Tamko la Wapiganaji CCM Feb 10, 2010

Tamko la Wapiganaji CCM Feb 10, 2010

Tamko limekuja wakati muafaka?

  • Ndiyo

    Votes: 8 57.1%
  • Hapana

    Votes: 5 35.7%
  • Sijui

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
you are very right.. ila ninavyoelewa kila vita inapiganwa kitalaamu.. kama hii ni vita (naamini ndiyo) basi kile move ni ya kuiangalia kwa makini. Labda siku si nyingi tutawajua kwa majina yao..

Hii imekaa kininja ninja hivi LOL
Tatizo hapa ni kwamba CCM wata"capitalize" kwa hii kwa kusema hawa ni wapinzani wanaojifanya ni wana CCM, kwa hiyo hoja yenyewe haitakuwa na uzito wowote ndani na nje ya CCM. Lakini "fighters" wakijieleza nasihi tukuwatazama kwa jicho la tatu na tukitambua kuwa ni wapiganaji wa kweli tutawunga mkono. "as it is now this is like a propaganda from" vyama vya upinzani na hautoki ndani ya CCM ila kuna kila dalili kuwa yawezekana inatoka ndani lakini hakuna hakikisho hilo kwa usiri uliopo.
 
Hili tamko limeandaliwa na mwanakijiji ukidownload hiyo attachment angalia properties zake utaona ni m m mwanakijiji - lakini inawezekana sio kweli mtu huyo ameamua kuingiza mwanakijiji kwa sababu zake binafsi hata hivyo ukiangalia mtiririko wa lugha na mambo mengine ni yeye pamoja na yote hiyo email iliyokwepo hapo chini imetengenezwa leo saa 8 asb kwa saa za afrika ya mashariki mengine ni binafsi zaidi

mwanakijiji wacha kujificha nyuma ya pazia jitokeze

tabia hizi ni mbaya na chafu sana kwa maadili kwanini usiwe wewe
Toka lini Mwanakijiji ameanza kujificha nyuma ya pazia katika kujenga hoja zake? Inawezekana ni wewe Shy uliyetuma nini maana unajua hata muda ambao email imefunguliwa.
Anyway, lolote linawezekana na si busara kurukia conclusion. Kama kazi ya spy ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angelikuwa spy. Tatizo kuwa spy ni kazi ngumu ndio maana siku hizi wamejazana wapiga umbeya wengi wakidhani ndio kazi ya upepelezi.Lol
Hizi zinawezekana kabisa zikawa ni dalili za mapungufu ndani ya CCM
 
Wajiondoe ndani ya chama ili waiokoe nchi. Huwezi kuokoka/kuokoa basi linalopinduka ukiwa ndani ya basi hilohilo wakati wewe si dereva.

Dereve wao kikwete doesn't care hata basi likipinduka, na wao wakiwa ndani!!!!!!
Wanaojiita wapambanaji katika CCM watoke CCM halafu waanzishe chama kingine au wagombee kama wagombea binafsi nasi tutawaunga mkono. CCM wote wanafanana na wote wameoza believe me or not CCM wana akili ya aina moja, awe ni mwanachama wa siku nyingi au aliyejiunga juzi wote lao moja tu, kuifisadi nchi hii. Ifike wakati tujiangalie, if you cannot move with the corrupt CCM get out of it, say it openly, wananchi will back you and you will win the election.
Whatever noise you will make in CCM you playing the drums at the deaf ears! no response you will ever get, they will just see you as an enemy, but if you are out there you will be mpinzani and you can get attention and even security....jitengeni nao.....
 
Inavyoonesha hawa wapiganaji hawana nguvu ya kutosha kujitokeza kwasasa, na huu waraka wanautoa kuangalia hali ya upepo ndani ya chama.
Nadhani objective yao kubwa ni kuangalia kama wataungwa mkono na key figures ndani ya chama. Wakipata uhakika wa support, lazma watajitokeza.

If at all they have the right people who can influence the politics of this country, I strongly advice them kujitokeza kwa awamu, wasijitokeze wote kwa pamoja. This move will attract media attention na itawapa mileage kubwa sana.

Nafikiri wamejipanga vizuri kwa hili wanalotaka kulisimamia
I wish them the best of luck
 
Inavyoonesha hawa wapiganaji hawana nguvu ya kutosha kujitokeza kwasasa, na huu waraka wanautoa kuangalia hali ya upepo ndani ya chama.
Nadhani objective yao kubwa ni kuangalia kama wataungwa mkono na key figures ndani ya chama. Wakipata uhakika wa support, lazma watajitokeza.

If at all they have the right people who can influence the politics of this country, I strongly advice them kujitokeza kwa awamu, wasijitokeze wote kwa pamoja. This move will attract media attention na itawapa mileage kubwa sana.

Nafikiri wamejipanga vizuri kwa hili wanalotaka kulisimamia
I wish them the best of luck
Kabengwe, umepangilia vizuri sana hii post yako mpaka nashawishika kuamini unajua jambo fulani. Well, tunaitakia nchi yetu kila la kheri maana kama ikiharibikiwa basi na sisi wote tumeharibikiwa.
 
Yote ni danganya toto tu. Hakuna lolote jipya. Wnataka kuwapumbaza watu. Hujasikia bungeni mtu anafoka na denda linaruka maili mia kwa ukali juu ya utaratibu fulani wa serikali halafu mwishoni anasema "Naunga hoja 100%"?
 
you are very right.. ila ninavyoelewa kila vita inapiganwa kitalaamu.. kama hii ni vita (naamini ndiyo) basi kile move ni ya kuiangalia kwa makini. Labda siku si nyingi tutawajua kwa majina yao..

Hii imekaa kininja ninja hivi LOL

.......kuna kitu mimi sielewi hapo! Wameliita ni Tamko....wanamtakia nani? watanzania au mabosi wao wa CCM? Je, hili tamko limewekwa kny media gani? unafikiri nani anaweza kulichukilia kiuzito hilo tamko lisilo na jina au majina ya watamkaji?

What if enigma or say wewe MM ndo ulikaa chini ukadraft hii kitu na kuirusha hapa kwa minajiri imetoka kwa wapiganaji ndani ya CCM?

To me hawa jamaa ujumbe wao umefika, but hauna uzito wowote kwa sababu waliyoyasema tulishayasikia siku nyingi, tunanacho ngojea ni kujua nani (kwa idadi na majina) kati ya wengi ndani CCM wanamawazo hayo, na tunataka kuona hatua zinachukuliwa sio bla bla tu......!
 
Jamani hawa wapiganaji wanamuogopa nani mpaka wanaficha majina yao? Watu makini hawana woga kama huo. If you think the idea is not right, then quit from it other than hiding names.

Yawezekana hata nao ni mafisadi tu na hawana ujasiri wa kuongea peupe. Usafi wa mtu unampa ujasiri sana,lakini hawa mabwana hawana ujasiri wa kuthubutu. Mambo mengi yanayofanyika gizani si mazuri saaana.
 
Nakuombeni watanzania wezangu mnaobahatika kusoma kauli za CCM ,tafadhalini tafadhalini msiwachulie siriasi hawa watu ,madaraka yamewalevya kwa miaka mingi nchi inaongozwa kwa udugu na urafiki au wakati mwengine hata familia ndio mwisho wake hutowa kauli kama hizi tunazozisoa.
 
Too late to have impact!! labda uwe mkakati wa miaka mingi ijayo... lkn kwa uchaguzi wa mwaka huu, Mafisadi wanachukua nchi!
 
Too late to have impact!! labda uwe mkakati wa miaka mingi ijayo... lkn kwa uchaguzi wa mwaka huu, Mafisadi wanachukua nchi!

.....Sema mnawapa nchi......hawawezi kuchukua bila ridhaa yenu kny yale mabox ya kupigia kura mzee....!
 
"Viongozi wafuatao wasimamishwe mara moja katika uongozi wa chama"

Hivi Apson Mwangonda na Mboma ni viongozi wa chama cha Mapinduzi? Kama ni hivyo wanashika vyeo gani? naomba kusaidiwa hapo.
 
Kama kweli hii dossier imeandaliwa na wapiganaji basi timing yake tayari imeiwekea alama nyingi za kuuliza. Yaani baada ya kuikubali ripoti ya Richmond ndo awatoe kitu kama hiki? Hawawezi kuwa hawako makini kiasi hicho. Kuficha majina si tatizo kwa sababu kiinua mgogo chao ni baada ya bunge kuvunjwa. Hata kama wanaipenda nchi, hilo dau ni muhimu sana.

Nitaendelea kuwa Tomaso (DC).
 
"Chama cha Mapinduzi hakiwezi na hakipaswi kusimama kuomba kura tena kwa
wananchi isipokuwa baada ya ushahidi wa wazi wa vitendo wenye kung'oa chembechembe
zote zenye kuendeleza vitendo vya rushwa na hongo, uzembe, kutokuwajibika, ubadhirifu,
ufujaji wa mali ya umma na matumizi mabaya ya madaraka kwa ajili ya manufaa binafsi ya
watu wafanyao hayo yaani Ufisadi"

Hakika mwenye mawazo haya hawezi kuwa ndani ya Chama hicho. Angekuwa anatembea njiani usiku na mchana akikilaani chama chenye kuendekeza hayo. Na hata ikibidi angekuwa tayari kupoteza mali na hata maisha yake ili kuiokoa jamii yake isitawaliwe na chama kama hicho.

Common Sense.
 
Ndio halafu cha zaidi rudisha document hiyo kwenda word angalia track changes utaona ninachoongelea mimi huyo aliyejibu na kupewa thanks anajaribu kumlinda , halafu pia angalia hiyo email address , nenda kwenye yahoo profiles angalia imesajiliwa na nani toka lini , utaona kuna alternative email hiyo pia inasema mengi

Shy;
Kaka umepotea sana hapa jamvini, vipi tayari tumepata katoto ketu Mkuu?
 
2. Wahusika wakuu wa kashfa hizi zifuatazo washughulikiwe kichama na kiserikali
ikiwemo ni pamoja na kufikishwa mahakamini chini ya sheria ya Mitandao ya Kihalifu
na Uhujumu Uchumi ya 1984. Tunatambua baadhi yao ni wale ambao
tumependekeza hapo juu wawajibike wenyewe kwa kuachilia nafasi za uongozi ndani
ya chama.
· Kashfa ya Loliondo – ambapo urithi wa watoto wetu uliuzwa na umeendelea kuuzwa
kwa wageni.
· Kashfa ya IPTL -
· Kashfa ya Commodity Import Support
· Kashfa ya Mgodi wa Kiwira
· Kashfa ya Akaunti ya EPA
· Kashfa ya Meremeta Ltd, Mwananchi Gold, Deep Green Finance, na Tangold
· Kashfa ya Rada
· Kashfa ya Ununuzi wa Airbus
· Kashfa ya Ununuzi wa Gulfstream 500 (ndege ya Rais)
· Kashfa ya Richmond
· Kashfa ya Dowans
· Kashfa ya magari, silaha na helikopta za JWTZ
· Kashfa ya silaha haramu
· Kashfa za madawa ya kulevya
· Kashfa ya uuzwaji wa maeneo wazi
· Kashfa ya misamaha ya kodi ya Alex Stewart
· Kashfa ya Ujenzi wa Minara miwiliya Benki Kuu

- This is great thinking, I do not care nani ameandika hizi hoja ni nzito sana na kazi kwa wahusika, saafi sana, haya ndio masilahi yenyewe ya taifa..

Respect.


FMEs!
 
- Tujadili hoja na kuwafikishia wahusika, mbona hapa tunatumia majina ya bandia sometimes mbona huwa tunaihsia kujivua nguo wenyewe na maswali yasiyo na msingi, tujadili hoja jamani walioandika sio muhimu sana wala sihitaji kuwajua!

Respect.

FMEs!
 
- Tujadili hoja na kuwafikishia wahusika, mbona hapa tunatumia majina ya bandia sometimes mbona huwa tunaihsia kujivua nguo wenyewe na maswali yasiyo na msingi, tujadili hoja jamani walioandika sio muhimu sana wala sihitaji kuwajua!

Respect.

FMEs!

.....what if nimeandika mimi NL na kuusambaza kny net tu? nani ataujali? Je, katika hayo yaliyoandikwa ni jipyi jipya kwako? kwani huwa hatupigi kelele hapa kuwa watu walihusika na ufisadi ulioainishwa kny doc wawajibishwe ikiwa ni pamoja na kuondolewa kny chama?

Kwa maoni yangu, uliokotoka huo msimamo ni muhimu kufahamika na pili, tujue nani alikusudiwa kuupata (public, m/kiti wa CCM, media)....vinginevyo ni kutwanga maji kny kinu tu......mnatoa mapendekezo halafu hamsemi nani ahakikishe yanafanyiwa kazi? yaani wahusika wayapate through rumours, sioni kama ni effective means of communication!
 
Back
Top Bottom