Nanalitooh
Member
- Jul 14, 2021
- 9
- 5
UKWELI KUHUSIANA NA JOB JUNCTION:
Job Junction imekuwa msaada mkubwa kwa vijana na imesaidia vijana wengi kupata uelewa wa interviewees skills na hatimaye kufanya vizuri interviewees .
Job Junction hawatoi Ajira kama watu wengine wanavyo fikiri bali wanafundisha watu namna ya kufanya vizuri interviewees,Maswali ya Interview,Namna ya kuandaa cv na kukutanisha na wajiri kwajili ya interviewees then ukifanya vizuri interviewees ndio unapata Ajira.
KWANINI BAADHI WATU WANAISEMA VIBAYA JOB JUNCTION:
1)Wengi wanao isema vibaya Job Junction ni wale walio fanya vibaya interviews na wakakata tamaa then ili kujisafisha wakaona ni bora waiseme vibaya Job Junction ili wao waonekane wako vizuri, Ukiona mtu anajua kulaamu zaidi tambua anajiprotect asi be judged.
2)pia wengine wanaoisema vibaya ni Washindani wao, Maana kuna makampuni mengi ya Recruitment ila Job Junction Tanzania ndio the best na ndio ya uhakika kwa hapa Tanzania ,That y makampuni hayo mengine wanaichafua Job Junction ili ishuke...Ni ukweli usio jificha mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.
3)Na wengine ni wale wasio ijua vyema Job Junction bali ni mashabiki tu .
UMUHIMU WA JOB JUNCTION
Job Junction kwanza ni wawazi unapo watembelea ofisini kwao yani wako very
Open, Na mm nimepata ajira kupitia kampuni hiyo kwa kuhudhuria interviewees na kufundishwa interviewees skills .
Wengi wa graduates hawako vizuri kwenye siko la ajira ndio maana wanaishi kulaumu kila kitu kuanzia serikali ,Wazazi na jamii kuwa ni chanzo cha wao kukosa Ajira. Ila ukweli wenge stahili kujilaumu kwanza wao na kuwa tayari kujifunza na kuto chagua kazi.
Wengi wa graduates wakiona wana bachelor degree wanakuwa matarajio makubwa bila kutambua degree is just a paper without skills and productivity.
USHAURI WANGU:
Nawapongeza Job Junction Tanzania na waendelee kupiga kazi .
Na Wengi wafanikiwa kupitia workshops na interviewees wanazotoa .
Kuendesha taasisi kama ile ni ghari kuna kulipia jengo , Wafanyakaz na huduma nyingine ni wazi huduma wanayo itoa haiwezi kuwa buree.