Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

NAMKWAKWA

Member
Joined
May 16, 2013
Posts
43
Reaction score
38
Katika sehemu ambayo utajiri mkubwa wa Gas umegundulika kijiji cha kitamaduni cha Msimbati Bibi Kikongwe anayejurikana kama Nakinyesa amefanya tambiko babu kubwa ambalo aliweka maji kwenye chupa ya maji iliyowazi na kufanyia matambiko baada ya muda akampa mtoto ayamwage hayo maji,ila mtoto alipomwaga maji maji hayo hayakumwagika,ndipo bibi akatamka kuwa kama maji yameshindwa kumwagika basi gas haitatoka.
Kijiji cha Msimbati kina Historia kubwa kwani kwani kuna sehemu inaitwa Matumbini watu waliwahi kubadilika na kuwa mawe na sehemu hiyo hata ukipiga picha hakuna image inayotoka.
 
"The world will not be destroyed by those who do evil, but by those who watch them without doing anything"
kwa hiyo nanyi mnafurahia uovu huo?

pelekeni shule watoto nyie ndugu wakati unawapita nyie makonde na ges inatoka baada yan kuhoji inatoka vp nyie ndo mnajipanga kuwa rebels na michale ili kuunda southern state funguka kijana uchawi huendi kwa mentel
 
Sio hvo tu wangefanya tambiko kwa watawala wote walioko madarakani wafe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huko ndiko mlikobakia na ngoma za kila mwisho wa mwaka. Mtafuteni elimu kwani hata hiyo gas wakiiacha hamtakuwa na jipya.
 
ila wamtwara nyie ni wanafsi(wachoyo) yani changu tule wote chenu mle wenyewe dah haya bana yote maisha tu ngoja na sisi tukate huduma msije hospital zetu msitumie umeme wetu wala msile chakula tunacholima sisi msije mbuga zetu msinunue vifaa vyetu mbaki na gesi yenu
 
Hawakusema kuwa gesi isiende kokote, we nawe unapotosha kama anavyokuwa anapotosha FastJet!
 
huko ndiko mlikobakia na ngoma za kila mwisho wa mwaka. Mtafuteni elimu kwani hata hiyo gas wakiiacha hamtakuwa na jipya.

Wewe jamaa wako juu!si umesoma uzi unavyosomeka jinsi 'mwanasayansi kikongwe' alivyodefy the law of gravity maji haya kumwaika? mie nataka wanifundishe jinsi ya kuruka na ungo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom