Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA

Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa Demokrasia na haki za binadamu.

Tumepokea tukio hili kwa masikitiko makubwa.

Kushikiliwa kwa Viongozi hao wa CHADEMA na baadhi ya wanachama hao, kumetokea muda mchache kabla ya kufikia tarehe ya Kongamano la Kikatiba lilio andaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kufanyika Jijini Mwanza Ukumbi wa Tourist Hotel.

Kukamatwa kwa Viongozi hao ni kiashiria tosha kuwa Jeshi la Polisi nchini lina endeleza hujuma dhidi ya wananchi kwakuwa haki ya kukusanyika na kutoa maoni ni haki ya Kikatiba. Na kuendelea kuwazui Watanzania kutotumia haki yao ni kuvunja Katiba.

Shura ya Maimamu Tanzania inalitaka Jeshi la Polisi Tanzania kuwaachia viongozi wote wa CHADEMA na wanachama wake bila masharti yoyote.

Pia tunazidi kushauri vyombo vya dola ikiwemo Jeshi la Polisi Tanzania, kutoendeleza vitendo vya ukiukwaji haki za raia na kukandamiza uhuru wa watu kujieleza. Kwani vitendo hivi vina leta taswira mbaya kwa taifa letu.

KATIBU MKUU
Shura ya Maimamu Tanzania
Leo tar 23.07.2021
0656654546
Wanafiki wakubwa, nyie mnavyo vyombo vya uchunguzi? Je Sabaya pia mmefanya uchunguzi na mmegundua nini?
 
Nyie Shura ya Maimamu tulieni fanyeni shughuli zenu kwa mujibu wa katiba yenu. Acheni serikali kupitia jeshi la polisi wafanye shughuli zao hakuna mtu anauawa ni sheria ndio itatumika. Rais aliapa kuilinda katiba na sheria zake zote. We unajuaje km kongamano la katiba ilikuwa geresha tu na kuna mambo yamejificha nyuma ya pazia?

Hawa watu wana mikono mirefu wanafanya kazi hata wakati we unakoroma au unam-do mwenza wako. Hatuchelewi kuja kuilaumu serikali yakitokea yakutokea na tena nyie na mnaofananao ndio mtakuwa wa kwanza kuinyoshea kidole serikali kuwa 'hamjawahi kuona serikali dhaifu km hii kwani hawana vyombo vya usalama'?

Tuna imani na serikali yetu. CHADEMA wameshakosa mwelekeo tangia 2015 wanataka kutumia njia haramu na huruma ya wananchi.
Tanzania sasa tuna bahati mbaya ya kutawaliwa na watawala madikteta lakini Mungu halali huenda tukasikia yowe tena huko tuendako.
 
Don't be hypocrite, hao unaodai walifanya babu zenu watumwa hapa mnapokea misaada ya vaccination ya Covid19 kutoka kwao ambayo hata haijafanyiwa research ya kutosha, you're nothing but lab rats halafu bado unapayuka bila tafakuri.
What is vaccine have to do with this topic nicompoop!
I can be a rat alright, is that bothering you sweetheart?
We ni wale wale machangudoa msiojitambua.
Watu wanajadili mchele we unaleta habari za matango.
Paka shume
 
Mwinyi alifanikiwa kwa lipi? Taja hta moja hapa? He was a failed experiment.
Ni Rais wa kwanza Tanzania aliye toa ruhusa kwa watu kama wewe kuikosoa serikali bila kuadhibiwa kama alivyokuwa anafanya nyerere.
We unadhani watanzania walimpa jina la "MZEE RUHSA" bahati mbaya?
Acha chuki za kigalatia.
Waislamu wamekupa nafasi ambayo leo unaitumia kuwatusi.

Kweli Shukrani ya Punda ni balaa tu
 
Punguza uongo we Imamu njaa!! Structural adjustment program ya world Bank/IMF ndio ilitaka liberalization ya sekta zote za uzalishaji ili nchi ipae kiuchumi..... So Nyerere asingeweza kuimplement ubepari alioupinga miaka zaidi ya 30 ikabidi amuachie mtu ambaye atakubali tu kuendeleza matakwa ya global economic trends upon fall of Berlin wall.

Hata vyama vingi vilikuja kwa nchi nyingi miaka ya mwanzo 90 sio kwa matakwa ya Mwinyi bali global trends hasa za Superpowers wa magharibi baada ya ujamaa kuzikwa rasmi huko mashariki!!

Mwinyi was just a failure..... ndio maana kabaki kama Meme President!! alimpa shida sana mkapa kurudisha discpline serikalini na sekta binafsi!!

Hili ni tatizo la kufundishwa historia na Mazinge ama Ustadh Ilunga!!
 
What is vaccine have to do with this topic nicompoop!
I can be a rat alright, is that bothering you sweetheart?
We ni wale wale machangudoa msiojitambua.
Watu wanajadili mchele we unaleta habari za matango.
Paka shume
First and foremost paka shume ni mama yako mzazi.
Second, are you gay? stupidly just calling anyone sweetheart?
Labda kwa kukufundisha ni kuwa kuandika kwa panic unapoteza dira na na kusoma mada kwa 'mawenge' ulewa wako(kama unao) unapotea.
Rubbish.
 
Teh teh teh.
Bi mkubwa mbona jazba nyingi.
Au mimba changa?
Mimi siku zote hupenda kuongea na mwenye mbwa. Vikojozi km wewe ni shida.
Muite huyo aliekupa huo ujauzito km unamjua nimuulize je! Hajui kuwa wewe una watoto 8 na kila mtoto ana baba yake? Hana huruma!
You're such an ass hole, I don't argue with gays.
 
Punguza uongo we Imamu njaa!! Structural adjustment program ya world Bank/IMF ndio ilitaka liberalization ya sekta zote za uzalishaji ili nchi ipae kiuchumi..... So Nyerere asingeweza kuimplement ubepari alioupinga miaka zaidi ya 30 ikabidi amuachie mtu ambaye atakubali tu kuendeleza matakwa ya global economic trends upon fall of Berlin wall.

Hata vyama vingi vilikuja kwa nchi nyingi miaka ya mwanzo 90 sio kwa matakwa ya Mwinyi bali global trends hasa za Superpowers wa magharibi baada ya ujamaa kuzikwa rasmi huko mashariki!!

Mwinyi was just a failure..... ndio maana kabaki kama Meme President!! alimpa shida sana mkapa kurudisha discpline serikalini na sekta binafsi!!

Hili ni tatizo la kufundishwa historia na Mazinge ama Ustadh Ilunga!!
Nyie ndio wale wale Vibaraka wa mkoloni. Ndio maana unawapa ujiko kupita kiasi.
We lzm umsifu mgalatia hasa mzungu. Ndo maana yule kiguru wenu amekimbilia huko kwa hao hao wanatoa support kwa Cadema ili mje kumwaga damu hapa Nchini.
Chadema ni a looser na wataendelea kuwa looser to their last day in politics.
Chama gani kinataka tumalizane sisi kwa sisi?
Na mshindwe pepo wachafu..
 
Teh teh teh.
I get it now bwaty boy!
You keep on talking about gays.
Did your sugar daddy run away?
Ohhhh I'm sorry bwaty boy.
I'm sure there is plenty around just remember to keep your wig on cause man you look so ugly.
Filthy mouth, bravo for managing to drag me to that low level of yours. Cunt.
 
Filthy mouth, bravo for managing to drag me to that low level of yours. Cunt.
You r welcome bwaty boy.
It's always a pleasure talking to wedlock kids.
Call me daddy if want, I don't mind.
 
THE BIG SHOW Ritz na FaizaFoxy walipotea kipindi cha JPM. Naona toka "mwenzao" arudi wamekua active sana.

Hao CHADEMA waliwatetea wazi wazi wale masheikh wa ugaidi & Ponda toka wanakamatwa. Eti leo hii mnawaita wanampinga Samia kisa Muislam? Kwani JPM naye alikua muislam?

Acheni inferiority complex isiyo na tija. As a president she's prone to mistakes which are subjected to criticism irrespective of her gender or religion.
Naona unaanza ufataani. Utasutwa.

Kiongozi akifanya maamuzi to the best of his/her knowledge hana dhambi.

Kwa maana hiyo hata wewe. Unapokwenda kuabiudu asiye Mwemyezi Mungu na Mungu anakwambia ni yeye tu apasae kuabudiwa unakuwa huna msamaha.

Umesikia kilichofanyika Venice? Jionee...

Back
Top Bottom