Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

Tanzania ni nchi huru na inaongozwa na Utawala wa sheria (Rule of Law) Hakuna aliye juu ya sheria, watu wote wapo sawa mbele ya sheria, mtu yeyote akifanya kosa lolote la kijinai atachukuliwa hatua za kisheria bila kujali nafasi yake, rangi take au jinsia yake.
Mbowe anatuhumiwa kwa makosa ya Kigaidi yeye na genge lake, ni kinyume cha Utawala wa kisheria kuanza kumtetea Mtuhumiwa/watuhumiwa kabla hata hajafikishwa Mbele ya Mahakama.
Tanzania inaheshimu utawala wa sheria na lazima Mbowe atafikishwa mbele ya Mahakama kujibu tuhuma na bila shaka watapata nafasi ya kujitetea, kinacho fanywa hivi sasa na Viongozi wa chadema ni kujaribu ku "frustrate" mchakato wa kumshitaki Mbowe kwa tuhuma za ugaidi kwa kutumia vyombo vya habari vya kimataifa, wakiamini kuwa Vyombo vya ulinzi vya tz vitaogopa na kurudi nyuma, hilo ndio lengo la chadema hivi sasa. wanaitishia nyau serikali makini!!!
Naamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama havitoingia kwenye mtego wa chadema wanao fanya hivi sasa kamwe vyombo vyetu visitetereshwe wala wasiogope kufuata utawala wa sheria kwa kumhofia Mbowe au hata mtu mwengine.
Utawala wa sheria ni "Hakuna aliye juu ya sheria".
Mbowe hatuko juu ya sheria lazima ashitakiwe na kwa kufanya hivyo ndio kuheshimu na kufuata utawala wa sheria.
Let each side fight with the arsenals they possess, as one side uses the police so let the other side use the influence and the pressure of the international community. Fair enough.
 
Nilichogundua una chuki binafsi na Yeriko.....kiufupi roho mbaya yako haiwezi kumpunguzia lolote. He's better than you all round kuanzia mafanikio ya kimaisha mpaka IQ wise (I doubt umewahi andaa hta paper ya kipublish). Unajiita mtu wa dini na umejaa chuki?? Unajadili jino la mwanaume mwenzio?

Aiseee excuse my french but you're a c*nt!!
Call me whatever you want sweetheart I won't be surprise at all.
When you deal with morons like you and ur sweet jelebi Yericko that's what you get.
Keep on pretending lkn unafahamu fika who Is a C..nt here.
Umeshawahi kuona sehemu yyt Muislamu anakashifu kiongozi yyt sababu ya UKRISTO wake?
U r a real nicompoop
 
Let each side fight with the arsenals they possess, as one side uses the police so let the other side use the influence and the pressure of the international community. Fair enough.
Yaani km vile zito alipowaambia World Bank wasikopeshe Tz sababu wanawake wenye mimba wamekatazwa kuingia darasa moja na watoto wetu sio?
Au pale Tundu anapotukana taifa lake kwenye television za wazungu walio wafanya babu Zake watumwa.
Hio ndio unaiita " using influence?
Give us a break young man
 
Post picha yako hapa if you have guts!! we all know linapokuja suala la muonekano wamakonde can never be included in the conversation.

Mnajifanya wapenda dini mnajadili meno yaliyoumbwa na Allah? Ko Allah huwa anakosea hadi kaumba mtu ana meno kma nguchiro?

C*nts!
Don't throw stones while living in a glass house young lady.
Mungu hakuumba uchafu kwa mtu.
Msemaji wenu hata kupiga mswaki hataki leo ataongea la maana mbele ya waungwana!
Halafu ngoja nikukumbushe kitu bi mkubwa. Unapotaka kukosoa watu jaribu kujitazama wewe kwanza.
Kwa akili yako fupi unategemea kweli Chadema ije kutuongoza sisi watanzania wapenda Demokrasi hali ya kuwa kiongozi wenu hataki kuachia kiti miaka yooote hali anajua hafai? Leo akikaa ikulu huyu kiumbe si atataka tumzike humo humo?
Grow up young lady. Giving up its not failure, its courage.
 
Call me whatever you want sweetheart I won't be surprise at all.
When you deal with morons like you and ur sweet jelebi Yericko that's what you get.
Keep on pretending lkn unafahamu fika who Is a C..nt here.
Umeshawahi kuona sehemu yyt Muislamu anakashifu kiongozi yyt sababu ya UKRISTO wake?
U r a real nicompoop
Acha kuzunguka umekejeli uumbaji wa Allah and it's wrong kwa dini yako. Ssa utakua na credibility ya kumtangaza Allah wako ilihali unakejeli alivyoumba meno ya Yeriko?

Ukute hta ni Sheikh wa mkoa!! Inashangaza sana
 
Don't throw stones while living in a glass house young lady.
Mungu hakuumba uchafu kwa mtu.
Msemaji wenu hata kupiga mswaki hataki leo ataongea la maana mbele ya waungwana!
Halafu ngoja nikukumbushe kitu bi mkubwa. Unapotaka kukosoa watu jaribu kujitazama wewe kwanza.
Kwa akili yako fupi unategemea kweli Chadema ije kutuongoza sisi watanzania wapenda Demokrasi hali ya kuwa kiongozi wenu hataki kuachia kiti miaka yooote hali anajua hafai? Leo akikaa ikulu huyu kiumbe si atataka tumzike humo humo?
Grow up young lady. Giving up its not failure, its courage.
Funny thing unadhani ukimuita kidume ni mwanamke basi ni tusi? Yet again unadharau gender alizoumba Allah? Kwamba wasio na akili basi ni lazima awe mwanamke?? Kma ww ndio think tank wa waislam humu JF alafu ndio reasoning yako imekaa kibaguzi hivi then ni dini gani unayotangaza wwe??
 
kahtaan ana nini kumzidi Yeriko? He's just a coward hiding behind a fake ID. Jitu zima unajadili meno ya mtu? Huyo kahtaan kma ni mpenda dini hajui anakosoa uumbaji wa huyo Allah wake?

You're a bunch of losers with inferiority complex coz mnaona kma wakristo wanawazidi kila kitu thus you play a victim role day in day out.

Mlikua na Rais muislam mbona alimpiga risasi ponda, mbona aliwapa kesi ya ugaidi UAMSHO, mbona alimmaliza Ustadh Ilunga, mbona alihujumu mahakama ya kadhi isitambulike kikatiba?? Adui yenu ni CCM mkipambana na wakristo mtajikuta kusini mnaburuza mkia miaka yote maana adui wa kweli mnamkwepa.
I agree mimi siwesi kuwa kama Yericko hata siku moja. Mimi sili nguruwe, na pia natumia mswaki 5 times a day.
Sasa sijui zitto junior ni nani, mke mdogo wa zitto au mchepuo I guess.!

Hakuna kiongozi aliyefanya udhalimu juu ya waislamu au wakristo sisi tukakaa kimya. Tatizo wee dada huoni kashfa wanazotoa chadema kuhusu waislamu.
Dada Kigogo na shoga wake Yericko wao wanaona waislamu tu ndio tatizo, Marhum Ilunga Mungu amrehemu siku zote akiongelea Mfumo kristo leo unadai kaondolewa Duniani na Muislamu mwenzake. Na hii ni kawaida kwa makafiri kuleta Fitna. Tumewazoea.

Siku chadema ikichukua Uongozi wa nchi hii waislamu wote tutahamia Rwanda na Burundi.
Bora kuishi na banyamulenge kuliko nyie wanywa mbege. Mtatumaliza kwa roho zenu mbovu kama sura zenu.
 
Kwa akili yako fupi unategemea kweli Chadema ije kutuongoza sisi watanzania wapenda Demokrasi hali ya kuwa kiongozi wenu hataki kuachia kiti miaka yooote hali anajua hafai? Leo akikaa ikulu huyu kiumbe si atataka tumzike humo humo?
Embu niambie kwa uchovu huu wa CCM kufeli kila kitu alternative ni ipi?? Yaani kma sio Chadema twende chama gani?? Ile ACT ya wavaa makobazi ambayo hta kura laki 1 haiwezi pata bara?

Mmejaa udini tu na chuki yenu kwa CHADEMA ni sababu tu Mwenyekiti ni mkristo. No wonder Ritz na THE BIG SHOW mlikua mna sympathize na Zitto kipindi anatimuliwa. Leo hii it's clear that he was no match to Mbowe kwenye kila kitu say kaondoka na kura za waislam cha kushangaza CHADEMA ikachukua hadi Jiji zima la Dar lililojaa waislam!!

Wapuuzi nyie
 
Hakuna kiongozi aliyefanya udhalimu juu ya waislamu au wakristo sisi tukakaa kimya. Tatizo wee dada huoni kashfa wanazotoa chadema kuhusu waislamu
Kipindi JK anawanyima makahama ya kadhi, anamtwanga risasi ponda, and anawasweka UAMSHO ndani mbona hamkuinua mdomo?? Kipindi wanamuua Ustadh Ilunga mlikua wapi? Wanafiki tu nyie kma Sheikh Alhad tu.

Mnataka kuweka blames kwa wakristo tu Ila mnajifanya hamuoni upuuzi wa CCM. kigogo na nyerere sio viongozi wa chadema taifa so stop your nonsense.
 
Funny thing unadhani ukimuita kidume ni mwanamke basi ni tusi? Yet again unadharau gender alizoumba Allah? Kwamba wasio na akili basi ni lazima awe mwanamke?? Kma ww ndio think tank wa waislam humu JF alafu ndio reasoning yako imekaa kibaguzi hivi then ni dini gani unayotangaza wwe??
See how you deserve to be called young lady?
You keep on twisting my words.
Wapi nimedai mimi ni msemaji wa waislamu? Wapi nimedharau genders.
Who has inferiority complex here.!
Us?
Hivi kweli in your sound mind kwa tabia zenu hizi iko siku Chedema itakuwa na uwezo wa kuongoza watu wenye akili nzuri kama watanzania?
And please try calling me something different.
C..nt is a bit boring now
 
Hivi kweli in your sound mind kwa tabia zenu hizi iko siku Chedema itakuwa na uwezo wa kuongoza watu wenye akili nzuri kama watanzania?
Kama Mwinyi na Kikwete waliweza kwanini CHADEMA ishindwe? Hao ni moja ya marais failures wa wakati wote na walishinda kwa kishindo ndio kama kigumu kipi CHADEMA kushinda?? Kinachokwamisha ni tume huru ndio maana mkiambiwa katiba mpya mnakua wakali sana.

Ww sio mwalimu wa dini bali ni babu fulani ambaye amefeli maisha ssa frustration zote anatupia wakristo.
 
Hakuna sehemu kuna mtu kadai kuwa ccm is perfect. Lkn ni chama ambacho kimelea wazazi wako na wazazi wa wazazi wako.
Na kila siku kinazidi kuboresha maisha ya wanyonge. Kina jenga nchi and so on.
Njoo CCM ulete mabadiliko kuliko kukaa ktk chama cha watu wa kaskazini wapenda vurugu na ugaidi usio na tija kwa mtanzania maskini.
Chama kinachotaka misaada kwa wazungu wanaotamani sisi tuuane ili waje kuchukua walichobakiza hapa kwetu.
Mimi babu kweli. Nina wajukuu wakubwa tu lkn kamwe sintokubali kukaa kimya kwa watu wanaotaka kuuza taifa langu kwa mkoloni.
You probably know Mbowe and the rest are after money and nothing else. Na hapa hashindi mtu.
Chadema is a looser and they will be until the end of time.
Read my lips pal.
Leo bila mwinyi wewe kibaka ungekuwa na uhuru wa kutukama viongozi namna hii?
What a ring piece you are.
 
Embu niambie kwa uchovu huu wa CCM kufeli kila kitu alternative ni ipi?? Yaani kma sio Chadema twende chama gani?? Ile ACT ya wavaa makobazi ambayo hta kura laki 1 haiwezi pata bara?

Mmejaa udini tu na chuki yenu kwa CHADEMA ni sababu tu Mwenyekiti ni mkristo. No wonder Ritz na THE BIG SHOW mlikua mna sympathize na Zitto kipindi anatimuliwa. Leo hii it's clear that he was no match to Mbowe kwenye kila kitu say kaondoka na kura za waislam cha kushangaza CHADEMA ikachukua hadi Jiji zima la Dar lililojaa waislam!!

Wapuuzi nyie
Mpuuzi Mama yako.
 
Yaani km vile zito alipowaambia World Bank wasikopeshe Tz sababu wanawake wenye mimba wamekatazwa kuingia darasa moja na watoto wetu sio?
Au pale Tundu anapotukana taifa lake kwenye television za wazungu walio wafanya babu Zake watumwa.
Hio ndio unaiita " using influence?
Give us a break young man
Are acting stupid or maybe you're stupid for real?
Zito alifanya yaliyokuwa ya lazima kwani serikali ilikuwa imeziba masikio kwa kuwabagua watoto wa kike, mbona sasa hilo limerekebishwa.
Lissu hajawahi kutuka taifa, kama matusi Magu ndiyo kiongozi wa matusi ya rejareja, Lissu mara zote huwa ana address issues muhimu labda kama haupendi ile straight talk aliyonayo ambayo ni hulka yake kwani huwa hapindishi maneno.
Hata kama strategies au maneno yatumiwayo hauyapendi lakini ukiwa unafikiri na ku digest kwa akili ambayo haijawa brainwashed unaweza kuona kila kitu katika uhalisia wake.
 
chama cha watu wa kaskazini wapenda vurugu na ugaidi usio na tija kwa mtanzania maskini.
Nimeishia kusoma hapa.... Fika huku kigoma CHADEMA imetapakaa kuanzia kakonko mpaka uvinza tokea 90s unasema kaskazini? Hvi unajua Dr Slaa alipata kura nyingi kigoma kuliko kaskazini? Get serious
 
Yaani km vile zito alipowaambia World Bank wasikopeshe Tz sababu wanawake wenye mimba wamekatazwa kuingia darasa moja na watoto wetu sio?
Au pale Tundu anapotukana taifa lake kwenye television za wazungu walio wafanya babu Zake watumwa.
Hio ndio unaiita " using influence?
Give us a break young man
Don't be hypocrite, hao unaodai walifanya babu zenu watumwa hapa mnapokea misaada ya vaccination ya Covid19 kutoka kwao ambayo hata haijafanyiwa research ya kutosha, you're nothing but lab rats halafu bado unapayuka bila tafakuri.
 
66 Reactions
Reply
Back
Top Bottom