Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

Naungana nao kwanza mie sioni faida ya hyo gesi maana ni ulaji wa wakubwa tu,umeme tunazalisha hapa hapa na vyanzo vya kutosha lkn umeme bei juu..big up bibi pigen tambiko wachina watakaokaidi wageuke mawe.
 
Duh, hiyo avtar yako mbona kama wewe ndiyo bibi mwenyewe! Mimi siungi mkono kudai haki na mabadiliko kwakufanya matambiko. Suluhisho si matambiko ila nikushikamana katika kupinga utawala kandamizi. Hiyo gesi haiwezi kuzalishwa mtwara nakubakia mtwara all the time. Lazima itoke ili iwe na faida kwa wanamtwara na nchi kwa ujumla. Jambo lamuhimu kuwe na explicit strategies za jinsi gani watu wa mtwara watanufaika kupitia gesi hiyo.

Nimekupata,unajua serikali wanawapotosha watanzania,watu wa mtwara wanataka processing ifanyike mtwara na viwanda vinavyotumia material ya gas vijengwe mtwara,Nikupe mfano mmoja Gas ya kilwa ilipelekwa kwa bomba dsm na percent waliyotakiwa kulipwa kilwa wakawa wanapewa Ilala sababu tu refinery inafanyikia Ilala,wamekula hiyo hela toka mwaka 2004,Mbunge wa CUF bw ----- ndio amepigania mpaka kilwa wameanza kupewa percent yao,Yote haya yanakuja kutokana na uongo wa serikali mbovu ya CCM
 
katika sehemu ambayo utajiri mkubwa wa gas umegundulika kijiji cha kitamaduni cha msimbati bibi kikongwe anayejurikana kama nakinyesa amefanya tambiko babu kubwa ambalo aliweka maji kwenye chupa ya maji iliyowazi na kufanyia matambiko baada ya muda akampa mtoto ayamwage hayo maji,ila mtoto alipomwaga maji maji hayo hayakumwagika,ndipo bibi akatamka kuwa kama maji yameshindwa kumwagika basi gas haitatoka.
Kijiji cha msimbati kina historia kubwa kwani kwani kuna sehemu inaitwa matumbini watu waliwahi kubadilika na kuwa mawe na sehemu hiyo hata ukipiga picha hakuna image inayotoka.

not scientifically proved
 
NAMKWAKWA,

hivo mtani wangu kwani ndio bado unaamini vizee hivo? sayansi and teknolojia hazirogeki mkuu

kampuni ya British Gas imemjengea bibi Nyumba,baada ya kuwafanyia tambiko walipoanza tafiti za Gas,mambo yalikuwa hayaendi hata hizo tani unazosikia wamegundua ni baada ya bibi kupiga tambiko.ova
 
...kwa kakobe walisema umeme haupiti wakakeshaaaaaaaaaaaaaaaaaa, mbona umepita....
 
bibi afanye tambiko Bongo iwe New York Nitamsifia sana..
 
au tuseme huyo bibi anataka kuwa celebrity, yaani apate umaarufu katik amagazeti ya tz
 
Hawa jamaa wangekuwa wakweli si wangemuomba huyo kikongwe ammalize huyo aliyesaini hiyo mikataba ya kuitoa hiyo gesi kutoka huko Mtwara!! Acheni usanii wenu nyie wamamkonde!
Wazo lako kuntu!ngoja tufanye taratibu mwanasayansi kikongwe afanye vitu vyake!
 
Pale Tanangozi Iringa nilijionea mwenyewe kwa macho yangu umeme ukigoma kupita juu ya makaburi siyo hadithi. Hayo mambo inawezekana yapo. Nasikia wanafamilia wenyewe walipoombwa ndo wamehamisha makaburi.
 
ni mpaka hapo kusini watakapo ikataa ccm ndio nitawaunga mkono juzi kati wamempa udiwani gamba
 
Katika sehemu ambayo utajiri mkubwa wa Gas umegundulika kijiji cha kitamaduni cha Msimbati Bibi Kikongwe anayejurikana kama Nakinyesa amefanya tambiko babu kubwa ambalo aliweka maji kwenye chupa ya maji iliyowazi na kufanyia matambiko baada ya muda akampa mtoto ayamwage hayo maji,ila mtoto alipomwaga maji maji hayo hayakumwagika,ndipo bibi akatamka kuwa kama maji yameshindwa kumwagika basi gas haitatoka.
Kijiji cha Msimbati kina Historia kubwa kwani kwani kuna sehemu inaitwa Matumbini watu waliwahi kubadilika na kuwa mawe na sehemu hiyo hata ukipiga picha hakuna image inayotoka.

huyu bibi mbona nilisikia haonekani? amepotea?
 
Mbele ya mzungu gesi itatoka tu hata kama wametambika,fikiria kwenye migodi wanasemaga mpaka ufanye tambiko ndio mgodi uteme,lakini wakija wazungu na machine zao wanasomba wanavyotaka.
 
Katika sehemu ambayo utajiri mkubwa wa Gas umegundulika kijiji cha kitamaduni cha Msimbati Bibi Kikongwe anayejurikana kama Nakinyesa amefanya tambiko babu kubwa ambalo aliweka maji kwenye chupa ya maji iliyowazi na kufanyia matambiko baada ya muda akampa mtoto ayamwage hayo maji,ila mtoto alipomwaga maji maji hayo hayakumwagika,ndipo bibi akatamka kuwa kama maji yameshindwa kumwagika basi gas haitatoka.
Kijiji cha Msimbati kina Historia kubwa kwani kwani kuna sehemu inaitwa Matumbini watu waliwahi kubadilika na kuwa mawe na sehemu hiyo hata ukipiga picha hakuna image inayotoka.

Hakuna chochote hapo. Hii ndiyo ileile historia ya risasi kugeuka maji.
 
pelekeni shule watoto nyie ndugu wakati unawapita nyie makonde na ges inatoka baada yan kuhoji inatoka vp nyie ndo mnajipanga kuwa rebels na michale ili kuunda southern state funguka kijana uchawi huendi kwa mentel

sawa ins bidi watu wasome ili hata ges ikianza kutumika tujue tunafanya nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom