaunganishiwaje umeme kwa 27,000?

Hakuna cha bure duniani, gharama halisi sio 27,000... nani analipia hiyo tofauti? Kama serikali imeamua kweli kuunganisha watu umeme kwa bei nafuu;
1. Mwananchi afanye application
2. Apewe control number yenye gharama halisi
3. Akampe Mwigulu alipe.
 
Na huu ndio ukweli unatesa watu hadi kero, unaenda Tanesco uwezo wa kulipia gharama zozote unao ,Changamoto wanaanza kukupa mpaka unasema serikali iko likizo ama wameamua kutunyosha tu
1)Surveyor wachache
2)Wahitaji ni wengi Mfano ukienda pale nyakato Mwanza utakutana na fomu kama 3000 watu wanahitaji umeme
3)Gharama za kununua Material hawana
4) Nguzo zimeisha
5)Nyaya zimeisha
6)Meter Hakuna
7)Magari hayatoshi
8) Watumishi ni wachache
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Mkitaka taarifa nendeni Nyakato tanesco mtakutana na watu 2000 walishalipia toka Mwezi 4 hawajafungiwa umeme, wengine wana miez 6 surveyor hajapita, Kuunganishiwa umeme imekuwa kama unachimba dhahabu kuipata mpaka utoili
 
Tatizo siasa kwenye mambo ya kitaalamu...

Mtu anaunganishiwaje umeme kwa 27,000?

Hakuna cha bure duniani, gharama halisi sio 27,000... nani analipia hiyo tofauti? Kama serikali imeamua kweli kuunganisha watu umeme kwa bei nafuu;
1. Mwananchi afanye application
2. Apewe control number yenye gharama halisi
3. Akampe Mwigulu alipe.

Mkuu faida ya umeme haiko kwenye kuunganishwa bali kwenye mauzo ya umeme. Infact kwa bei wanayotuuzia units za umeme hawa viumbe wangeweza hata kutuunganishia bure kabisa sema basi tu ubadhirifu umekithiri. Kuunganisha umeme ni kama kuuza printer na kuuza units za umeme ni kama kuuza cartridges. Ukiwa smart unaweka nguvu kwenye consumables ambazo ndiyo hizo units za umeme na si kitu kinachofanyika mara moja kwa life time ya nyumba.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Safi Sana Upo Muda Wote
Account Za Kampuni Nyingine Waoga Mno Wanaogopa Madongo Lakini TANESCO wapo Bila Hofu Wala Woga

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ampandishe Cheo Anayesimamia Hii Account
 
Tatizo siasa kwenye mambo ya kitaalamu...

Mtu anaunganishiwaje umeme kwa 27,000?

Hakuna cha bure duniani, gharama halisi sio 27,000... nani analipia hiyo tofauti? Kama serikali imeamua kweli kuunganisha watu umeme kwa bei nafuu;
1. Mwananchi afanye application
2. Apewe control number yenye gharama halisi
3. Akampe Mwigulu alipe.
Ila nyie watunashangaza, kipindi hii Bei imetangazwa wote mligeuka naa kuisifu serikali. Leo mnasema haiwezekani
 
Ila nyie watunashangaza, kipindi hii Bei imetangazwa wote mligeuka naa kuisifu serikali. Leo mnasema haiwezekani
Shida inatesa sana yani wakipita REA, kuunganishiwa Umeme ni shida unakaa miezi 6 mpaka mwaka na hapo umeenda Tanesco utafikiri ndio sehemu yako ya kazi
 
Back
Top Bottom