Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,295
Mhhh aiseee kama zimedakwa nadhani sasa hakuna pa kukimbilia!
Ndiyo Chadema na ndiyo maana ya kutoa taarifa kwa umma
Mhhh aiseee kama zimedakwa nadhani sasa hakuna pa kukimbilia!
Nilikuwa mwanaCCM zamani ,kuanzia leo mimi ni CHADEMA .Tuangalie ukweli ndugu zangu.Hivi haya mambo ya kubambikiwa yalikuwepo na sasa ndio silaha ya mwisho ya CCM.Jamani CHADEMA NI MAKINI SANA.TUACHE USHABIKI.NAVAA GWANDA LEO HII
hahahahah
naona nyupi zinaanza kukubaneni!
Mmmmhhh hapo Nchemba kazima ajambe
Nawashangaa magaidi kurukaruka Maana hizi mbwe mbwe kwenye Tamko haziondoi ukweli wa Yale yaliyopo kwenye video ya lwakatare. Marando angetuambia Yale anayoongea lwakatare Sio kweli Tamko lake lingekuwa na maana
Mwigulu amewaambia msitafute mchawi, hamjamsikia kumbe
Nimejikaza kiume nisitokwe na machozi.inauma sana ila we will never surrender mpaka mageuzi yafanyike tanzania
Nakushauri usiwe unamjibu mkuu huyu anafanya thread inakuwa ndefu bila sababu, watu wengine wanamajukumu wakiingia wanasoma page mbili wanaacha kumbe katikati ndo kuna mawazo mazuri yamechangiwa
Chadema inaelekea kusambaratika. It's time tu
MCHAWI "MIMI" mwisho wa kunukulu