Nina uhakika wengi wa hawa matapeli mitandaoni ni unemployed graduates

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,018
Job positions: 10
Job interviewees: 10,000
Walio honga na uhakika wa kazi: 4

So mtu ana spend miaka 3 au minne chuo akiwa mindset ya kuajiriwa na status ya u-professional.

Anatoka huko anakuja mtaani anakutana na ukweli mchungu, ana spend 5 to 6 years hajui anaelekea wapi. Kama nilivyotaja hapo juu mtu anatoka chuo na status ya u-proffesional ambao inapelekea wengi wao kuto fanya vikazi vya kibarua, anaona anashusha hadhi yake ya degree holder.

So kinachofatia kwa kuwa anajua ku-type computer, ana exposure ya ulimwengu, anajua kiingereza, amejifunza nguvu ya ushawishi chuoni, etc unakuta sasa ni kuingia mtandaoni na kuazisha hizi cyber cartels za upigaji.

Ndio hio unakuta mara mtu ni boy ila anajifanya kahaba mtandaoni anakula nauli za watu, mara mtu anatengeneza false profile ya duka la mtandao, false profiles za mikopo ya mtandaoni, hackers, etc
 
Ndiyo yuko kazini tayari

Ova
Nafikiri ifike mahali,hukumu kwa aliyejiajiri kwa kuwa hana ajira na ndio namna pekee ya kujikimu iwe ni adhabu ya kulipa tu alichofanikiwa kukipata kupitia ajira aliyojipatia tu na kile kilicholalamikiwa pekee,tutakuwa tumepata pata ufumbuzi kwa kiasi kikubwa cha tatizo la ajira kwa graduate wetu 🤓
 
Nafikiri ifike mahali,hukumu kwa aliyejiajiri kwa kuwa hana ajira na ndio namna pekee ya kujikimu iwe ni adhabu ya kulipa tu alichofanikiwa kukipata kupitia ajira aliyojipatia tu na kile kilicholalamikiwa pekee,tutakuwa tumepata pata ufumbuzi kwa kiasi kikubwa cha tatizo la ajira kwa graduate wetu 🤓.Nafikiri hapa hata Lucas angefaidika,kwani nafikiri ni mmoja ya graduates,ambao bado kupata ajira😎
 
Back
Top Bottom