Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Status
Not open for further replies.
Jamani wakuu wa chadema mbona katika tamko namba inayosemwa ni ya JACK ZOKA namba 0756809535 imesajiliwa kwa jina la ZITO ZUBERI? Hebu tupeni ufafanuzi hapo
 
Watu ambao nitaomba mahakama itoe amri ya kuletwa taarifa zao simu
na meseji (sms) ni Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa nchini (TISS), Jack Zoka, anayetumia simu Na. 255756809535 hapo kwenye red mhusika ni Zitto Zuberi Kabwe!!!!!
 
hizo kumbukumbu kwa vodacom sijui kamA watazipata...mbele ya hela tena......?..kwa hii nchi ya maslai ya ccm, sijui kama tutafika....
 
Dah Mungu mkubwa....walilifungia gazeti la mwanahalisi lakini Mungu yuko pamoja na watu wake.maccm yataenda kwa waganga wa kienyeji na kufanya hila zote lakini haki ya mtu haipotei hata siku moja.Mungu isimamie chadema, Mungu waaaibishe hao ccm maana kwako hakuna linalo shindikana kwani mazito huyarahisisha.
 
Bomu la Mwigulu kumbe babu kubwa. Yaani CHADEMA wanahangaika nalo utafikiri mbuzi aliyekamatwa na chatu.

Kila wiki kutakuwa na matamko yake. Kesi iko mahakamani kwanini hamtaki kuiachia mahakama? Hawa mashahidi nendeni mkawaombe mahakamani na sio kila siku press conference.

Halafu TCRA chukua hatua juu ya tabia ya wanasiasa wa CCM na CHADEMA kutoa siri za watumiaji wa simu za mobiles. Hii tabia ikiachiwa, wahalifu wataanza kutumia simu zisizo zao na itakuja kuwa ngumu sana vyombo vya dola kukamata wahalifu.
 
[
icon1.png
Re: Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

quote_icon.png
By mbara
Hapa JF hii namba anayetumia simu Na. 255756xxxxx imekuwa hided lakini kwenye Chadema Blog: TAMKO LA CHADEMA KUHUSU NJAMA ZA KUKICHAFUA ZINAZOFANYWA NA GENGE LA VIONGOZI WAKUU WA CCM NA VYOMBO VYA DOLA, LIMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO, APRILI 14, 2013 NA MJUMBE WA KAMATI KUU NA MWANASHERIA WA CHAMA, MH. MABERE NYAUCHO MARA , namba yenyewe ni hii hapa (anayetumia simu Na. 255756809535) kwa kutumia M-PESA inaonekana namba hii imesajiliwa kwa jina gani hii imeakaaje?
Mohamedi Mtoi na Edwin Mtei hii namba mmeifanyia kazi?]


Hakuna kumumunya maneno. Hii namba +255 756 809 535 ni ya Zitto Zuberi Kabwe. Mmoja wa washiriki wakuu wa mpango wa kukiua CHADEMA !

Kwani ni nani asiyejua hili ? mawasiliano yake na Bwana Msaky wa Mwananchi na pia Usalama wa taifa mbona ulishawekwa wazi siku nyingi ???
Kumbuka : Kikulacho kii nguoni mwako.

Mkuu.
Sina cha kusema kuhusiana na uwepo wa namba ya Zitto kwenye mlolongo wa mawasiliano hayo, mimi sio msemaji wa chama, kwa kuwa Zitto mwenyewe yupo humu naamini ata wiwa kutoa maelezo ya kina yasiyo acha nyayo za mashaka nyuma yake.
 
Last edited by a moderator:
Jamani wakuu wa chadema mbona katika tamko namba inayosemwa ni ya JACK ZOKA namba 0756809535 imesajiliwa kwa jina la ZITO ZUBERI? Hebu tupeni ufafanuzi hapo

You can cheat sometimes but you can not do that alyways
 
Ukiambiwa maana ya ripoti, basi hii imekidhi viwango vyote. Heko Mabere Nyaucho Marando! Hawa hawana pa kujificha kwani kila walitendalo tunalikuta sebuleni.

Peopooooooooooooooooooooza
 
Mbona marando amemficha huyo afisa wao wa usalama ambaye aliahidiwa kulipwa shilingi 500 kila mwezi ? Au hicho kiasi kimekosema. Nimepitia matamko kwenye mitandao yote inasomeka kiasi hicho. Naona marando hakujipanga vizuri
 
CDM kukubarika na kuwa tumaini la Watanzania Sio Mpango wa Mbowe wala Slaa au Marando bali ni Mpango wa Mungu!! Usalama wa Taifa hata watumie mbinu gani chafu hawawezi Kupambana na Nguvu za Mungu !! Keep tuned Maharamia na wenye mipango ya Kishetani walioko ikulu watakimbia nchi au pengine kuzikwa nchi za nje ambapo ndugu zao hawatafika kama kifo cha Daudi Balali hakuna aliyeshuhudia kaburi vivyohivyo hao watu wa TISS watakimbia nchi E mwenyezi Mungu tunashukuru kwa hatua za awali Ila kweli CDM ni zaidi ya Serikali kwa Umakini kama Dr.Slaa alivyosema.
 
Mkuu Artorius, kama una uwezo to read in between the lines, authenticity ya video hapa haijazungumziwa tena!. Wameisha jiridhisha it is "bonafide genuine!" kitachotafutwa sasa ni kumnasua tuu Rwakatare kwa kujenga hoja mchezo mzima ulikuwa ni mtego wa TISS, wakimaanisha Ludo, Msaki, Mchemba na vijana wao lao ni moja, Rwaka ndio oddman out!.
Pasco.

Software kwa Michuzi????????
 
chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm
Katika andiko looooote hilo la Marando, wewe umeamua kuandika vitu visivyosurface kwenye hilo andiko. Ni kwamba hujaona cha kuandika kinachohusu hilo andiko au hujaelewa au ndo nyie wapanga mauaji???? Unaeleweka kwa shida sana kwa kukosa hoja ya kuongea kuhusu hili sakata lililopo mbele yetu. Wewe wapi panakutatiza kulielewa uulize tukueleweshe??? Mbona unatoka nje ya mada????

Hayo yote unayoyataja hapo juu yanayofanywa genuinely na cdm ni kuwa yanadhihirisha uhai wa chama (achilia mbali tuhuma za kupikwa). Ukiona chama cha siasa kipo dormant had wakat wa uchaguzi jua hicho ni chama cha msimu. CDM imeshavuka state hiyo, CDM ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania. Hivyo ni muhimu sana kuwapa wananchi feedback ya hali ya mambo mbalimbali yanayoendelea na ndo mana kila kinachotokea wananchi wanauliza msimamo wa chama wakimaanisha CHADEMA na sio TLP au UPDP wala ccm.

Kuhusu suala la kutoa hoja mbadala, nadhan ww ni mgeni wa siasa za nchi hii, ni vyema ukajua tu kuwa sasa hivi nchi hii inaendeshwa kwa remote control na CDM. Angalia bungeni, angalia katika mambo mengine mengi sana. Utajua ni CDM ndiyo inayofanya mambo ya happen, bila cdm hii imara, nchi hii ingekuwa ishauzwa.
 
Sijui kama kutakucha leo.....ushetani huu lazima mwisho wa Dunia ufike. It pains
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom